Kizuio chenye Harufu inayofukuza ndovu Hii ni dawa ya kufukuza ya harufu kali inayotengenezwa kutoka kwa viambato vya bei ya chini. Ina mbinu 2 za kutumia na inaweza kusaidia kulinda mimea na kuzuia ndovu kuingia kwenye mipaka ya shamba.
Mbinu ya 1: NYUNYIZIA Lita 20 Hukinga ekari 1/2 ikinyunyiziwa AU ekari 1 ukitumia mbinu ya ua.
Nyunyizia mimea inapokomaa au wakati ndovu wameanza kuvamia mimea.
Mbinu ya 2: Ua 1
Jaza chupa hadi nusu na dawa iliyotengenezwa.
Wazo hili lilianzishwa na wanafunzi katika Uganda ya Kaskazini na kuendelezwa zaidi na WildAid Africa.
mashimo 2 Tengeneza upande wa chupa (juu ya kiwango cha dawa ya kufukuza) na pia kwenye kifuniko.
3
Zitundike karibu na shamba kwa kutumia waya au kamba.
Dawa hii ya kufukuza ni mbolea nzuri ya kikaboni na pia inaweza kusaidia kufukuza wadudu. Kwa ua wa ekari 1, utahitaji takribani: Nguzo 24(mita 2-2.5) Chupa 140 - 160 Mita 260 za seng’enge Majaribio ya mbinu hii mpya bado yanaendelea. Wasiliana na WildAid (africa@wildaid.org) kwa maelezo ya hivi karibuni ya njia bora ya kutumia dawa hii ili kulinda mimea yako.
Weka nguzo kwenye umbali wa 10.
1. Imetengenezwa Kenya (2021)
Imeandaliwa na Save the Elephants
www.savetheelephants.org
hii 4 Harufu kali itafika na
kuzuia ndovu wowote wanaokaribia.
Jinsi chupa ilivyo na mashimo mengi, ndivyo harufu nyingi itakavyoenea nje. Michoro na Nicola Heath