17.b – Malkia

Page 1

Malkia Mchungaji

Imagine katachujwa juu ya fees! Hahaa! Ebu amalize kuongea na hiyo simu haraka. Wee kumbuka credo si free!

Acha aongee, si amekubali ku-copy notes zako Jipesh!

Ah, saa hizi niko mbali. Panda bus uende kwa Shosho yako, nikirudi nitawapa cheque.

Wazi!!

Hallo, mum? Haukuwa umelipa fees? Imagine wananifukuza!

9


HUKO OCHA… Shosh, nina ubao sana na nishafagia. una bidii sana siku hizi! Kuja unisaidie na hii kazi ingine.

Wale mbuzi wananisumbua, utakaa hapo uchunge wasikule matawi ya viazi.

Ukimaliza hiyo, ndio utarudi kula, hata yule kijana Erico alisema atapitia kukusalimia jioni. Ningekuwa wewe, ningeharakisha…

Sasa Shosh ananipa job gani hizi! Afadhali nimalize ku-copy hizi notes za Jipesh before Erico akuje. Msuper nimekuletea gift…

10


Book ya Jipesh!!

Jipesh atanimada!

Ssss! Kweraa!Nitawatolea stylez za John Cena! Na vile tumbo zenu ni chafu hadi minyoo wanavaa gumboot!

11


na huyu mbuzi ni mahuru! endeni!

Sasa mnanifuatia nini? Ntawarushia hii mavi yenu msinicheze!

Ntawapaka mavi, mi siogopagi!

!!

KOFF 12

mahuru kwa sheng dictionary. cheki meaning ya m


Wazi!

1 chkua Mbolea ya mbuzi

2 ongeza maji na u-m ix

Wacha niipake kwa hizi leaves za viazi nione kitu mbuzi wata-do!

3 paka kwa leaves

13


Ala! Si hiyo ni voice ya Erico!

Eh, unajua…sijui amepitia wapi…lakini bado hajafika.

Ok, akifika m-show nimemsalimia sana.

Kwaheri Shosh! Na umeoga na nini hiyo?!

JARIBU HII IDEA NOMA!

UNASUMBULIWA NA WANYAMA KULAMATAWI YA CROPS ZAKO KILA TIME?

Hii method ni poa ya ku-protect crops zako.

Wanyama hawaezi kula leaves mimea ikipakwa mavi yake! ya

Wanyama kula matawi: • Husababisha crops kufa. • Unapata hasara. • Pia ina-waste time yako mob, juu inabidi uchunge mimea! 14

kumbuka kuosha vegetables vizuri kabla ya kupika au kula ndio usikuwe m-sick

Umetumia njia gani ku-protect crops zako? Tuma sms kwa

3008 u-share na DJ B.

Unaweza paka mixture ya mavi ya mbuzi na maji kwa leaves za: • Cassava • Mahindi changa • Seedlings za miti

DJ B, kuna njia nyingi creative sana za ku-protect mimea. Nili-save viazi za Shosh na hii idea simple.


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.