2
Madam Speaker ningependa kupinga mjadala huU.
kwanza wanafunzi wakichanganya masomo na mapenzi, mapenzi mara nyingi hupewa kipaumbele!
madam speaker Vitabu vya dini, sheria za shule na hata wazazi wetu wametupa mawaidha kuwa kujizuia ni bora. Mbona tusiwatii? kama vile mwenzangu alisema, wazazi wetu walikuwa wanafunzi ka sisi tulivyo, kitambo kabla kuzaliwa kwetu, hakika sisi hatuna hekima kuwazidi!
Upande wa kuUnga mjadala?
3
Madam Speaker, lazima tujieleze ukweli kila wakati. Hatuwezi kuchagua chagua wakati wa kusema ukweli. Mwili wa binadamu unajumuaisha roho, fikra, na nafsi. Haya yote yana mahitaji tofauti kila wakati.
Twaweza kusanyika hapa tujifanye hatuna hisia, lakini twajidanganya. Tungependa ku-abstain, ndio, lakini miili yetu ina fikra zake, na hisia zetu zafuata.
Kama sisi kweli ni binadamu, na natumai ndivyo, kulazimu mafunzo ya kujizuia katika masomo yetu ni kulazimu uongo.
Haya basi, mMeufungua mjadala kwa njia mufti kabisa! Uwanja u wazi sasa kwa hoja tofauti.
4
Mjadala huU unanikumbusha rafiki yangu Esther, alipokutana mara ya kwanza na boyfriend wake ChizZy Freshi.
Unajua nakupenda sana, Esther?
5
Usiwe hivyo Esther! Si leo twende nyumbani kwangu? Usikatae leo pia!
Nakupenda pia lakini...
AahH chizZy freshi
Hayo ndio maAmuzi yangu!
6
...nilimaua ku-abstain hadi wakati na-feEl niko-ready!
NaAm, wanafunzi! Pande zote zimefanya kazi nzuri kuUnga na kuUpinga mjadala kwa ubora kabisa!
Basi nitatangaza matokeo, na washindi baAda ya mapunziko!
La! sisi ndio tumeshinda! Pande zote zimepata alama sawia!
Habari njema ni kwamba tutakuwa na...
aih?!
...raundi nyingine mchana, kisha nitangaze washindi!
Kulingana nawe, ku-abstain ni nini? Tuma maoni yako kwa text kwa 20308 ukianza na neno ABU. Kutuma text kwa hii namba ni bure.
7
8
9
10
11
12
kidogo...
...hivo ndio friend wangu ali-get depresSion. ali-get balL yenye hakuwa ameipangia. dreams zake zili-die, na hata hakuna boy alikuwa anamkatia tena.
gosh! aki am so sorRy for zile vitu nilisema jana! sikuwa nafikiria!
nisamehe!
IsSorait!
unafikiri aje juU ya relationship ya grace na dagi? tuma maoni yako kwa 20308 ukianza na word dagi, na unaeza win ksh. 1000! kumbuka, kutuma text kwa hii namba ni freE!
13
14
15
Okolea bro!
Ukiwa kwa mat na msupa, utaanza aje kubonga na yeye? Cheki tips ! Cheki tips za kubonga na dame kwa mat! @djboyie Usilemewe tena bro! April Jerry May Niaje nikona swali "nifungue drisha ama roho" Diana Irungu Eti fare ni how much? Avia Nana Excuse kutoka hapa the next stage ni wapi??? Vinny Vincent Eti wanalipisha gpi thn unamxhw aclipe coz uko mresh xna Singer Blinger Hii ndio belt yako.... Sin Klinto Gaucho Unaskia joto nifungue window Mshii Carl Peter Mm hu buy mahindi choma alafu nampea najua haezi kataa ...alafu story inaanzia hapo Isaac Lemayian Sasa uko na loose ya thao hapo Elvis Wasafi Aki moses wa canaan angekua anaendesha hii gari c tungekwa tunafika late Kelvin Lumati Unafunga seatbelt yake Vic Kibet Tufunge belt ama ndoa.... Akicheka its a go...asipo weka earphones vumilia safari
Ög Ñdügûÿê Pröphéçt shosho kusema txt ya m-pesa isifutwe ndo pesa zisipotee Peter Wanya Kuweka sura ya kaz na huna kaz Dennis Kiptoo Kufunga seat belt ukiona polisi Tonny Kiplimo Ni kubeba makaa na nguo imeandikwa let conserve trees Ol Olgah Hope Achieng Ujinga ni kuita kokoto mbegu ya mawe Lydia Obura Kujam chali yako akikuambia you are acting like a child and yet unafurahia ukiitwa baby Clinton Leen ujinga n kuenda maternaty na kusema "niaje wazito" Marianna Shii Shosho kucomplain ati dawa ya meno imepanda na hana meno
Key Booh Chow Kufeel loved wen sm1 calls u HONEY yet unajua asali n pupu ya nyuki Esther Mo Kuvaa tisho imeandikwa "nimechill" na uko na mimba Safari Kitsao Ujinga ni kubuy datas za kupost uko msick instead of buying drugs Da Darkest Heart Kuvaa cd za sure kwa mkono ukibet ndo bet zako zikue sure bets!
i
n a g n i Uj