Chapter 115

Page 1


2


3


4


5


Hapo awali

bado sitaki ubonge na wao!

Mbona basi unabonga na vijana wengine mtaAni?

Mimi hukuUliza ukiongea na wasichana wengine Diba? ati vijana wengine! hao si marafiki wako Diba? Kweli shida iko wapi?

6


7


8


Sasa tutambia nini purity?

wacha hivyo! purity wa chama? Aki mbona alituachia kuchunga mbuzi zenye watu wa chama walichanga kununua!

9


aki pole purity!

watu? nini watu?

mkutano ya chama

10


Msijali! story! Charlie Pele unaweza peleka rosie home sasa!

Poa!

ney Cash mo

sisters today

Thanks purity! Bye!

imemezwa Mbuzi yetu wa? Ati imemez

11

!


...nilikuwa busy na kazi za Charlie pele na Rosie wachunge mbuzi.

shida ya crocodile tusipoteze hizo mbuzi zimebaki.

mimi naona tuite watu wa Kenya

tupata.

12


13


14


15


16


17


18


ah! wewe simu yako mzeE! uki-charge cobwebs zinatoka!

ah! hiyo ni moto! imechoma kabisa!! lakini zii! sio funNy! tourna ianze!!

teams tayari?!

balL!!

19


shangi... uko poa?

aki sifa, kuna vitu zinanisumbua! I wish ningeongea na mtu

si tunaeza ongea after game? ama unataka sahii sahii!!

nimelemewa... lakini sitaki kuharibu game.

cheki... ule ni beste yangu anaitwa maria kim. unaeza m-trust.

sawa, kama ni beste wako naeza m-trust. acha niongeE naye. tuonane after game! poa!

20


Inaeza kuwa ni chuxX!

sujui... labda... chuxX huwa na ujinga mob!

kidogo...

sasa betTy? ata mimi niliona hiyo kitu asubuhi... Ilinikasirisha sana! ukinipa tu kitu kidogo nikuwe detective, nitapata mwenye alifanya!

chuxX hii sio time ya jokes!!

21


Kidogo...

usijali, shangi. wewe ni dem m-strong! na si lazima mtu awe na boyfriend kila wakati!

maria kim... na je kama niko na balL? na kama alipa ugonjwa vile alikuwa anasema?

ninaumia. nilimpenda lakini alini-betray!

unahitaji help, shangi, na niko na idea!

22


lazima upimwe uone kama uko na kweli... std ama balL. lakini sina doh! ningechukua loan kwa simu lakini kuna ingine sijalipa bado! unaeza kuwa na doh unisaidie?

mi pia niko broke, lakini usijali! chenye unafaA kujua ni tsafe, coz uta-get services za sare, na pia uta-get tiko miles, na hiyo ni kama ku-get doh!

tiko miles ndio nini? tiko miles ni kama bonga points. unazi-earn, halafu unaeza ukazitumia ku-buy vitu kwa shops zenye zinakubali tiko miles!

nataka hiyo tsafe sana! nitai-get aje?

na hizi tests?

tsafe inapeana madem tiko miles, lakini hizo tiko miles unazi-earn uki-get servixes na advice za freE kuhusu relationships, bora uwe aged betweEn 15 na 19 years!

so utakuwa checked for freE, na pia u-get tiko miles!

ni rahisi! tuma sms ukianza na word ‘sema’ kwa 22699 na utakuwa signed kwa platform ya tsafe. hii itakuwezesha kuget tiko miles za kutumia. na ni freE!

haiya! nafanya hivo saA hizi!

coOl! sasa utajibu tu maswali mbili simple, na utakuwa registered!

cheki nime-get text!

23



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.