Cmsa wall calendar 2015 draft 1

Page 1

Capital Markets and Securities Authority PPF Tower, 6th Floor, Ohio Street / Garden Avenue, P. O. Box 75713 Dar Es Salaam Tanzania Tel: 255 22 2114959/61, Fax: 255 22 2113846 E-mail: info@cmsa-tz.org

yeartwentyFifteen 2015

www.cmsa-tz.org

yeartwenty15

Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bibi Grace Rubambey akitoa nasaha zake wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya watendaji wa sekta ya masoko ya mitaji Tanzania yaliyoendeshwa na CMSA mwezi Mei 2013. Wahitimu wa mafunzo hayo wanatakiwa kufaulu mtihani ili kupata cheti ambacho ni kigezo muhimu kwa utoaji wa lesini kwa kampuni za washiriki katika masoko ya mitaji.

20 15

January Sun

Mon

Tue

Wed

Thu

Fri

Sat

Sun

February Mon

Tue

Wed

Thu

Fri

Sat

1 2 3*

1

2 3 4 5 6 7

4

5 6 7 8 9 10

8 9 10 11 12 13 14

11 12 13 14 15 16 17

15 16 17 18 19 20 21

18 19 20 21 22 23 24

22 23 24 25 26 27 28

25 26 27 28 29 30 31 1 New Year

3 Maulid

3 Zanzibar Revolution

Capital Markets and Securities Authority PPF Tower, 6th Floor, Ohio Street / Garden Avenue, P. O. Box 75713 Dar Es Salaam Tanzania Tel: 255 22 2114959/61, Fax: 255 22 2113846 E-mail: info@cmsa-tz.org, omaceo@cmsa-tz.org, Website: www.cmsa-tz.org

yeartwenty15

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Servecius Likwelile akimtunuku cheti cha uhitimu mafunzo Dk. Lizwa wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Kitengo cha Biashara baada ya kuhitimu mafunzo maalumu ya Uongozi kwa Kampuni za Washauri Wateule “Nominated Advisors�. Mafunzo hayo yaliendeshwa kwa kushirikiana kati ya Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) na Kitengo cha Mafunzo cha Soko la Hisa la London Uingereza yalifanyika Dar es Salaam mwezi September 2013. Kushiriki mafunzo hayo na kupata cheti ni moja ya vigezo muhimu vya utoaji wa leseni kwa kampuni za Washauri Wateule ambazo zinashauri na kusimamia kampuni zinazotaka kukusanya mtaji kutoka kwa umma na kuorodheshwa katika soko la hisa kwa kupitia safu ya Kukuza Kampuni na Ujasiriamali ya Soko la Hisa la Dar es Salam (EGM).

20 15

March Sun

Mon

1

2

Tue

Wed

Thu

Fri

Sat

3 4 5 6 7

Sun

April Mon

Tue

Wed

Thu

Fri

1 2 3

6 7

Sat

4

8 9 10 11 12 13 14

5

8 9 10 11

15 16 17 18 19 20 21

12 13 14 15 16 17 18

22 23 24 25 26 27 28

19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 3 Good Friday

6 Easter Monday

7 Karume Day

Capital Markets and Securities Authority PPF Tower, 6th Floor, Ohio Street / Garden Avenue, P. O. Box 75713 Dar Es Salaam Tanzania Tel: 255 22 2114959/61, Fax: 255 22 2113846 E-mail: info@cmsa-tz.org, omaceo@cmsa-tz.org, Website: www.cmsa-tz.org

yeartwenty15

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bibi Nasama M. Massinda akitoa nasaha wakati wa hafla ya kutunuku vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya washiriki wa masoko ya mitaji Tanzania “Certification Programme”. Picha ya pili ni Mkurugenzi wa Ushauri na Ufundi wa Taasisi ya Financial Sector Deepening Trust (FSDT) Bwana Sosthenes Kewe akimtunuku cheti mmoja wa wahitimu wa mafunzo hayo.

20 15

May Sun

Mon

Tue

Wed

Thu

Fri

31 1

Sat

Sun

2

June Mon

Tue

Wed

Thu

Fri

Sat

1 2 3

4

5

6

3 4 5 6 7 8 9

7 8 9 10 11 12 13

10 11 12 13 14 15 16

14 15 16 17 18 19 20

17 18 19 20 21 22 23

21 22 23 24 25 26 27

24 25 26 27 28 29 30

28 29 30

1 Labour Day

Capital Markets and Securities Authority PPF Tower, 6th Floor, Ohio Street / Garden Avenue, P. O. Box 75713 Dar Es Salaam Tanzania Tel: 255 22 2114959/61, Fax: 255 22 2113846 E-mail: info@cmsa-tz.org, omaceo@cmsa-tz.org, Website: www.cmsa-tz.org

yeartwenty15

Picha ya pamoja na darasa la washiriki wa mafunzo ya kuendeleza masoko ya mitaji Tanzania yanayoendeshwa kwa ushirikiano kati ya Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) na Kitengo cha Mafunzo cha Soko la Hisa la London Uingereza. Mafunzo hayo yanayotelewa kwa awamu yanawahusu watendaji wa Mamlaka (CMSA), Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Madalali wa Soko la Hisa na Washauri wa Uwekezaji yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo wa kuelewa na kukabiliana na maendeleo na changamoto za ushiriki na usimamizi wa masoko ya mitaji.

20 15

July Sun

Mon

Tue

Wed

Thu

Fri

1 2 3

Sat

4

Sun

August Mon

Tue

Wed

Thu

Fri

Sat

30 31 1

5 6 7 8 9 10 11

2

12 13 14 15 16 17 18

9 10 11 12 13 14 15

19 20 21 22 23 24 25

16 17 18 19 20 21 22

26 27 28 29 30 31

23 24 25 26 27 28 29

7 Saba saba

17 Idd El Fitri

3 4 5 6 7 8

8 Nane Nane

Capital Markets and Securities Authority PPF Tower, 6th Floor, Ohio Street / Garden Avenue, P. O. Box 75713 Dar Es Salaam Tanzania Tel: 255 22 2114959/61, Fax: 255 22 2113846 E-mail: info@cmsa-tz.org, omaceo@cmsa-tz.org, Website: www.cmsa-tz.org

yeartwenty15

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imeingia makubaliano ya ushirikiano na Chartered Institute of Securities Industry “CISI” ya Uingereza (Taasisi ya Mafunzo ya Masoko ya Mitaji) kwa CISI kutoa mtaala kwa vyuo na taasisi za elimu Tanzania wa kuendesha mafunzo ya ushiriki katika masoko ya mitaji. Pichani ni Mstahiki Meya wa Jiji la London Bibi Fiona Woolf kwa niaba ya CISI akishikana mikono na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa CMSA Bibi Fatma Simba wakati wa hafla fupi ya kutia saini makubaliano hayo. Hafla hiyo ilifanyika katika Ofisi za Financial Sector Deepening Trust (FSDT) Masaki Dar es Salaam. Wanaoshuhuidia makubaliano hayo ni maafisa wa FSDT, CMSA na CISI.

20 15

September Sun

Mon

Tue

Wed

October

Thu

Fri

Sat

Sun

Mon

Tue

Wed

Thu

Fri

Sat

1 2 3

4

5

1 2 3

6 7 8 9 10 11 12

4

5 6 7 8 9 10

13 14 15 16 17 18 19

11 12 13 14 15 16 17

20 21 22 23 24* 25 26

18 19 20 21 22 23 24

27 28 29 30 31

25 26 27 28 29 30 31

24 Idd El hajj (Depends on the sighting of the moon)

14 Mwalim Julius Nyerere Day

Capital Markets and Securities Authority PPF Tower, 6th Floor, Ohio Street / Garden Avenue, P. O. Box 75713 Dar Es Salaam Tanzania Tel: 255 22 2114959/61, Fax: 255 22 2113846 E-mail: info@cmsa-tz.org, omaceo@cmsa-tz.org, Website: www.cmsa-tz.org

yeartwenty15

Kushoto ni picha ya pamoja ya wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Wasimamizi wa Masoko ya Mitaji, Bima, Mifuko ya Jamii na Taasisi Zisizo za Kibenki wa SADC (CISNA) uliofanyika katika Hoteli ya White Sands Dar es Salaam Mwezi Mei 2014. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bibi Nasama Masinda akitoa salamu na kukaribisha wajumbe wa Mkutano wa Kamati za Wasimamizi wa Masoko ya Mitaji, Bima, Mifuko ya Jamii na Taasisi Zisizo za Kibenki wa SADC uliofanyika katika Hoteli ya White Sands Dar es Salaam Mwezi Mei 2014. Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Jamii (SSRA) na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) kwa pamoja ndiyo waliokua wenyeji wa mkutano huo.

20 15

November Sun

Mon

Tue

1 2 3

Wed

Thu

Fri

Sat

4 5 6 7

Sun

December Mon

Tue

Wed

Thu

Fri

Sat

1 2 3

4

5

8 9 10 11 12 13 14

6 7 8 9 10 11 12

15 16 17 18 19 20 21

13 14 15 16 17 18 19

22 23 24 25 26 27 28

20 21 22 23 24 25 26

29 30 31

27 28 29 30 31 9 Independence Day

25 Christmas Day

26 Chriusmas Day

Capital Markets and Securities Authority PPF Tower, 6th Floor, Ohio Street / Garden Avenue, P. O. Box 75713 Dar Es Salaam Tanzania Tel: 255 22 2114959/61, Fax: 255 22 2113846 E-mail: info@cmsa-tz.org, omaceo@cmsa-tz.org, Website: www.cmsa-tz.org

Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.