Ttsa calendar 2013

Page 1

TANZANIA TREE SEED AGENCY (TTSA) MANAGEMENT TEAM

MR. CHACHA MAKOCHE

MR. JOHN MTIKA

Ag. Support Unit Manager

Ag. Technical Unit Manager

MR. LUDOVICK URONU Ag. Chief Executive

MR. MUNIRI SHELLIMOH

EDITH MJEMLA

Manager, Southern & Western Zonal Seed Centre

MS FRIDA MBILINYI

Manager, Northern Zonal Seed Centre

Ag. Senior Accountant

MR. JAGADI NYEGEJI

Eastern & Central Zonal Seed Centre

BERNARD MYINGA Supplies Officer

EMILIANA KIWANGO

Ag. Personnel & Adminstrative Officer

The Objective of TTSA is to enhance sustainable supply of forest products and environmental conservation by procuring and marketing high quality tree eeds and aother propagating materials

THE FRONT VIEW OF THE TTSA HEADQUARTERS

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA Wewe utapanda lini?

Januari tunapokea order za mbegu ya Mwarobaini, Mzambarao na Ashook. Miche ya miembe na michungwa inapatikana kwa wingi na kwa bei nzuri

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

J’TATU

J’NNE

J’TANO

A’MISI

J’MAA

J’MOSI

1 2 3 4 5 7 8 9 10 11 12 14 15 16 17 18 19 21 22 23 24 25 26 28 29 30 31

TTSA ina vyanzo vingi vya mbegu za miti ya asili. Mininga na mivule ni mojawapo ya vyanzo muhimu vya mbegu TTSA

JANUARI 2013

7 Mwaka Mpya 12 Mapinduzi Zanzibar

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023-2603903 FAX 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

J’PILI

6 13 20 27

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA Wewe utapanda lini?

Februari tunatakiwa tuanze kuandaa mashamba kwa ajili ya kupanda miti wakati wa mvua za masika

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

Miti bora ya mbegu huchaguliwa na kuwekwa alama kabla ya kuvuma mbegu zake

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

FEBRUARI 2013 J’TATU J’NNE J’TANO A’MISI J’MAA J’MOSI

1 2 3 6 7 8 9 10 13 14 15 16 17 20 21 22 23 24 27 28

4 11 18 25

5 12 19 26

J’PILI

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023-2603903 FAX 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA Wewe utapanda lini?

Ifikapo Aprili kutakuwa na mafunzo ya wiki mbili ya kuanzisha na kutunza bustani za miti. Masomo haya yanafaa sana watu wanaotunza bustani za miti. Tuma maombi ya kujiunga na masomo haya mapema

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

Baadhi ya waliohitimu mafunzo ya kutunza bustani za miti mwaka jana. TTSA inatoa mafunzo hayo mara mbili yaani Aprili na Oktoba kila mwaka . Wasiliana nao.

MACHI 2013 J’TATU J’NNE J’TANO A’MISI J’MAA J’MOSI

1 2 3 8 9 10 15 16 17 22 23 24 29 30 31

4 11 18 25

5 12 19 26

6 13 20 27

7 14 21 28

29 Ijumaa Kuu

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

J’PILI

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU: 023-2603903 FAX: 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA Wewe utapanda lini?

Pata mbegu bora za miti kutoka TTSA. Pia wana miche bora ya miti aina mbalimbali.Unashauriwa kuagiza mapema ili uwahi kupanda wakati wa mvua za masika.

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

APRILI 2013 J’TATU J’NNE J’TANO A’MISI J’MAA J’MOSI

J’PILI

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30

Wafanyakazi wa TTSA wakikagua miche iliyopandwa kwa ajili ya majaribio ndani ya maabara.

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

1 Jiumatatu ya Pasaka 7 Kumbukumbu ya Karume 26 Muungano

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023-2603903 FAX 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA

Fuatilia miche uliyopanda shambani na usisahau kuipalilia. Miti inahitaji palizi ili iweze kukua vizuri.

Wewe utapanda lini?

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

Mbegu za miti zikisafishwa ili kupata mbegu safi na bora

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

MEI 2013 J’TATU J’NNE J’TANO A’MISI J’MAA J’MOSI

J’PILI

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 1 Sikukuu ya wafanya kazi

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023-2603903 FAX 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA

Kumbuka kutengeneza barabara za kukinga moto kandokando ya shamba lako la miti. Usikubali kupoteza miti yako kutokana na moto.

Wewe utapanda lini?

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

Mbegu bora hutokana na miti bora. . pichani sehemu ya shamba la mbegu za mitiki

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

JUNI 2013 J’TATU J’NNE J’TANO A’MISI J’MAA J’MOSI

J’PILI

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU: 023-2603903 FAX: 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA

Chunguza miti yako kama kuna dalili za wadudu waharibifu kabla hawajaleta madhara makubwa

Wewe utapanda lini?

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea banda la Maliasili wakati wa maonyesho ya Sabasaba katika uwanja wa Mwalimu nyerere Dar es salaam.

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

JULAI 2013 J’TATU J’NNE J’TANO A’MISI J’MAA J’MOSI

J’PILI

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 7 Saba Saba

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023-2603903 FAX 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA

Ili kupata maembe mingi na bora unashauriwa kunyunyuzia miembe yako dawa ya kuua wadudu na kuzuia magonjwa. Hasa wakati yakitoa maua.

Wewe utapanda lini?

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

Miembe jamii ya Tommy . Miembe bora na ya muda mfupi hupatikana TTSA

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

AGOSTI 2013 J’TATU J’NNE J’TANO A’MISI J’MAA J’MOSI

J’PILI

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 8 Nane Nane 9 Eid El Fitr

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023-2603903 FAX 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA

Hakikisha unapata mbegu toka TTSA na ufuate vyema maelekezo utakayopata ili lengo lako lifikiwe vizuri. Wahi kabla ya wakati wa kupanda miti shambani kuwadia

Wewe utapanda lini?

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

TTSA hutoa mafunzo mbalimbali ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza bustani za miti. Kwenye picha ni baadhi ya wakufunzi na waliohudhuria mafunzo hayo huko Kilosa.

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

SEPTEMBA 2013 J’TATU J’NNE J’TANO A’MISI J’MAA J’MOSI

J’PILI

30 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023-2603903 FAX 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA

Kama hukuweza kuhudhuria kozi ya Mafunzo ya bustani mwanzoni mwa mwaka jitahidi kuja kwenye kozi ya pili mwezi Octoba. Tuma maombi mapema

Wewe utapanda lini?

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

Mwenge wa Uhuru ulipotembelea TTSA mwaka 2012

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

OKTOBA 2013 J’TATU J’NNE J’TANO A’MISI J’MAA J’MOSI

J’PILI

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 14 Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere 16 Edd El Hajij

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023-2603903 FAX 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA

Anza kupanda miche yako shambani mapema kama mvua zimenyesha vya kutosha. Miti itakua vizuri kama utawahi mvua za mwanzo. Kama hakuna mvua za kutosha acha miche yako mpaka msimu wa mvua za masika

Wewe utapanda lini?

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

Balozi wa Denmark hapa Tanzania Bw. Bjarne Sorensen alipotembelea TTSA akijionea miche ya miti mbalimbali iliyopandwa kwa majaribio.

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

NOVEMBA 2013 J’TATU J’NNE J’TANO A’MISI J’MAA J’MOSI

J’PILI

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023-2603903 FAX 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

MITI HUPANDWA NA WENYE BUSARA

Anza kuandaa shamba lako mapema kwa ajili ya kupanda wakati wa mvua za masika. Kama mvua imenyesha Palilia miche yako iweze kukua vizuri na haraka.

Wewe utapanda lini?

Waweza kuwekeza kwenye kupanda miti kama biashara nyingine yeyote

Miti jamii ya Misindano iliyoboreshwa kwa ajili ya mbegu ni baadhi tu ya miti kwenye mashamba ya mbegu yanayomilikiwa na TTSA huko Malibwi Lushoto.

WAKALA WA MBEGU ZA MITI

DESEMBA 2013 J’TATU J’NNE J’TANO A’MISI J’MAA J’MOSI

J’PILI

30 31 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 9 Uhuru 25 Krisimasi 26 Siku ya Zawadi

MAKAO MAKUU S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023 - 2603192 FAX 023 - 2603275 BARUA PEPE ttsa@morogoro.net KANDA YA MAGHARIBI NA KUSINI S.L.P 1121 IRINGA SIMU 026-2725029 FAX 026-2725146 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA KASKAZINI S.L.P 258, LUSHOTO SIMU 027 - 2640186 FAX 027- 2640184 BARUA PEPE iztsc@ttsa.co.tz KANDA YA MASHARIKI NA KATI S.L.P 373, MOROGORO SIMU 023-2603903 FAX 023-2603275 BARUA PEPE mztsc@ttsa.co.tz

Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.