2Wakorintho
SURAYA1
1Paulo,mtumewaKristoYesukwamapenziyaMungu, naTimotheonduguyetu,kwakanisalaMungulililoko Korintho,pamojanawatakatifuwotekatikaAkayayote; 2NeemanaiwekwenunaamanikutokakwaMunguBaba yetunakwaBwanaYesuKristo
3AhimidiweMungu,BabawaBwanawetuYesuKristo, Babawarehema,Munguwafarajayote; 4atufarijiyekatikadhikizetuzoteilinasitupatekuwafariji walewaliokatikadhikizanamnazote,kwafarajahizo tunazofarijiwanaMungu.
5MaanakamavilematesoyaKristoyanavyozidindani yetu,vivyohivyofarajayetuinazidikwanjiayaKristo 6Naikiwatunateswa,nikwaajiliyafarajayenuna wokovuwenu,unaofanyakazikatikakustahimilimateso yaleyaletunayotesekasisipia;auikiwatunafarijiwa,ni kwaajiliyafarajanawokovuwenu.
7Natumainiletukwaajiliyenunithabiti,tukijuayakuwa kamavilemnavyoshirikimatesohayo,ndivyo mtakavyokuwawashirikiwafaraja.
8Kwamaana,akinandugu,hatupendimkosekujuajuuya taabuyetuiliyotupatakatikaAsia,kwambatulisongwa kupitakiasi,kupitanguvu,hatatukakatatamaayakuishi.
9Lakinisisiwenyewetulikuwanahukumuyakifondani yetuilitusijitumainiewenyewe,balitumtumainiMungu ambayehuwafufuawafu.
10ambayealituokoakatikamautikuunamnaile,tena atuokoa;
11Ninyinanyimkisaidiananasikwakutuombea,ili kwambakwaajiliyakaramatuliyopewakwanjiayawatu wengi,watuwengiwatoeshukranikwaajiliyetu.
12Kwamaanakujisifukwetunihuku,ushuhudawa dhamiriyetu,yakwambakwaunyofunaunyofuwa kimungu,sikwahekimayamwili,balikwaneemaya Mungu,tulienendaulimwenguni,nazaidikwenuninyi.
13Kwamaanahatuwaandikiininyimambomengine,ila yalemnayosomaaukuyakubali;naninatumainimtakubali hatamwisho;
14kamavilemlivyotukirikwasehemu,yakuwasisini fahariyenu,kamaninyinanyimlivyowetukatikaSikuya BwanaYesu
15Naminikiwanauhakikahuonilikusudiakujakwenu hapoawali,ilimpatebarakayapili; 16nakupitakwenukwendaMakedonia,nakuruditena kutokaMakedoniakwenu,nakunisindikizakwenda Uyahudi.
17Basi,nilipokuwananiahiyo,je!Aumambo ninayokusudia,je,nayakusudiakwajinsiyamwili, kwambakwanguiwendiyo,ndiyo,nasiyosiyo?
18LakinikamaMungualivyokweli,nenoletukwenu halikuwandiyonasiyo
19KwamaanaMwanawaMungu,YesuKristo, aliyehubiriwakatikatiyenunasisi,miminaSilwanona Timotheo,hakuwaNdiyonasiyo,balindaniyakeilikuwa Ndiyo.
20MaanaahadizotezaMunguzilizokatikayeyeniNdiyo; tenakatikayeyeniAmina;
21BasiyeyeatufanyayeimarapamojananyikatikaKristo, nakututiamafuta,niMungu;
22Nayendiyealiyetutiamuhurinakutupaarabuniya Rohomioyonimwetu
23Zaidiyahayo,namwitaMungukuwashahidijuuya rohoyangu,kwambakwakuwahurumianinyi,sikujabado Korintho
24Sikwambatunatawalaimaniyenu,balituwasaidiziwa furahayenu,maanakwaimanimnasimama.
SURAYA2
1Lakininalikusudiahilimimimwenyewe,nisijekwenu tenakwahuzuni
2Kwamaananikiwahuzunishaninyi,basi,ninani atakayenifurahisha,ilayuleniliyemhuzunisha?
3Naminiliwaandikianinyinenolilohilo,ilinijaponisiwe nahuzunikwaajiliyaoambaoilinipasakuwafurahia; Nikiwatumainininyinyotekwambafurahayangunifuraha yenuninyinyote
4Kwamaanakatikadhikinyinginahuzuniyamoyo naliwaandikiakwamachozimengi;siilimhuzunishwe, balimpatekujuaupendonilionaokwenukwawingizaidi.
5Lakiniikiwakunamtualiyemhuzunisha, hakunihuzunishamimi,balikwasehemu,ilinisije nikawalemeaninyinyote
6Yamtoshamtuwanamnahiiadhabuhiialiyopewana wengi
7Basi,kinyumechake,imewapasakumsamehena kumfariji,ilimtukamahuyoasijeakamezwanahuzuni nyingikupitakiasi
8Kwahivyonawasihikwambamthibitisheupendowenu kwake
9Kwamaanahiipianiliandika,ilinipatekujuauthibitisho wenukwambamnakutiikatikamamboyote.
10Kwakeambayemnamsamehechochote,mimipia ninamsamehe;
11Shetaniasijeakapatakutushinda;kwamaanahatukosi kuzijuafikirazake
12Zaidiyahayo,nilipofikaTroakuhubiriHabariNjema yaKristo,namlangoulifunguliwakwaBwana.
13Sikupatautulivurohonimwangu,kwasababu sikumwonaTito,nduguyangu;
14Mungunaashukuriwe,anayetushangiliasikuzotekatika Kristo,nakuidhihirishaharufuyakumjuayeyekilamahali kwakaziyetu
15KwamaanasisitumanukatoyaKristombelezaMungu, katikawaowanaookolewanakatikawaowanaopotea
16Kwawenginesisiniharufuyamautiiletayomauti;na kwahaowengineharufuyauzimailetayouzima.Nani nanianayetoshakwamambohaya?
17Kwamaanasisisikamawatuwengiwanaoliharibu nenolaMungu;
SURAYA3
1Je,tunaanzatenakujipendekezawenyewe?Je!tunahitaji kamawenginebaruazakuwasifuaukuwasifukutoka kwenu?
2Ninyinibaruayetuiliyoandikwamioyonimwetu, inayojulikananakusomwanawatuwote
3mmedhihirishwakwambammekuwabaruayaKristo tuliyoitumikia,iliyoandikwasikwawino,balikwaRoho
waMungualiyehai;sikatikavibaovyamawe,balikatika vibaovyamioyoyanyama.
4NatumainihilitunalokwaMungukwanjiayaKristo
5Sikwambatwatoshasisiwenyewekufikirinenololote kuwaniletuwenyewe;baliutoshelevuwetuwatokakwa Mungu;
6Nayendiyealiyetutoshelezakuwawahudumuwaagano jipya;siwaandiko,baliwaroho;kwamaanaandikohuua, balirohohuhuisha
7Lakiniikiwahudumayakifo,iliyoandikwanakuchorwa katikamawe,ilikuwanautukufu,hatawanawaIsraeli hawakuwezakuutazamausowaMusakwaajiliyautukufu wausowake;utukufuambaoulipaswakuondolewa.
8Je!hudumayaRohohaitakuwanautukufuzaidi?
9Kwamaanaikiwahudumayahukumuinautukufu,zaidi sanahudumayahakiinautukufuzaidi.
10Kwamaanahatakilekilichotukuzwahakikuwana utukufukatikanamnahiyo,kwasababuyautukufuule uziopitao.
11Kwamaanaikiwakilekilichobatilishwakilikuwana utukufu,zaidisanakilekinachobakiakinautukufu 12Basi,kwakuwatunatumainilanamnahii,twatumia usemiwauwazisana;
13WalasikamaMusa,ambayealiwekautajijuuyauso wake,iliwanawaIsraeliwasiwezekuutazamamwishowa kileambachokitakomeshwa;
14Lakiniakilizaozilipofushwa,kwamaanampakaleo utajiuohuounakaabilakuondolewakatikausomajiwa aganolakale;utajiambaoumeondolewakatikaKristo 15Lakinihataleo,Musaisomwapo,utajiukojuuyamioyo yao.
16LakiniitakapomgeukiaBwana,utajiutaondolewa 17BasiBwanandiyeRoho;naalipoRohowaBwana, hapondipopenyeuhuru.
18Lakinisisisote,kwausousiowazi,tukiurudisha utukufuwaBwanakamakatikakioo,tunabadilishwa tufananenamfanouohuo,tokautukufuhatautukufu, kamavilekwauwezawaRohowaBwana
SURAYA4
1Basi,kwakuwatunahudumahii,kwajinsitulivyopokea rehema,hatulegei; 2balitumekataamamboyaaibuyaliyositirika,wala hatuenendikwahila,walakulichanganyanenolaMungu nauongo;balikwakuidhihirishailiyokweli, twajipendekezakwadhamiriyakilamtumbelezaMungu
3Lakiniikiwainjiliyetuimesitirika,imesitirikakwahao wanaopotea
4ambaondaniyaomunguwaduniahiiamepofushafikira zaowasioamini,isiwazukienuruyaInjiliyautukufuwake KristoaliyesurayakeMungu.
5Kwamaanahatujihubirisisiwenyewe,baliKristoYesu kwambaniBwana;nasisiwenyewetuwatumishiwenu kwaajiliyaYesu
6KwamaanaMungu,ambayealisema,Nuruitang'aa kutokagizani,ndiyealiyeng'aamioyonimwetu,atupenuru yaelimuyautukufuwaMungukatikausowaYesuKristo 7Lakinitunahazinahiikatikavyombovyaudongo,ili adhamakuuyauwezoiweyaMungu,nasikutokakwetu.
8Tunataabikapandezote,lakinihatusongwi;twashangaa, lakinihatukatitamaa;
9twaudhiwa,lakinihatuachwi;tunatupwachini,lakini hatuangamizwi;
10SikuzotetukichukuakatikamwilikufakwakeBwana Yesu,iliuzimawaYesunaoudhihirishwekatikamiiliyetu.
11Kwamaanasisituliohaitwatolewasikuzotetufekwa ajiliyaYesu,iliuzimawaYesunaoudhihirishwekatika miiliyetuipatikanayonamauti
12Hivyobasi,kifokinafanyakazindaniyetu,baliuzima ndaniyenu
13Sisitunarohoileileyaimani,kamailivyoandikwa, Niliamini,nakwasababuhiyonilisema;sisinasitunaamini, nakwahiyotwanena;
14tukijuakwambayeyealiyemfufuaBwanaYesu atatufufuasisinasipamojanaYesunakutuhudhurisha pamojananyi
15Kwamaanamamboyotenikwaajiliyenu,ilineema hiyoikitokakwawengi,kwanjiayawatuwengiwatoe shukranikwautukufuwaMungu
16Ndiyomaanahatulegei;baliijapokuwautuwetuwanje unaharibika,lakiniutuwetuwandaniunafanywaupyasiku kwasiku
17Maanadhikiyetunyepesi,iliyoyamudawakitambotu, yatufanyiautukufuwamileleuzidiokuwamwingi;
18Tunapovitazamatusiviangalievinavyoonekana,bali visivyoonekana;lakinivisivyoonekananivyamilele.
SURAYA5
1Kwamaanatwajuayakuwanyumbayetuyakiduniaya maskanihiiikiharibiwa,tunalojengolitokalokwaMungu, nyumbaisiyofanywakwamikono,yamilelembinguni.
2Kwamaanakatikahilitunaugua,tukitamanisana kuvikwanyumbayetuiliyombinguni;
3ikiwatutakuwatumevaahatutaonekanauchi.
4Kwamaanasisituliokatikahemahiitunaugua, tukilemewa;
5Basiyeyealiyetufanyakwaajiliyajambohilohiloni Mungu,ambayepiaametupaarabuniyaRoho
6Kwahiyotunaujasirisikuzote,tukijuayakuwa,tukiwa nyumbanikatikamwili,hatupokwaBwana;
7(Maanatwaenendakwaimani,sikwakuona;)
8Tunaujasiri,nakusema,natukotayarikuwambalina mwilinakukaapamojanaBwana.
9Kwahiyotwataabikailitupatekukubaliwanaye,iwe tukiwapoautusipokuwepo
10Kwamaanaimetupasasisisotekudhihirishwambeleya kitichahukumuchaKristo;ilikilamtuapokeeyale aliyotendakatikamwili,kadirialivyotenda,kwambani memaaumabaya
11Basi,tukijuautishowaBwana,twawavutawatu;lakini tunadhihirishwakwaMungu;Naminatumainikwamba katikadhamirizenummedhihirishwa.
12Kwamaanahatujisifutenakwenu,balitunawapeni sababuyakujisifukwaajiliyetu,ilimpatekuwajibuwale wanaojisifukwasurayausoni,walasikwamoyo
13Ikiwatunawazimu,nikwaajiliyaMungu;auikiwa tunakiasi,nikwaajiliyenu.
14KwamaanaupendowaKristowatubidisha;kwasababu twahukumuhivi,yakwambammojaalikufakwaajiliya wote,basiwotewamekufa;
15nayealikufakwaajiliyawote,iliwaliohaiwasiwehai tenakwaajiliyaowenyewe,balikwaajiliyakeyeye aliyekufaakafufukakwaajiliyao
16Kwahiyo,tangusasahatumjuimtuyeyotekwajinsiya mwili;
17Hataimekuwa,mtuakiwandaniyaKristoamekuwa kiumbekipya;tazama,yoteyamekuwamapya
18NavituvyotepiavyatokananaMungu,aliyetupatanisha sisinanafsiyakekwaKristo,nayeakatupahudumaya upatanisho;
19yaani,MungualikuwandaniyaKristo,akiupatanisha ulimwengunanafsiyake,asiwahesabiemakosayao;naye ametiandaniyetunenolaupatanisho.
20Basi,sisinimabalozikwaajiliyaKristo,kanakwamba Munguanasihikwavinywavyetu
21Yeyeasiyejuadhambialimfanyakuwadhambikwaajili yetu;ilisisitufanywehakiyaMungukatikayeye
SURAYA6
1Basi,tukiwawatendakazipamojanaye,twawasihi msiipokeeneemayaMungubure.
2(Kwamaanaasema,Wakatiuliokubalikanalikusikia, sikuyawokovunalikusaidia;tazama,wakatiuliokubalika ndiosasa;tazama,sikuyawokovundiyosasa.)
3bilakuwakwazakatikanenololote,ilihuduma isilaumiwe;
4Balikatikamamboyotetukijidhihirishakuwawatumishi waMungu,katikasaburinyingi,katikadhiki,nataabu,na katikashida;
5katikakupigwa,katikavifungo,katikaghasia,katika taabu,katikakukesha,katikakufunga; 6kwausafi,katikaujuzi,kwauvumilivu,kwawema,kwa RohoMtakatifu,kwaupendousionaunafiki;
7kwanenolakweli,nakwanguvuzaMungu,nasilahaza haki,mkonowakuumenawakushoto; 8kwaheshimanaaibu,kwasifambayanasifanjema; 9kamawatuwasiojulikana,lakinitunajulikanasana;kama wanaokufa,natazama,tunaishi;kamawalioadhibiwa,nasi kuuawa;
10kamawenyehuzuni,lakinitukifurahisikuzote;kama maskini,lakinitukifanyawengikuwamatajiri;kamawasio nakitu,lakinitunavituvyote.
11EnyiWakorintho,kinywachetukimefunguliwakwenu, mioyoyetuimepanuka
12Nyinyihamsongwindaniyetu,balimnabanwa matumbonimwenu
13Sasakwaajiliyaujirawake,(nasemakamanawatoto wangu)ongezekeninanyipia
14Msifungwenirapamojanawasioaminikwajinsiisivyo sawasawa;kwamaanapanaurafikiganikatiyahakina uasi?Tenapanashirikaganikatiyanurunagiza?
15TenapanaulinganifuganikatiyaKristonaBeliari?Au yeyeaaminiyeanasehemuganipamojanaasiyeamini?
16TenapanamapatanoganikatiyahekalulaMunguna sanamu?kwamaananinyinihekalulaMungualiyehai; kamaMungualivyosema,Nitakaandaniyao,nandaniyao nitatembea;naminitakuwaMunguwao,naowatakuwa watuwangu
17Kwahiyo,tokenikatiyao,mkatengwenao,asema Bwana,walamsigusekitukilichokichafu;nami nitakupokea,
18NaminitakuwaBabakwenu,nanyimtakuwawanangu wakiumenawakike,asemaBwanaMwenyezi.
SURAYA7
1Basi,wapenziwangu,kwakuwatunaahadihizo,na tujitakasenafsizetunauchafuwotewamwilinaroho, hukutukitimizautakatifukatikakumchaMungu.
2Utupokee;hatukumdhulumumtuyeyote,hatukumdhuru mtu,hatukumdhulumumtu
3Sisemihiliilikuwahukumu;
4Ninaujasirimwingiwakusemakwenu,fahariyanguni kubwajuuyenu;nimejaafaraja,nafurahisanakatikadhiki zetuzote
5KwamaanatulipofikaMakedoniamwiliwetuhaukupata raha,balitulitaabikapandezote;njekulikuwanamapigano, ndanikulikuwanahofu
6LakiniMungu,mwenyekuwafarijiwaliochini,alitufariji sisikwakujakwakeTito;
7Walasikwakujakwaketu,balipiakwafarajaambayo alifarijiwakwaajiliyenu,alipotuambiajinsi mnavyotamanisana,namaombolezoyenu,nabidiiyenu kunihusu;hivikwambanilifurahizaidi
8Kwamaanaijapokuwaniliwahuzunishakwawaraka, sijuti,ijapokuwanatubu;
9Sasanafurahi,sikwambamlihuzunishwa,balikwamba mlihuzunishwahatamkatubu;
10KwamaanahuzuniiliyokwajinsiyaMunguhufanya tobaliletalowokovulisilonakutubu;balihuzuniyadunia hufanyamauti
11Kwamaanatazama,mlihuzunishwananamnaya utauwa,jinsililivyofanyabidiindaniyenu;ndio,kulipiza kisasigani!Katikamamboyotemmejithibitishawenyewe kuwawazikatikajambohili.
12Kwahiyo,ijapokuwaniliwaandikia,sikufanyahivyo kwaajiliyakealiyekosa,walasikwaajiliyakeyeye aliyedhulumiwa,baliilikuwajalikwetuninyimbeleza Munguionekanekwenu
13Kwahiyotulifarijiwakatikafarajayenu;naam,nasisi tulifurahizaidisanakwaajiliyafurahayaTito,kwa sababurohoyakeiliburudishwananinyinyote
14Kwamaanaikiwanimejisifukwakejuuyenu, sikutahayari;lakinikamaviletulivyowaambiamamboyote kwakweli,vivyohivyonakujisifukwetumbeleyaTito kumekuwakweli
15Naupendowakewandaniunazidikuwamwingi, anapokumbukakutiikwenuninyinyote,jinsi mlivyompokeakwahofunakutetemeka.
16Kwahiyonafurahikwambaninauhakikananyikatika mamboyote
SURAYA8
1Zaidiyahayo,ndugu,tunawaarifujuuyaneemaya MunguwaliyopewamakanisayaMakedonia; 2jinsiwalivyokuwakatikamajaribumakuuyadhiki,wingi wafurahayaonaumaskiniwaomwingiuliwaongezea utajiriwaukarimuwao
3Kwamaana,kwauwezowao,nashuhudia,naam,nazaidi yauwezowaowalijitoleawenyewe; 4wakituombeakwaduanyingiilituipokeehiyokarama, nakushirikipamojanasikatikahudumakwawatakatifu
5Walifanyahivyo,sikamatulivyotarajia,baliwalijitoa waowenyewekwanzakwaBwananakwetusisi,kwa mapenziyaMungu
6KwahiyotulimsihiTito,kwambakamaalivyoanza, amaliziepianeemahiyohiyondaniyenu.
7Kwahiyo,kwavilemlivyokujaatelekatikakilajambo, katikaimani,nakatikausemi,nakatikamaarifa,nakatika bidiiyote,nakatikaupendowenukwetusisi,angalienipia kwambamzidisanakatikaneemahii
8Sisemikwaamri,balikwaajiliyabidiiyawenginena kuuthibitishaunyofuwaupendowenu
9MaanamnajuaneemayaBwanawetuYesuKristo,jinsi alivyokuwamaskinikwaajiliyenu,ingawaalikuwatajiri, ilininyimpatekuwamatajirikwaumaskiniwake
10Nakatikahilinatoaushauriwangu:kwamaanahili lawafaaninyimlioanzamwakammojauliopita,sikufanya tu,balipiakuwanahamu
11Basisasatimizenikuifanya;ilikamavilekulivyokuwa nautayariwakutaka,vivyohivyopawenautimilifukatika yalemliyonayo
12Maanaikiwakoniayakwanza,inakubaliwakama alivyonavyomtu,sikamaasivyonacho.
13Maanasisemikwambawatuwenginewastarehe,nanyi mlemewe;
14balikwausawa,ilisasawakatihuuwingiwenuupate kuwajazaupungufuwao,iliwingiwaopiaufaidikena upungufuwenu,ilikuwenausawa;
15KamayasemavyoMaandikoMatakatifu:"Yeye aliyekusanyavingihakuwanaziada;nayeyealiyekusanya kidogohakupungukiwa
16LakiniMungunaashukuriwe,aliyetiabidiihiyohiyo ndaniyamoyowaTitokwaajiliyenu
17Kwamaanakwelialikubalimaonyo;lakinikwahiari yakemwenyewealikwendakwenu.
18Napamojanayetumemtumanduguambayesifayake katikakuenezaInjiliikatikamakanisayote; 19Walasihivyotu,balipiayeyealiyechaguliwana makanisailikusafiripamojanasikwaneemahii,ambayo inasimamiwanasikwautukufuwaBwanayeyeyule,na kudhihirishaniayenu.
20tukijiepushanahayo,ilimtuawayeyoteasije akatulaumujuuyawingihuutunaokabidhiwa
21tukitunzamambomema,simbeleyaBwanatu,balina mbeleyawanadamu
22Napamojanaotumemtumanduguyetuambayemara nyingitumemthibitishakuwaanabidiikatikamambo mengi,lakinisasaanabidiizaidikwasababuyatumaini kuunililonalokwenu.
23IkiwamtuyeyoteanaulizakuhusuTito,yeyeni mwenzangunamfanyakazimwenzangukwaajiliyenu;
24Kwahiyowaonyesheniwaonambeleyamakanisa uthibitishowaupendowenunawakujisifukwetukwaajili yenu
SURAYA9
1Maanakwahabariyahudumakwawatakatifu,sinabudi kuwaandikia;
2Kwamaananajuabidiiyamoyowenu,ambayokwahiyo najivuniakwaajiliyenukwawatuwaMakedonia,ya kwambaAkayailikuwatayarimwakammojauliopita;na bidiiyenuimewaudhiwatuwengisana
3Lakininimewatumahaondugu,ilikujivuniakwetujuu yenukusiweburekatikajambohili;ili,kamanilivyosema, muwetayari;
4IsijeikawawatuwaMakedoniawakijapamojanamina kuwakutahamkotayari,sisi(tusisemeninyi)tutaaibika katikakujisifuhukukwetu
5Kwahiyonilionaimenilazimukuwasihiakinandugu watanguliekujakwenunakufanyakimbeleukarimuwenu, ambaomlikwishashuhudia,iliuwetayari,kamafadhila, walasikwakutamani
6Lakininasemanenohili,Apandayehabaatavunahaba; naapandayekwaukarimuatavunakwaukarimu
7Kilamtunaatoekamaalivyokusudiamoyonimwake;si kwahuzuniwalakwalazima;maanaMunguhumpenda yeyeatoayekwamoyowaukunjufu
8NaMunguawezakuwajazakilaneemakwawingi;ili ninyi,mkiwanarizikizakilanamnasikuzote,mpate kuzidisanakatikakilatendojema;
9(kamailivyoandikwa,Ametapanya,amewapamaskini; hakiyakeyakaamilele
10Nayeampayembegumpanzihuwapamkateuwe chakulachenu,nakuzizidishambeguzenu,nakuyaongeza matundayahakiyenu;
11mkitajirishwakatikamamboyotempatekuwana ukarimuwote,umpatiaoMungushukranikwakaziyetu.
12Maanautumishiwahudumahiihauwatimiziiwatakatifu mahitajiyaopekee,balipiahuzidisanakwashukrani nyingiapewazoMungu;
13KwakujaribiwakwahudumahiiwanamtukuzaMungu kwaajiliyautiiwenukatikakuiungamakwenuInjiliya Kristo,nakwaajiliyaukarimuwenumlionaokwaona kwawatuwote;
14Nakwakuwaombeaninyi,wawaoneashaukukwaajili yaneemayaMunguiliyokuuzaidindaniyenu.
15ShukranikwaMungukwaajiliyazawadiyake isiyoneneka
SURAYA10
1Basi,mimiPaulomwenyewenawasihikwaupolena upolewaKristo,ambayemiminimnyenyekevunikiwapo katiyenu,lakininisipokuwaponinaujasirikwenu;
2Lakininawasihinitakapokuwaponisiwenaujasirikwa ujasiriuleambaoninafikiriniwejasiridhidiyawatu wanaotudhaniakuwatunaishikufuatananamamboya mwili.
3Maanaingawatunaenendakatikamwili,hatufanyivita kwajinsiyamwili;
4(maanasilahazavitavyetusizamwili,balizinauwezo katikaMunguhatakuangushangome;)
5tukiangushamawazonakilakitukilichoinuka, kijiinuachojuuyaelimuyaMungu;natukitekanyarakila fikiraipatekumtiiKristo;
6tenatukiwatayarikulipizakisasimaasiyote,kutiikwenu kutakapotimia
7Je,mnatazamamambokwasurayanje?Mtuakijiamini kuwayeyeniwaKristo,naafikirienafsinimwakeneno hilitena,yakwambakamayeyealivyowaKristo,vivyo hivyonasisituwaKristo
8Maana,ijapokuwaningejisifuzaidijuuyamamlaka tuliyopewanaBwanakwaajiliyakuwajengawalasi kuwaangamiza,sitatahayari;
9Ilinisionekanekamanapendakuwatiahofukwabarua
10Kwamaanawanasema,baruazakeninzitonazenye nguvu;lakiniuwepowakewamwilinidhaifu,nausemi wakeniwakudharauliwa.
11Mtuwanamnahiinaafikirihili,kwambakama tunavyosemakwanjiayabaruawakatihatupo,ndivyo tutakavyokuwakatikatendotunapokuwapo
12Kwamaanahatuthubutukujihesabunakujilinganisha nawenginewanaojisifuwenyewe;
13Lakinisisihatutajisifukupitakiasi,balikwakadiriya kipimoambachoMungualitugawia,kipimochakuwafikia hataninyi
14Kwamaanahatujinyooshikupitakiasi,kanakwamba hatukufikakwenu;
15Tusijisifujuuyamambobilakipimo,yaani,kaziya watuwengine;lakinitunatumainikwambaimaniyenu itakapoongezeka,tutakuzwakwenukwakadiriyakipimo chetukwawingi;
16kuihubiriInjilikatikasehemuzilizong'amboyenu,wala tusijisifukatikasafuyamtumwinginejuuyamambo yaliyowekwatayarikwamikonoyetu
17BaliyeyeajisifuyenaajisifukatikaBwana.
18Maanasiyeyeajisifuyeambayeamekubaliwa,baliyeye ambayeBwanaasifiwa
SURAYA11
1Laitimngewezakunivumiliakidogokatikaupumbavu wangu;
2Kwamaananawaoneawivu,wivuwaMungu;kwa maananaliwaposeamumemmoja,ilinimleteeKristo bikirasafi
3Lakininacheleakwambakamayulenyoka alivyomdanganyaHawakwahilayake,fikirazenuzisije zikapotoshwamkauachaunyofuuliokatikaKristo
4KwamaanamtuajayeakihubiriYesumwingineambaye sisihatukumhubiri,aumkipokearohonyingine msiyoipokea,auinjilinyinginemsiyoikubali,mnaweza kuvumiliananaye
5Kwamaananadhanisikupungukiwahatakidogona mitumewaliowakuu
6Lakininijapokuwamtumjingakatikakunena,sikatika maarifa;lakinitumedhihirishwakwenukabisakatika mamboyote
7Je,nimefanyakosakwakujinyenyekezailininyi mtukuzwe,kwasababuniliwahubiriaInjiliyaMungubila malipo?
8Naliibamakanisamengine,nikitwaaujirakwaoili niwatumikieninyi
9Naminilipokuwapokwenunakuhitajisikumlemeamtu yeyote;nitajiweka
10KamavileukweliwaKristoulivyondaniyangu,hakuna mtuatakayenizuiakujisifuhukokatikamikoayaAkaya 11Kwanini?kwanisikupendi?Munguanajua
12Lakininifanyalo,hilonitalifanya,iliniwapotezehao watafutaonafasi;ilikatikakilewajisifucho,waonekane kamasisi.
13Maanawatukamahaonimitumewauongo,watenda kazikwahila,wanaojigeuzawawemfanowamitumewa Kristo.
14Walasiajabu;kwamaanaShetanimwenyewe hujigeuzaawemfanowamalaikawanuru
15Basisinenokubwawatumishiwakenaowakijigeuza wawemfanowawatumishiwahaki;ambaomwishowao utakuwasawasawanamatendoyao
16Tenanasema,Mtuasinifikiriekuwampumbavu;kama sivyo,nipokeenikamampumbavu,ilinipatekujisifu kidogo
17Hayonisemayo,sisemikwajinsiyaBwana,balikama upumbavu,katikaujasirihuuwakujisifu.
18Kwakuwawengihujisifukwajinsiyamwili,nami nitajisifu
19Kwamaanamwastahimiliwapumbavukwafuraha,kwa kuwaninyiwenyewemnahekima
20Kwamaanamwastahimilimtuakiwafanyawatumwa, akiwameza,mtuakiwatwaa,mtuakijikweza,akiwapiga usoni
21Ninasemajuuyashutumakanakwambasisitulikuwa dhaifuLakinimtuyeyoteanapokuwanaujasiri,(nasema kwaupumbavu),mimipianinaujasiri
22Je!waoniWaebrania?mimipia.Je!niWaisraeli? MimipiaJe!waoniwazaowaIbrahimu?mimipia
23Je,waoniwatumishiwaKristo?(Naongeakama mpumbavu)miminizaidi;katikataabunyingizaidi,katika kupigwakupitakiasi,katikamagerezamaranyingizaidi, katikamautimaranyingi
24KwaWayahudimaratanonalipatamapigoarobaini isipokuwamoja
25Maratatunilipigwakwafimbo,maramojanilipigwa mawe,maratatunilivunjikiwanameli,nimekaakilindini usikummojanamchana;
26katikasafarimaranyingi,katikahatarizamaji,hatariza wanyang'anyi,hatarikwawatuwanchiyangu,hatarikwa mataifa,hatarikatikamji,hatarijangwani,hatariza baharini,hatarizauongondugu;
27katikauchovunauchungu,katikakukeshamarakwa mara,katikanjaanakiu,katikakufungamaranyingi, katikabaridinauchi
28Zaidiyahayoyaliyonje,yaleyanayonijiakilasiku, wasiwasiwamakanisayote
29Ninanialiyedhaifunaminisiwedhaifu?Ninani anayeudhika,naminisionyeshemoto?
30Ikiwaimenilazimukujisifu,nitajisifujuuyamamboya udhaifuwangu
31MungunaBabawaBwanawetuYesuKristo,ambaye amehimidiwamilele,anajuakwambasisemiuongo
32HukoDamasko,liwaliwamfalmeAretaaliulindamji waWadamasko,akitakakunikamata;
33Niliteremshwakupitiadirishanikwenyekapuukutani, nikaiponyokamikononimwake.
SURAYA12
1Kujisifukwanguhainifai.nitakujakwenyemaonona mafunuoyaBwana
2NilimjuamtummojakatikaKristozaidiyamiakakumi naminneiliyopita(kwambaalikuwakatikamwilisijui,au kwambaalikuwanjeyamwilisijui,Munguajua),mtu huyoalinyakuliwahadimbinguyatatu.
3Naminamjuamtuwanamnahiyo,(kwambaalikuwa katikamwiliaunjeyamwilisijui;Munguajua);
4jinsialivyonyakuliwampakapeponi,akasikiamaneno yasiyosemeka,ambayosihalalimtukuyasema
5Kuhusumtukamahuyonitajisifu;lakinijuuyangu mwenyewesitajisifu,ilakatikaudhaifuwangu.
6Maananijapotakakujisifu,singekuwampumbavu;kwa maananitasemakweli;lakinisasanaacha,mtuawayeyote asijeakaniwaziakulikovileanionavyokuwaniko,auvile anisikiavyo
7Nailinisipatekujivunakupitakiasi,kwawingiwa mafunuohayo,nalipewamwibakatikamwili,mjumbewa Shetaniilianipige,nisipatekujivunakupitakiasi
8KwaajiliyajambohilinalimsihiBwanamaratatu kwambalinitoke
9Nayeakaniambia,Neemayanguyakutosha;Kwahiyo afadhalinitajisifukatikaudhaifuwangukwafurahanyingi, iliuwezawaKristoukaejuuyangu
10Kwahiyonapendezwanaudhaifu,namatukano,na misiba,naadha,nataabu,kwaajiliyaKristo; 11Nimekuwampumbavukatikakujisifu;Ninyi mmenilazimisha,kwamaanailinipasakusifiwananinyi;
12Hakikaisharazamtumezilifanyikakatiyenukwa saburiyote,kwaishara,namaajabu,nanguvu
13Kwamaanamlipungukiwaninikulikomakanisa mengine,isipokuwakwambamimisikuwalemeaninyi? nisamehekosahili
14Tazama,marayatatunikotayarikujakwenu;wala sitawalemea,kwamaanasitafutimaliyenu,balininyi; 15Naminitafurahisanakutumianakutumiwakwaajili yenu;ijapokuwaninawapendaninyizaidi,ndivyo napendwavyokidogo.
16Lakininaiwehivyo,sikuwalemea; 17Je,niliwafanyiafaidakwayeyotekatiyawale niliowatumakwenu?
18NilimwombaTito,napamojanayenikamtumandugu mmojaJe!Titoaliwapataninyi?hatukuenendakwaroho moja?hatukutembeakwahatuasawa?
19Tena,mwafikirikwambatunajiteteakwenu?twanena mbelezaMungukatikaKristo;lakini,wapenziwangu, twafanyamamboyotekwaajiliyakuwajenganinyi.
20Kwamaananaogopanitakapokujasitawakutaninyi kamanilivyotaka,nakuonekanakwenukamamsivyopenda; uvimbe,machafuko:
21Nanitakaporuditena,Munguwanguasije akaninyenyekezakatikatiyenu,naminitawaombolezea watuwengiwaliokwishakufanyadhambi,lakini hawakutubiauchafunauasheratinaufisadiwalioufanya
SURAYA13
1Hiindiyomarayatatuninapokujakwenu.Kwavinywa vyamashahidiwawiliauwatatukilanenolitathibitishwa
2Nimetanguliakuwaambia,nakuwatabiria,kanakwamba nipomarayapili;nanisipokuwaposasanawaandikiahao waliofanyadhambizamani,nawenginewote,kwamba nikijatenasitaachilia;
3KwakuwamnatafutauthibitishowakwambaKristo anasemandaniyangu,ambayesidhaifukwenu,baliana uwezondaniyenu
4Kwamaanaingawaalisulubiwakwasababuyaudhaifu, lakinianaishikwauwezowaMunguKwamaanasisinasi tudhaifukatikayeye,lakinitutaishipamojanayekwa uwezawaMungukwaajiliyenu.
5Jijaribunininyiwenyewekamammekuwakatikaimani; jithibitisheniwenyewe.Je!hamjijuiyakuwaYesuKristo yundaniyenu,msipokuwammekataliwa?
6Lakininatumainikwambamtajuakwambasisisiwatu waliokataliwa.
7SasanawasihiMungumsifanyejambololotebaya;siili sisituonekanekuwatumekubaliwa,balininyimfanye yaliyomema,ingawasisinikamawatuwasionahatia.
8Kwamaanahatuwezikufanyanenololotekinyumecha kweli,balikwaajiliyakweli
9Kwamaanatunafurahiwakatisisinidhaifunaninyimna nguvu;
10Kwahiyo,naandikamambohayanisipokuwapo,ili nikiwaponisijenikatumiaukali,kwakadiriyauwezo alionipaBwanawakujenganasikwauharibifu
11Hatimaye,ndugu,kwaherini.Iweniwakamilifu, mfarijike,muwenaniamoja,kaenikwaamani;naMungu waupendonaamaniatakuwapamojananyi
12Salimianenininyikwaninyikwabusutakatifu.
13Watakatifuwotewanawasalimu
14NeemayaBwanaYesuKristo,naupendowaMungu, naushirikawaRohoMtakatifuukaenanyinyote.Amina. (WarakawapilikwaWakorinthouliandikwakutokaFilipi, mjiwaMakedonia,naTitonaLuka)