Waefeso
SURAYA1
1Paulo,mtumewaKristoYesukwamapenziyaMungu, kwawatakatifuwaliokoEfeso,nawaaminiokatikaKristo Yesu;
2NeemanaiwekwenunaamanizitokazokwaMungu BabayetunakwaBwanaYesuKristo
3AtukuzweMungu,BabawaBwanawetuYesuKristo, aliyetubarikikwabarakazotezarohoni,katikaulimwengu waroho,ndaniyakeKristo;
4kamavilealivyotuchaguakatikayeyekablayakuwekwa misingiyaulimwengu,ilituwewatakatifu,watuwasiona hatiambelezakekatikaupendo;
5Kwakuwaalitanguliakutuchagua,ilitufanywewanawe kwanjiayaYesuKristo,sawasawanauradhiwamapenzi yake;
6Kwasifayautukufuwaneemayakeambayoametufanya tukubalikendaniyakehuyompendwa.
7Ambayekatikayeyetunaukomboziwetu,masamahaya dhambi,sawasawanawingiwaneemayake;
8Nayeametuzidishiakatikahekimayotenabusara; 9akiishakutujulishasiriyamapenziyake,sawasawana uradhiwakemwemaalioukusudiandaniyake
10ilikatikakipindichautimilifuwanyakatiavikusanye pamojavituvyotekatikaKristo,vilivyombingunina vilivyojuuyanchipia;hatandaniyake:
11Katikayeyesisinasitumepataurithi,huku tukichaguliwatanguawalisawasawanakusudilakeyeye ambayehufanyamamboyotekwashaurilamapenziyake mwenyewe.
12ilisisitupatekuwasifayautukufuwake,sisi tuliomtumainiKristokwanza.
13Nanyipiakatikayeyemmekwishakulisikianenola kweli,habarinjemazawokovuwenu;
14ambayoniarabuniyaurithiwetumpakaukomboziwa milkiyakeiliyonunuliwa,kuwasifayautukufuwake.
15Kwasababuhiyomiminami,niliposikiajuuyaimani yenukatikaBwanaYesu,naupendowenukwawatakatifu wote;
16Siachikutoashukranikwaajiliyenu,nikiwatajakatika maombiyangu;
17iliMunguwaBwanawetuYesuKristo,Babawa utukufu,awapeninyirohoyahekimanayaufunuokatika kumjuayeye;
18Machoyaakiliyakoyatiwenuru;mpatekujuatumaini lamwitowakejinsililivyo,nautajiriwautukufuwaurithi wakekatikawatakatifujinsiulivyo;
19Naukuuwaukuuwauwezawakekwetusisiwaaminio jinsiulivyo,kwakadiriyautendajiwauwezawakemkuu; 20aliotendakatikaKristoalipomfufuakutokakwawafu, akamwekamkonowakewakuumekatikaulimwenguwa roho;
21juusanakulikoufalmewote,namamlaka,nanguvu,na usultani,nakilajinalitajwalo,sikatikaulimwenguhuutu, balikatikauleujaopia;
22akavitiavituvyotechiniyamiguuyake,akamwekaawe kichwajuuyavituvyotekwaajiliyakanisa;
23ambayonimwiliwake,ukamilifuwakeanayekamilisha yotekatikayote.
SURAYA2
1Nanyimlikuwawafukwasababuyamakosanadhambi zenu;
2mliziendeazamanikwakuifuatakawaidayaulimwengu huu,kwakumfuatamfalmewauwezowaanga,roho atendayekazisasakatikawanawakuasi;
3Sisisotetuliishimiongonimwaozamanikwakuzifuata tamaazamiiliyetu,tukitimizatamaazamwilinania.na kwaasilitulikuwawanawaghadhabukamawengine
4LakiniMungu,ambayenimwingiwarehema,kwa upendowakemkuualiotupenda.
5Hatatulipokuwawafukwasababuyadhambizetu, alituhuishapamojanaKristo,(mmeokolewakwaneema;) 6Akatufufuapamojanaye,akatuketishapamojanaye katikaulimwenguwaroho,katikaKristoYesu;
7ilikatikanyakatizijazoaudhihirishewingiwaneema yakeupitaokiasikwawemawakekwetusisikwanjiaya KristoYesu
8Kwamaanammeokolewakwaneema,kwanjiayaimani; walahiyohaikutokanananafsizenu,nikipawachaMungu; 9Sikwamatendo,mtuawayeyoteasijeakajisifu
10Maanatukaziyake,tuliumbwakatikaKristoYesu, tutendematendomema,ambayotokeaawaliMungu aliyatengenezailituenendenayo
11Kwahiyokumbukenikwambazamanininyimliokuwa watuwaMataifakwajinsiyamwili,mnaoitwa Wasiotahiriwanawalewaitwao,Waliotahiriwakatika mwiliunaofanywanamikono;
12WakatiulemlikuwahamnaKristo,mmefarakanana jumuiyayaIsraeli,wagenikutokakatikamaaganoyaahadi 13Lakinisasa,katikaKristoYesu,ninyimliokuwambali hapokwanzammekaribishwakwadamuyakeKristo 14Kwamaanayeyendiyeamaniyetu,aliyetufanyasisi sotetuliokuwawawilikuwammoja,akakibomoakiambaza chakatikilichotutenga;
15akiishakuuondoauleuaduikwamwiliwake,yaani,ile sheriayaamrizilizokatikamaagizo;ilikufanyahao wawilikuwamtummojampyandaniyake,nakufanya amani;
16nailikuwapatanishawotewawilinaMungukatika mwilimmojakwanjiayamsalaba,akiishakuuuauadui kwahuomsalaba;
17Akajaakahubiriamanikwenuninyimliokuwambali,na kwawalewaliokuwakaribu
18Maanakwayeyesisisotetumepatanjiayakumkaribia BabakatikaRohommoja.
19Basisasaninyisiwageniwalawapitaji,balininyini wenyejipamojanawatakatifu,watuwanyumbanimwake Mungu;
20Mmejengwajuuyamsingiwamitumenamanabii,naye KristoYesumwenyewenijiwekuulapembeni
21Ambayendaniyakejengolotelinaungamanishwana kukuahataliwehekalutakatifukatikaBwana
22Katikayeyeninyinanyimnajengwapamojakuwa maskaniyaMungukatikaRoho.
SURAYA3
1KwaajilihiyomimiPaulo,mfungwawaKristoYesu kwaajiliyenuninyiwatuwamataifa; 2IkiwammesikiajuuyauwamuziwaneemayaMungu niliyopewakwaajiliyenu;
3jinsikwambakwaufunuoalinijulishailesiri;(kama nilivyoandikahapoawalikwamanenomachache, 4Kwahiyomsomapomtawezakuufahamuujuziwangu katikasiriyaKristo.
5Jamboambalokatikanyakatinyinginehalikujulikana kwawanadamu,kamalilivyofunuliwasasakwamitumena manabiiwakewatakatifukatikaRoho; 6iliwatuwamataifamenginewawewarithipamojanasi, wamwilimmojanawashirikiwaahadiyakeiliyokatika KristokwanjiayaInjili;
7Nalifanywakuwamhudumuwake,kwakaramayaneema yaMunguniliyopewakwakutendakazikwanguvuzake
8Miminiliyemdogokulikoyeyealiyemdogozaidiwa watakatifuwote,nimepewaneemahiiyakuwahubiria mataifautajiriwakeKristousiopimika;
9nakuwaonyeshawatuwotejinsiulivyoushirikawasiri hiyo,ambayotangumwanzowaulimwenguilikuwa imesitirikakatikaMungu,aliyeviumbavituvyotekwa YesuKristo;
10ilisasakwafalmenamamlakakatikaulimwenguwa rohoijulikanekwanjiayakanisahekimayaMunguiliyo yanamnanyingi;
11sawasawanakusudilamilelealilolikusudiakatika KristoYesuBwanawetu;
12Katikayeyetunaujasirinakuingiakwaujasirikwa imaniyake
13Kwahiyonatakamsifemoyokwasababuyadhiki zangukwaajiliyenu,ambazoniutukufuwenu.
14KwasababuhiyonampigiamagotiBabawaBwana wetuYesuKristo,
15Ambayejamaayoteyambinguninadunianiinaitwa.
16awajalieni,kwakadiriyautajiriwautukufuwake, kufanywaimarakwanguvu,kwaRohowakekatikautuwa ndani;
17Kristoakaemioyonimwenukwaimani;ilininyi, mkiwanashinanamsingikatikaupendo;
18Wapatekuwezakufahamupamojanawatakatifuwote jinsiulivyoupana,naurefu,nakina,nakina;
19nakuujuaupendowaKristoupitaomaarifayote, mjazweutimilifuwotewaMungu.
20Basiatukuzweyeyeawezayekufanyamamboyaajabu mnokulikoyotetuyaombayoautuyawazayo,kwakadiri yanguvuitendayokazindaniyetu;
21KwakeuweutukufukatikakanisapamojanaKristo Yesukatikavizazivyote,milelenamileleAmina SURAYA4
1Basi,miminiliyemfungwakatikaBwana,nawasihi mwenendeinavyostahiliwitomlioitiwa; 2kwaunyenyekevuwotenaupole,kwauvumilivu, mkichukulianakatikaupendo;
3MkijitahidikuuhifadhiumojawaRohokatikakifungo chaamani
4Kunamwilimmoja,naRohommoja,kamavile mlivyoitwakatikatumainimojalawitowenu;
5Bwanammoja,imanimoja,ubatizommoja, 6MungummojanaBabawawote,aliyejuuyayotena katikayotenandaniyayote
7Lakinikilammojawetuamepewaneemakwakadiriya kipimochakipawachaKristo
8Kwahiyohusema,Alipopaajuu,alitekamateka, akawapawanadamuvipawa.
9(Basikwakuwayeyealipaa,nininiilakwambaalishuka kwanzahatasehemuzachinizanchi?
10Yeyealiyeshukandiyeyeyealiyepaajuusanakuliko mbinguzote,iliavijazevituvyote)
11Nayealitoawenginekuwamitume;nawenginemanabii; nawenginekuwawainjilisti;nawenginekuwawachungaji nawaalimu;
12kwakusudilakuwakamilishawatakatifu,hatakaziya hudumaitendeke,hatamwiliwaKristoujengwe;
13mpakasisisotetutakapoufikiaumojawaimanina kumfahamusanaMwanawaMungu,hatakuwamtu mkamilifu,hatakufikakwenyecheochakimocha utimilifuwaKristo;
14ilitusiwetenawatotowachanga,tukitupwahukuna huku,nakuchukuliwanakilaupepowaelimu,kwahilaya watu,kwaujanja,tukizioteakudanganya;
15Lakinituishikekwelikatikaupendonakukuahata tumfikieyeyekatikamamboyote,yeyealiyekichwa, Kristo
16ambayekutokakwakemwiliwoteukiungamanishwana kushikamanishwakwamsaadawakilakiungo,kwakadiri yautendajikaziwakekatikakipimochakilakiungo, hukuzamwilihataupatekujijengawenyewekatikaupendo.
17Basinasemahaya,tenanashuhudiakatikaBwana, kwambatangusasamsienendekamawatuwaMataifa waenendavyo,katikaubatiliwaniazao;
18akilizaozimetiwagiza,naowametengwanauzimawa Mungukwasababuyaujingauliomondaniyao,kwa sababuyaupofuwamioyoyao;
19ambaokwakukosahisiawamejitiakatikaufisadina kufanyauchafuwotekwakutamani
20LakinininyihamkumjifunzaKristohivyo;
21ikiwammemsikianammefundishwanayekamakweli ilivyokatikaYesu;
22Mvuekwahabariyamwenendowakwanzautuwakale, unaoharibikakwakuzifuatatamaadanganyifu;
23Mfanywewapyakatikarohoyaniazenu;
24mkavaeutumpya,ulioumbwakwanamnayaMungu katikahakinautakatifuwakweli
25Kwahiyouvueniuongo,mkasemekwelikilamtuna jiraniyake;
26Mwenahasira,walamsitendedhambi;
27WalamsimpeIbilisinafasi
28Aliyeibaasiibetena;
29Nenololotelililoovulisitokevinywanimwenu,bali lililojemalakumfaamwenyekuhitaji,ililiwapeneema wanaosikia
30WalamsimhuzunisheRohoMtakatifuwaMungu, ambayekwayeyemlitiwamuhurihatasikuyaukombozi
31Uchunguwotenaghadhabunahasiranakelelena matukanoyaondokekwenupamojanakilanamnayaubaya
32Tenaiweniwafadhilininyikwaninyi,wenyehuruma, mkasameheanekamanaMungukwaajiliyaKristo alivyowasameheninyi
SURAYA5
1BasimfuateniMungu,kamawatotowapenzi;
2mkaenendekatikaupendo,kamaKristonaye alivyotupenda,akajitoakwaajiliyetu,sadakanadhabihu kwaMungu,kuwaharufuyamanukato
3Lakiniuasheratiusitajwekwenukamwe,walauchafuwo wotewakutamani,kamaiwastahilivyowatakatifu;
4Walaaibu,walamanenoyaupuzi,walamizaha,mambo ambayohayafai;baliafadhalikushukuru
5Maananenohilimnalijua,yakwambahakuna mwasheratiwalamchafuwalamwenyetamaa,ndiye mwabudusanamu,aliyenaurithikatikaUfalmewaKristo nawaMungu
6Mtuawayeyoteasiwadanganyekwamanenoyasiyona maana;
7Kwahiyomsiwewashirikiwao
8Kwamaanazamanininyimlikuwagiza,balisasa mmekuwanurukatikaBwana;
9(KwamaanatundalaRohonikatikawemawotenahaki nakweli;)
10mkihakikinininiimpendezayoBwana.
11Walamsishirikianenamatendoyasiyozaayagiza,bali myakemee
12Kwamaanamamboyanayotendwakwaokwasirini aibuhatakuyataja
13Lakinimamboyoteyanayokemewahudhihirishwana nuru;
14Kwahiyohusema,Amkaweweusinziaye,ufufuke katikawafu,naKristoatakuangaza
15Basiangalienijinsimnavyoenenda;sikamawatuwasio nahekima,balikamawatuwenyehekima;
16mkiukomboawakatikwamaanazamanihizinizauovu
17Kwahiyomsiwewajinga,balimfahamunininiyaliyo mapenziyaBwana
18Tenamsilewekwamvinyo,ambamomnaufisadi;bali mjazweRoho;
19mkisemezanakwazaburi,nanyimbo,natenzizarohoni, hukumkiimbanakumshangiliaBwanamioyonimwenu;
20mkimshukuruMunguBabasikuzotekwamamboyote, katikajinalaBwanawetuYesuKristo;
21JitiishenininyikwaninyikatikakumchaMungu 22Enyiwake,watiiniwaumezenukamakumtiiBwana.
23Kwamaanamumenikichwachamkewe,kamaKristo nayenikichwachakanisa,nayenimwokoziwamwili 24KwahiyokamavilekanisalinavyomtiiKristo,vivyo hivyowakenawawatiiwaumezaokatikakilajambo 25Enyiwaume,wapendeniwakezenu,kamaKristonaye alivyolipendaKanisa,akajitoakwaajiliyake; 26ilimakusudialitakasenakulisafishakwamajikatika neno;
27iliajileteekanisatukufu,lisilonailawalakunyanzi walalolotekamahayo;baliliwetakatifulisilonamawaa
28Vivyohivyoimewapasawanaumekuwapendawakezao kamamiiliyaowenyewe.Anayempendamkewake anajipendamwenyewe
29Kwamaanahakunamtuanayeuchukiamwiliwake wakatiwowote;balianalilishanakulitunza,kamavile Bwananayeanavyolitunzakanisa;
30Kwamaanasisituviungovyamwiliwake,nyamayake namifupayake
31Kwasababuhiyomwanamumeatamwachababayake namamayake,ataambatananamkewe,nahaowawili watakuwamwilimmoja
32Sirihiinikubwa,lakinimiminanenahabarizaKristo nakanisa.
33Lakinikilammojawenuampendemkewekamanafsi yakemwenyewe;namkeanapaswakumstahimumewe.
SURAYA6
1Enyiwatoto,watiiniwazaziwenukatikaBwana,maana hiindiyohaki
2Waheshimubabayakonamamayako;(ambayondiyo amriyakwanzayenyeahadi;)
3Upateheri,ukaesikunyingikatikadunia
4Nanyiakinababa,msiwachokozewatotowenu,bali waleenikatikaadabunamaonyoyaBwana
5Enyiwatumwa,watiinimabwanazenukwajinsiya mwilikwahofunatetemeko,kwaunyofuwamioyoyenu, kamakumtiiKristo;
6sikwakuwatazamatu,kamawapendezaowatu;bali kamawatumishiwaKristo,mkitendamapenziyaMungu kwamoyo;
7mkitumikiakwanianjema,kamakumtumikiaBwana,na sikwawanadamu;
8mkijuayakuwakilanenojemaalitendalomtuatapewa lilohilonaBwana,kwambanimtumwaaukwambanimtu huru.
9Nanyimabwana,wafanyienivivyohivyo,mkiacha kuwatisha,mkijuayakuwaBwanawenunayeyuko mbinguni;walahakunaupendeleokwake.
10Hatimaye,mzidikuwahodarikatikaBwananakatika uwezawanguvuzake
11VaenisilahazotezaMungu,mpatekuwezakuzipinga hilazaShetani
12Kwamaanakushindanakwetusisisijuuyadamuna nyama,balinijuuyafalmenamamlaka,juuyawakuuwa gizahili,juuyamajeshiyapepowabayakatikaulimwengu waroho
13KwahiyotwaenisilahazotezaMungu,mpatekuweza kushindanasikuyauovu,namkiishakuyatimizayote, kusimama
14Basisimameni,halimmejifungakweliviunoni,na kuvaadiriiyahakikifuani; 15nakufungiwamiguuutayaritupataokwaInjiliyaamani; 16zaidiyayotemkiitwaangaoyaimani,ambayokwahiyo mtawezakuizimamishaleyoteyenyemotoyayulemwovu 17Tenaipokeenichapeoyawokovu,naupangawaRoho ambaoninenolaMungu;
18kwasalazotenamaombimkisalikilawakatikatika Roho,mkikeshakwajambohilonakudumukatika kuwaombeawatakatifuwote;
19nakwaajiliyangumimi,nipeweusemi,nifumbue kinywachangukwaujasiri,niihubiriilesiriyaInjili; 20Kwaajiliyahiyomiminibalozikatikavifungo,ili nipatekunenakwaujasirindaniyakekamainavyonipasa kunena
21Lakiniilininyipiampatekujuamamboyangu,najinsi ninavyoendelea,Tikiko,ndugumpendwanamtumishi mwaminifukatikaBwana,atawajulishamamboyote. 22ambayenimemtumakwenukwaajilihiyo,ilimpate kujuamamboyetu,naaifarijimioyoyenu
23Amaninaiwekwandugu,naupendopamojanaimani kutokakwaMunguBabanakwaBwanaYesuKristo
24NeemanaiwepamojanawotewampendaoBwanawetu YesuKristokwaunyofu.Amina.(KwaWaefeso iliyoandikwakutokaRumi,naTikiko)