si story za sembe tu
10
acheni kupigana!
leo utakipata!
nishakula! maji yakimwagika hayazoleki!
nini kina-happen?
nilikuwa na maziwa kwa bag yangu na ni huyu ameiiba.
hatukula supper jana.
sikuiba, imagine nilikuwa naskia njaa.
kwetu hatuna dooh mob na tuko wengi. food huwaga kitu light kama sukuma na supu mob. si story za sembe tu. yaani ni food ya kudanganya tumbo, leo niliamka nikiskia njaa , supper ilikuwa supu ya beans.
11
12
g! dong! n o ! d g! ding din
karibu, ni poa mme-come! niko na surprise! supprise!
karibu lunch! nimewapikia chapati imepikwa na butter, pilau na nyama mob. mtakunywa maziwa kama drink. tudishi wasee!
maziwa huwa na proteins, vitamins na iron.
13
hii food ni poa lakini siwezi i-afford.
!
p cha
munch!
Kwanza, uliniibia ulikuwa uki-afford maziwa, na saa hizi choku ili uiibe? usilete unajifanya hautaki mchezo kwa chakula. kula?
!
chap
ulikuwa ukisema? meza food tuone nani anaweza mwengine!
boof! sema kile unataka kusema juu mimi ni m-thin, lakini si kupenda kwangu.
14
ooh, hutaki kula na unataka vita?
aaai, wasee, acheni kupigana! ni kweli hii food ni expensive, lakini si lazima ukule hivi. unahitaji maziwa na nyama kidogo tu kila siku ili kupata nutrients unahitaji kujenga mwili.
shika hii kuku. itakupatia mayai ya kula. then utaweza kupata chicks zingine.
p! o po
! ! a
rk a wa
B asante malkia! na kakuku kameku-like!
chakula imeenda wapi? ilikuwa ya uncle yako!
woooi!
usijali... uncle yangu ni m-fat, ha-need kukula zaidi!
KULA CHAKULA KUTOKA KWA MIFUGO... Unakuwanga m-sick kila time? Basi labda ni poa u-change diet yako! Food yenye inatoka kwa animals kama mayai, nyama na fish, zinaweza kuku-help kupona kama wewe ni m-sick, na pia kukupatia nguvu.
Usi-worry ati ni expensive. Ukifuga wanyama home, una-get food virahisi, kwanza hapo tu kwako! Benefits za kufuga kuku: Ni rahisi kuchunga, na ni cheap kulisha. Kuku hutaga mayai yenye unaweza kula ama kuuza. Na dooh zenye uta-get kwa kuuza mayai, unaweza ku-buy nayo nyama na maziwa! Pia unaweza fuga sungura ama mbuzi.
KAA RADA NA HEALTH YAKO! Wasee wasipokula animal products za kutosha, wanaweza kuwa wa-sick sana. Products za animals zina ma-vitamins na ma-minerals zenye zitakupe nguvu na afya poa. Mayai ni poa kwa eyesight na hukinga msee na heart attacks. Maziwa ina-strengthen mifupa na meno, na skin yako pia itakuwa poa. Itaku-help kujikinga na ma-sickness mob. Nyama itakupatia nguvu. Ukikula poa, hauta-need kuenda kwa doki kila time, so uta-save dooh! * Si lazima ukule animal products kila time. Ukizipata mara chache tu kwa wiki, uta-cheki difference!
15