pg 1.pdf 1 07/10/2010 08:59:49
hapo awali...
Chief aliuliza usaidizi kwa ma-gangs ili wampate DJ B na station yake...
BOYIE
However, hawakusucceed na plans zao. DJ B hajulikani na bado Shujaaz.FM iko on air!
Gang ilibetray Chief na ali-arrest mmoja wao...
TUKO GANGARE! SASENI MA-FANS, NI MIMI DJ B KWA SHOW YA KISHUA YA SHUJAAZ FM!
Kuanzia TV
SASA BRO, SI UAMBIE MA-FANS KUHUSU HII STORO UMETUMIWA NA FAN MMOJA? IWEKE KWA ILE HEAP YA MAKARATASI. AIII, INAONEKANA NITAKUWA ON-AIR SIKU NZIMA.
BIG-UPS MA-FANS KWA WALIONITUMIA IDEAS ZA KU-IMPROVE LIVES ZA MA-YOUTH NA KUBADILISHA COMMUNITY YEt-...!
Z
Z Z T
Z TZZ ZZZ Z TZ
! m
a w
b a k
sasa nini hii...
SHHH...TWWWTT... ZZZTT...SHSTW.
LAST EPISODE YA DJ B!
HAHAHA!
3
SEMA KADEZ, INAONEKANA UMEPATA VIJANA HI-TECH WA KUNI-REPLACE!
HII NI BALAA! NAEZA AMBIA WATU HIZI IDEAS POA ZOTE KIVIPI? SASA STATION IME-BLOW NA SINA DOOH!
USIJALI BRO. HUJUI VILE MAMBO YANAWEZA ENDA.
HAWA VIJANA NI WA NGUVU NA WAKO MBELE. WANAWEZA WEKA WIRE CITY MZIMA UKIWAULIZA?
OE! OE! NIKO NA KAZI KIDOGO NATAKA MFANYE. BANDIKENI HIZI POSTERS ILI WATU WAJUE JUU YA BARAZA KUU YA KESHO.
4
CHIEF, HIZI VITU NI ZA kitambo.
chief, SI UAMBIE DJ B JUU YA BARAZA YAKO NDIO AJULISHE WATU WOTE KWA SHOW YAKE?
HUYO MJINGA ALI-BLOW STATION YAKE. SASA NITAKUWA SAUTI YA WANANCHI...SAUTI YANGU ITASIKIKA!
BANDIKENI HIZI KWA KIJIJI!
BOYIE, SHIKA PESA ZA SAUTI YA BARAZA KESHO.
WAZI! PESA ZA KU-REPAIR STATION YANGU!
RRRRIIP! SASA CHIEF ATAACHA KUTUCHEZEA.
5
AHEM, KARIBUNI KWA BARAZA YANGU...MMESKIA SHUJAA WETU DJ B HAYUKO KWA REDIO NA NI JUKUMU LANGU KUJAZA HIYO GAP. KWA HIVYO...
HAKUNA WATU KAMA TULIVYOPANGA. HEHEHE!
NITAANZISHA TV STATION YANGU KWA MASLAHI YENU. NI DUTY YANGU KUWASILIANA NA KIJIJI...NA...
VIJANA, HIVI NDIVYO VYOMBO VYA KUANZISHA TV STATION. IWE TAYARI BY MWISHO WA WIKI HII.
ATII? !?
6
NA TUTA-FILM VIPI BILA CAMERAS?!
HUYO CHIEF AMETUPA MBAO! HII MIKEBE?! NIKO SURE TUVAWEZA JARIBU KUPATA SIGNALS KWA KU-CONNECT HIZI WIRES KWA AERIAL YA NJE.
WEWE UKO NYUMA! SI KU-RECORD NA SIMU!
NI POA. NIFUATE, NIKO NA STORIES MOB TUNAWEZA AMBIANA.
NI RAHISI. tUNAWEZA RECORD VIDEOS KWA HII PHONE KISHA U-DOWNLOAD!
then tukuwe na story zetu za ku-show wengine!
BOYIE NI SPOILER. kwa nini anaungana na chief? atakipata...
7
KAMA HUYO CHIEF ANAFIKIRI KUWA ATAKUWA TV STAR, HATAPATA KITU KINGINE BUT REVENGE!
Joshua ni young journalist kutoka KNN (Kibera News Network) na ame-share story yake na mimi ili iwe inspiration kwenyu ma-youths. Ona vile tulibonga na yeye.
Unaweza describe KNN kuwa nini? KNN ni a community-based media yenye ina-help ku-link information from Kibera to other parts not only in Kenya, lakini worldwide. Kwanini uliungana na KNN?
Ni kitu gani unapenda juu ya hii jobo yako?
Na ni story gani umefanya ambayo ume-like the most?
Ni advice gani ungetaka kupea vijana kama encouragement?
Mi hu-enjoy niki-watch mapresenter wakitu-show chenye ime-happen. So kupata platform kama hiyo imekuwanga ni ngori, saa venye nilisikianga kuhusu KNN nika-join mara hiyohiyo ndiyo ni-report-ie wasee chenye ime-happen mtaani. 8
www.kiberanewsnetwork.org , voiceofkibera.org, mapkibera.org.
KNN youth in action
Chenye na-like ku-do ni saa zile na report live kwa ground na wasee wana-watch venye kunaendelea. Na pia na-like kuhojingi msee. Ni ile ya Pascal the jewellery maker. Ilikuwanga ni story ya first kabla hata nijue kuhoji msee but niliiwai poa ikakuwa among the best. Advice yangu kwa ma-boyz ni ukitaka ku-join samo kama hii, lazima ujitolee kuji-involve, kujicommit alafu uta-enjoy jamaa.
Asante sana Joshua na wasee wa KNN kwa kunipa-chance ya ku-share na ma-fans wa Shujaaz. Mafans, encouragement ndio hiyo! Najua mnaweza fanya kitu kama hii ya ku-inform watu wa area yenyu.