Youth Friendly City Guide - Dar es Salaam

Page 1

Youth Mappers Azimio: Yuseph Athumani, Maulid Issa, Dunia Othamani, Hassan Pwemu, Maimuna Salum Chang’ombe: Ally Kipendaroho, Best Patrick Ilala: Bussoro Mohammed, Amina Kasimu,Mageni Dotto, Zaidi Iddi, Zuberi Pesa, Hafsa Selemani Jangwani: Hussein Faridi, Kimbendela Jaffary, Abuu Kibavu, Abdu Saleh, Sudi Salum Kitunda: Tibris Kimario, Joseph M. Kunambi, Stanclaus Kyando Kiwalani: Anania Duma, Eva Malenga, Victor Malenga, Salumu Malilima Mabibo: Hamza Dua, Azizi Hamza, Rehema Komba, Jafary Kunambi, Rhmadhani Lema, Meta Nohonyo Makuburi: Masound Caftany, Canty Didas, Mussa Metsu Makurumla: Amina Chata, Selemani Kabebwa, Nizar Kilale, Dady Mhina, Anna Mjowoka Mwananyamala: Rebeca George, Edwin Mukulasi, Devotha Mushebe, Eusebius Nhimbi Ndugumbi: Mwajabu Issa, Emmanuel Msemwa, Micheal Pius, Ratifa Poyo Sandali: Dennis D. Chakoma, Adani A. Chande, Safina H. Kalembo, Mohamed O. Kaboka, Rehem H. Makasamala, Deglatius L. Mgaya, Sifa H Mohamedi Tandika: Alen Joseph, Hatwiya Mtonga, Ramadham Muharami, Said S. Tindwa Temeke: Raphael Andrew, Zuhra Masoudy, Neema Mwaipopo, Said Sultani Ukonga: Sabrina Ahmadi, Abaallah Chakapu, Chene Malima

Muongozo wa Vijana Jijini Dar es Salaam Youth Friendly City Guide

For More Information Contact:

UN-Habitat/ Safer Cities One Stop Youth Resource Center Phone: +255 (22) 2130959 Fax: +255 (22) 2130961 E-mail: dsm.safercities@yahoo.com 24

Kinondoni


Asante Sana/Many Thanks

Get Involved!

Shukurani za dhati kwa vijana wote waliotukaribisha katika kata zao na kutuonyesha amali zao kupitia mradi huu. Nawashukuru kwa dhati Martha Mkupasi wa miji salama na Charles Lupilya wa kituo cha kimataifa cha miji endelevu kwa muongozo wao katika kipindi kizima cha mradi huu. Abraham Kaswa na Gadi Kalugendo wa miji salama na pia Steven Milambo, Bussoro Mohamedy na Nizar Kilale waliotoa mawazo muhimu juu ya ushirikishwaji wa vijana Tanzania. Shukurani kwa Justin Sekiguchi kutoka Environmental Youth Alliance, Doug Ragan kutoka University of Colorado’s Children, Youth and Environments Centre, na UN-HABITAT’s Global Partnership initiative for Urban Youth Development.

The youth in all three municipalities of Dar es Salaam, Kinondoni, Ilala and Temeke, identified elements of youth culture that were strengths to Dar es Salaam, as well as opportunities to address some of their concerns. They also had plenty of ideas on how to address these concerns. Here are some ideas they came up with:

Thank you to all the youth who shared their wards and showed us their assets through this project. I would like to thank Martha Mkupasi at Safer Cities and Charles Lupilya at the International Center for Sustainble Cities for guidance throughout the project. Abraham Kaswa and Gadi Kalugendo at Safer Cities as well as Steven Milambo, Bussoro Mohamed and Nizar Kilale provided essential insight into youth engagement in Tanzania. Finally, thank you to Justin Sekiguchi from the Environmental Youth Alliance, Doug Ragan from the University of Colorado’s Children, Youth and Environments Centre, and UN HABITAT’s Global Partnership Initiative for Urban Youth Development.

Mtoaji/Editor: Erica Lay Watoaji wengine/Copy editors: Justin Sekiguchi, Nizar Kilale, Bussoro Mohamed Nakili/Translation: Abraham Kaswa, Nizar Kilale, Erica Lay, Bussoro Mohamed

“Some times there is low cooperation and involvement amongst youth, and youth don’t seem to take initiative on their own.” –Jafary Kunambi, Mabibo Ward

What can youth do to be more engaged themselves? !" Be confident and self-aware. !" Educate yourself on issues that matter to you: check out your ward executive office for sources of information! !" Share your ideas with others: that includes both youth and adults. !" Visit your local government and municipal government offices. !" Come prepared to meetings where youth have a chance to be heard. !" Take initiative: use the resources that are available to you, and look for more services or assets!

Utambuzi wa Amali za Vijana, Dar es Salaam Kati ya Agosti 2007 na Januari 2008, Miji Salama Dar es Salaam na Kituo cha Kimataifa Cha Miji Endelevu viliungama na vijana 60 kupitia warsha, mikutano na kuweza kuandaa Muongozo Rafiki kwa Vijana Dar es Salaam. Kijitabu hiki kinafanya utambuzi na kujadili huduma kwa vijana katika kata 15 ndani ya Dar es Salaam; kime buniwa kama mwongozo rejea na kama maelezo ya mawazo ya vijana juu ya huduma za vijana ndani ya Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi kuhusu mradi huu, fika ofisi za Miji Salama au Kituo cha Vijana (One Stop Youth Center) katika Ukumbi wa Jiji, Dar es Salaam.

Youth Asset Mapping, Dar es Salaam Between August 2007 and January 2008, Safer Cities Dar es Salaam and the International Center for Sustainable Cities teamed up with 60 youth through workshops, meetings and field work to produce the Dar es Salaam Youth Friendly City Guide. This booklet identifies and discusses youth services for 15 wards in Dar es Salaam; it is designed as a reference guide, and an expression of youth opinions on youth services within Dar es Salaam. For more information on this project, visit the Safer Cities office or the One Stop Youth Center at City Hall, Dar es Salaam. 2

“We want to get involved in decision making processes in the local government.” –Stanclaus Kyando, Kitunda Ward

What can communities and community members do to support youth? !" Involve youth in decision making processes: !" Communicate when and where important community meetings (including political meetings) are being held. Try communicating through some of the youth services in this guide. !" Make sure government offices and meetings are youth friendly; ask yourself: would you feel welcome in these places if you were a youth? !" Provide youth with opportunities speak, listen to what they are saying, and integrate these ideas into planning processes.

23


Get Involved!

Ufunguo/Table of Contents

Vijana ndani ya manispaa za Dar es Salaam Kinondoni, Ilala na Temeke walitambua sehemu ambazo ni muhimu kwa tabia/mambo ya vijana wa Dar es Salaam kama mahali pa kuelezea mambo yao. Pia walitoa mawazo tofauti juu ya namna ya kuelezea mambo yao. Haya ni baadhi ya mawazo yao:

Asante Sana/Many Thanks .............................................................................. 2

“Wakati mwingine kuna upungufu katika kushirikiana na kushirikishwa miongoni mwa vijana, na vijana hawaonekani kua nzisha mambo yao.” –Jafari Kunambi, Kata ya Mabibo Nijinsi gani vijana wanaweza kujihusisha zaidi na mambo yao? !" Kujitambua na kujiamini. !" Jielimishe juu ya mambo yanayo kuhusu. !" Tembelea ofisi ya Afisa metandaji kata kwa kupata vyanzo vya Taarifa. !" Badilishana mawazo na wengine, kati ya vijana na watu wazima. !" Tembelea ofisi yako ya serikali ya mtaa na ofisi za manispaa. !" Fika ukiwa umejiandaa kwenye mikutano ambayo vijana husikilizwa. !" Kuwa na mkati wa kutumia vyanzo ambavyo vinapatikana kwako na angalia huduma au amali zaidi! “Tunataka tushirikishwe katika hatua za kufanya maamuzi katika serikali za mitaa.” -Stanclaus Kyando, Kata ya Kitunda Ni jinsi gani jamii na wanajamii wanavyoweza kuwa saidia vijana? !" Kuwashirikisha vijana katika kupanga maamuzi. !" Kuwataarifu mahali na wakati mikutano muhimu inapofanyika (ikiwemo mikutano ya kisiasa). !" Jaribu kuwataarifu baadhi ya huduma za vijana kupitia muongozo huu. !" Hakikisha ofisi za serikali na vikao ni rafiki kwa vijana. Jiulizemwenyewe: Unajisikiaje unapokaribishwa sehemu hizi ukiwa wewe ni kijana? !" Wape vijana nafasi ya kuzungumza, kuwasikiliza nini wanachosema na uchukue mawazo haya kuwa maandalizi ya mipango. 22

Utangulizi ........................................................................................................ 4 Introduction .................................................................................................... 5 Kata MABIBO Ward ......................................................................................... 6 Elimu/Education ................................................................................................. 7 Ajira/Employment .............................................................................................. 7 Afya/Health ....................................................................................................... 7 Taarifa/Information Access .................................................................................. 7 Burudani/Recreation ........................................................................................... 8 Kata MAKUBURI Ward ................................................................................... 10 Elimu/Education ................................................................................................11 Ajira/Employment .............................................................................................11 Afya/Health ......................................................................................................12 Taarifa/Information Access .................................................................................12 Burudani/Recreation ..........................................................................................12 Dini/Religion .....................................................................................................13 Kata MAKURUMLA Ward ................................................................................ 14 Elimu/Education ................................................................................................15 Afya/Health ......................................................................................................15 Taarifa/Information Access .................................................................................15 Burudani/Recreation ..........................................................................................16 Dini/Religion .....................................................................................................16 Kata MWANANYAMALA Ward......................................................................... 17 Elimu/Education ................................................................................................18 Afya/Health ......................................................................................................18 Taarifa/Information Access .................................................................................18 Burudani/Recreation ..........................................................................................19 Dini/Religion .....................................................................................................19 Kata NDUGUMBI Ward................................................................................... 20 Elimu/Education ................................................................................................21 Afya/Health ......................................................................................................21 Taarifa/Information Access .................................................................................21 Burudani/Recreation ..........................................................................................21 Get Involved (Kiswahili) ............................................................................... 22 Get Involved ................................................................................................. 23

3


Utangulizi

ELIMU/EDUCATION

Vijana ni sehemu kubwa na muhimu katika jamii ya watu wa jiji la Dar es Salaam. Wanafanya karibu asilimia hamsini ya wakazi milioni tatu nukta nne wa jiji. Vijana wanaposhirikishwa katika jamii zao, mashirika yasiyo ya kiserikali, kama waelimishaji rika, na katika vikundi vya uzalishaji mali huchangia kufanya miji kuwa salama na endelevu. Nafasi ya vijana hawa kukaa bila kazi na kufanya uhalifu huwa ndogo.

1 Shule ya Sekondari Turiani Secondary School

Muongozo huu wa Jiji wa Vijana ni sehemu ya kuanzia utambuzi na kuendeleza huduma zilizowekwa kwaajili ya mahitaji ya vijana. Kupitia majadiliano katika warsha, mikutano na kazi, vijana walioshiriki katika mradi huu walitambua mambo muhimu ambayo vijana huhitaji msaada na maelezo. Vijana hawa wa Dar es Salaam huhusika zaidi na: -upatikanaji wa elimu ya msingi, sekondari na elimu ya juu -uendelezaji/upatikanaji wa elimu ya ufundi -upatikanaji wa habari/maelezo -ajira na vyanzo vya mapato -upatikanaji wa huduma za afya, haswa kwa VVU/UKIMWI na madawa ya kulevya “Huduma ‘Rafiki kwa Vijana’ ni mahali/eneo/huduma ambapo vijana wanaweza kupata huduma au watatuzi wa matatizo/mahitaji yao kiurahisi na kwa kujitegemea (bila kusindikizwa au kutetewa na rafikiye), bila woga, au masharti na usiri. Ni huduma ambazo wana rika (watu wa rika ya ujana) ndio watoa huduma na wana shiriki katika vyombo vya maamuzi ya jinsi huduma zinavyotolewa pia huduma zipi zitolewe.’” - Vijana, Dar es Salaam, Tanzania

Mwongozo wa Vijana wa Jiji la Dar es Salaam unaonyesha sehemu na maelezo kuhusu sehemu hizo ambazo vijana kutoka kata 15 za Dar es Salaam walizitambua kama ni ‘Rafiki kwa Vijana,’ pamoja na njia ambazo vijana na jamii wanaweza kuzitumia kuelezea matatizo yanayozuia upatikanaji wa huduma za vijana. Angalia ndani! Utaona Dar es Salaam nzima vijana wametambua huduma kama Elimu, Ajira, Upatikanaji taarifa, Elimu rika, Dini, Michezo na Uchumi, ambazo huelezea mambo yanayowahusu au zinauwezo wa kuelezea mambo hayo. Angalia na uone wapi unaweza kushiriki na pia kujua nini kipondani ya mji wako, kama kijana unaweza kusaidia kuendeleza baadhi ya amali na huduma hizi kukidhi mahitaji ya vijana? 4

P.O. Box 90507 Huduma: Elimu ya sekondari. Services: Secondary education.

2 Shule ya Msingi Turiani Primary School P.O. Box 90507 Huduma: Elimu ya msingi. Services: Primary education.

3 Shule ya Msingi Nyrere Primary School Barabara Kondoa Road Huduma: Elimu ya msingi. Services: Primary education.

4 Shule ya Msingi Ndugumbi Primary School Barabara Kondoa Road Huduma: Elimu ya msingi. Services: Primary education.

AFYA/HEALTH 5 Ofisi TAYOPA Head Office

P.O. Box 80124 Huduma: Elimu ya afya, UKIMWI, na uzazi wa mpango. Services: Education on reproductive health, volunteerism, HIV/AIDS.

6 Kituo Afya Magomeni Health Center

Barabara Morogoro and Kawawa Road Huduma: Kupima VVU kwa hiari. Huduma ya afya. Ushauri nasaha. Services: Voluntary HIV/AIDS testing and counseling.

TAARIFA/ INFORMATION ACCESS 7 African Youth Development Foundation

P.O. Box 16464 Barabara Makanya Street: Namba/Number 69 +255 74 4471150

BURUDANI/RELIGION 8 Uwanja Mwalimu Nyrere Ground

Barabara Morogoro Road Huduma: Uwanja cha michezo wa mpira wa miguu mikusanyiko ya umma wakati wa wikiendi. Services: Football field for public on weekends. “Viwanja vya Ndugumbi hutumika kwa mashindano ya michezo na sanaa.” “The sports grounds in Ndugumbi are a place for sports competitions and for traditional arts tournaments.”

9 Uwanja Bondeni Field

Barabara Sinza Road Huduma: Kiwanja cha michezo. Kilimo. Services: Sports field, urban agriculture.

10 Uwanja Turiani Field

Barabara Kondoa Road Huduma: Kiwanja cha michezo. Services: Sports ground.

11 Uwanja CCM Ground

Barabara Kiduka Street Huduma: Mechi ya mpira wa miguu. Mashindano ya sanaa. Services: Football and traditional drama competitions.

~ 21


Introduction Youth are an integral and large part of the population of Dar es Salaam. They make up nearly 50% of the 3.4 million inhabitants of the city. When youth are engaged with their communities, in NGOs, as peer educators, and in income generating groups, they are contributing to a more sustainable and a safer city. These youth are less likely to commit crimes and remain idle. This Youth City Guide is a jumping-off point for identifying and developing services which are tailored to youth needs. Based on discussion in workshops, meetings, and during field work, the youth involved in this project identified key issues where youth search out support and information. These youth in Dar es Salaam are most concerned about: -access to basic and post-secondary education -formal skill development (vocational training) -access to information -employment and income generation -access to health services, particularly for HIV/AIDS and drug abuse “Youth-Friendly services are places or services where youth are able to get service for their problems in a friendly and timely manner, independently (without accompaniment), without fear or conditionality and with confidentiality. They are ideally services where peers are the service providers and where youth participate in the decision making of how services are provided and exactly which services are provided.” - Collaborative definition created by youth in Dar es Salaam, Tanzania

The Dar es Salaam Youth City Guide contains locations and information on places the youth of 15 wards in Dar es Salaam have identified as ‘Youth Friendly,’ along with ways youth and communities can address barriers to youth service provision. Take a look inside! You’ll see that throughout Dar es Salaam, youth have identified services in Education, Employment, Finances, Information Access, Peer Education, Recreation, and Religion that either address the issues they are concerned about or have the potential to address these issues. Take a look to see where you can get involved, and what’s in your city for youth! As a youth or an adult, can you help develop some of these assets and services to meet the needs of youth? 20

5


BURUDANI/RECREATION 9 Uwanja wa Buibui Field

Barabara Iseke na Igusure Streets Huduma: Mikutano ya dini, michezo, kituo kwa maburudisho. Services: Religious meetings, refreshment area, sports.

10 Uwanja Garden Field

Barabara Mafere na Malongwe Streets Huduma: Mkutano na kiwanja cha mpira wa miguu. Services: Meetings and football games.

11 Uwanja Mwananyamala Field Barabara Igusure Street Huduma: Kiwanja cha michezo. Services: Sports field.

12 Uzio AMREF Courtyard

Barabara Makunuchi Street Huduma: Kiwanja cha mpira wa kikapu. Bwalo. Services: Basketball court, hall for indoor games.

13 Uwanja Kopo Field

Barabara Malanga Street Huduma: Kiwanja cha mpira wa kikapu. Uwanja wa sherehe. Services: Basketball court. Can be used for ceremonies.

14 Uwanja Misisiri A Field Barabara Gula Street Huduma: Kiwanja cha michezo. Services: Sports field.

DINI/RELIGION 16 Msikiti Takwa Mosque

Barabara Igusure Street Huduma: Huduma ya dini. Ni sehemu ya ibada. Services: Counseling for Muslims, religious community.

17 Kanisa Katoriki Mwananyamala Catholic Church

Barabara Fera Street Huduma: Huduma ya dini. Ni sehemu ya ibada. Services: Advice for catholic youth, religious community.

18 Kanisa Kiinjili Kilutheri Tanzania Lutheran Chruch

Barabara Igumila Street Huduma: Kanisa la vijana kilutheri. Ni sehemu na ibada. Services: Church for Lutheran youth, religious community.

~

15 Uwanja Misisiri B Field Barabara Gula Street Huduma: Kiwanja cha michezo. Services: Sports field.

6

19


ELIMU/EDUCATION

7 Preventative Healthcare Frontiers

1 Shule ya Msingi Misisiri Primary School Huduma: Elimu ya msingi. Services: Primary education.

2 Shule ya Msingi Kinondoni Primary School Barabara Igumila Street Huduma: Elimu ya msingi. Services: Primary education.

3 Chuo Kikuu Tumaini University

P.O Box 77588 Barabara Igumila Street +255 22 2760432/ +255 22 2760426 +255 22 2760335 Huduma: Ushauri nasaha kwa elimu na chuo kikuu. Services: Guidance on pursuing higher education (advisors).

P.O. Box 77588 +255 78 4239900 Huduma: Elimu ya VVU na afya. Kupima UKIMWI. Ushauri nasaha kwa vijana/yatima. Services: Information dissemination on preventative health on HIV/AIDS, Sexually transmitted diseases. Reproductive health for youth, OV. Care and support for orphans and most vulnerable children

TAARIFA/ INFORMATION ACCESS 8 NASH Talents

Komakoma Biashara Complex: Barabara Mwinyijuma Street + 255 71 2227911, nashtalents@yahoo.com Huduma: Maktaba kwa taaifa mbalimbali, studio rekodi, komdom bure. Services: Diverse library, recording studio,

4 Shule ya Sekondari Kinondoni Secondary School

ELIMU/EDUCATION 1 Sahara Nursery and Primary School

Huduma: Elimu ya msingi na chekechea. Services: Primary and kindergarten education.

2 Loyola High School

P.O. Box 9399 www.loyola.ac.tz Huduma: Elimu ya sekondari. Maktaba, UNClub (YUNA). Kusambaza taarifa za vijana. Chama ya haki za binadamu. Services: Secondary education. Library, UNClub (YUNA), Human Rights Club.

AJIRA/EMPLOYMENT 3 Colour Print Tanzania Inc.

Huduma: Ajira kwa vijana. Services: Employment for youth, provided security conditions are filled.

AFYA/HEALTH

Barabara Igumila Street Huduma: Elilmu ya sekondari. Services: Secondary education.

4 Marie Stops

AFYA/HEALTH 5 AMREF

Barabara Makunduchi Street Huduma: Kupima na VVU/UKIMWI, ushauri nasaha. Services: HIV counselling and testing.

6 Hospitali Mwananyamala Hospital Barabara Ikuu Street Huduma: Huduma ya afya. Kupima UKIMWI. Services: Some free health services. Free HIV testing.

18

“Nash Talents wanastudio inayotumika kurekodi miziki ya kimaadili bure na pia kuna maktaba yenye vitabu na taarifa mbalimbali.”

P.O. Box 7072, Barabara Old Kigogo Road +255 22 2774991/25522 Huduma: Afya ya uzazi kwa vijana. Magonjwa ya zinaa kama vile kaswende, gono na vvu kwa ujumla. Mafunzo mbalimbali kwa vijana yanayohusu afya pamoja na kujikinga dhidi ya vvu. Mafunzo hutolewa katika vituo vyote vya Marie, mashule, pamoja na mitaa. Services: Family health, education, prevention and treatment of STDs. Trainings are delivered in different centers like Marie Stops, schools, as well as in the streets. Youth meet at Marie Stops every Thursday.

5 TAMAVIMA Water Services

+255 75 7238995 Huduma: Huduma ya maji. Services: Water provision to community members.

6 Mabibo Dispensary

Huduma: Badaa ya kukamilika kwa hospitali ya kata ya Mabibo, kwa maelezo ya mtendaji wa kata kutakuwa na huduma rafiki kwa vijana. Nazo ni: Ushauri nasaha kwa vijana. Matibabu kwa magonjwa ya zinaa. Upimaji wa vvu kwa vijana. Services: Provides the following to youth: peer education, treatment of STDs and HIV/ tests and counseling.

“Ni amali kubwa Mabibo kwa sababu huandaa warsah mbalimbali kuhuru vitu koma michezo, biashara, na siasa.” “Tanzania Gender Network Program (TGNP) is our biggest asset in Mabibo because it has seminars on anything from sports to business to politics.”

TAARIFA/ INFORMATION ACCESS 7 Tanzania Gender Networking Program

+255 75 5827292 Huduma: Semina kwa biashara, serikali. Michezo. Services: Seminars on a range of issues including business, politics and sports.

“Nash Talents has a free studio for recording educational music, and a library with various types of information.” 7


8 Precious Jewels Organization Tanzania

P.O. Box 62592 +255 71 7428810/ 755873437 Huduma: Elimu ya ujasilimali kwa vijana. Elimu ya UKIMWI kwa vijana waliomashuleni na walio nje ya shule. Elimu ya mikopo kwa vijana jinsia zote. Utangazaji wa miradi mbalimbali. Services: Entrepreneurship skills, HIV/AIDS education to school children. Education to youth on accessing loans. Various advertising projects.

9 Youth to Avoid Poverty

+255 753743588, yapoca2006@yahoo.com Huduma: Elimu ya kilimo pamoja na UKMWI. Kilimo cha umwagiliaji. Kazi za mikono. Services: Education on agricultural skills, irrigation and cultivation. Education on HIV/ AIDS. Hand crafts.

BURUDANI/RECREATION 10 Sahara Open Space

Huduma: Uwanja wa michezo/ mpira wa miguu. Services: Sports field.

~ 8

17


BURUDANI/RECREATION 6 Uwanja Bubu Field

Kwajongo Street Huduma: Uwanja wa mpira wa miguu kwa wavulana. Mashindano ya mpira. Services: Football for boys, leagues games.

7 Uwanja Kinyanje Field

Kwajongo Street Huduma: Uwanja wa michezo ya mpira wa miguu na mpira wa pete kwa wasichana.

DINI/RELIGION 8 Msikiti Ibadhi Mosque

Kibesa Street Huduma: Ni sehemu ya ibada. Services: Place of worship.

9 Msikiti Ngamia Mosque Kwajongo Street Huduma: Ni sehemu ya ibada. Services: Place of worship.

~

16

9


ELIMU/EDUCATION 1 Shule ya Msingi Karume Primary School P. O. Box 15443, Barabara Kimamba Street +255 22 2170103 Huduma: Elimu ya msingi. Services: Primary education.

2 Shule ya Msingi Makurumla Ward Secondary School

P. O. Box 15443, Barabara Kimamba Street Huduma: Elimu ya sekondari. Services: Secondary education.

3 Shule ya Msingi Mianzini Primary School

P.O. Box 75694, Barabara Kwajongo Street +255 22 2172763 Huduma: Bwalo la mkutano. Uwanja wa michezo wa wazi kwa umma wakati wa wikiendi. Services: Hall for meetings. Sports grounds are open to the public on weekends.

AFYA/HEALTH 4 Kituo Afya Mianzini Health Center

P.O. Box 61665, Barabara Kwajongo Street +255 22 2400248 Huduma: Kituo cha afya ya jamii. Huduma ya afya na uzazi. Elimu na ushauri nasaha kwa uzazi wa majira. Upimaji na ushauri nasaha kwa VUU/UKIMWI. Matibabu kwa ukoma na kifua kikuu. Services: Community health center. Health services for pregnant woman and vaccinations for children. Education and advice on family planning. AIDS testing and counseling. Treatment of Tuberculosis and Leprosy.

10

“Kituo kwa afya mianzini hutibu magonjwa mbalimbali, hutoa ushauri nasaha na kupima UKIMWI na huvutia vijana wa Makurumla na sehemu nyingine.” “The Mianzini Health Center has health services, counseling, and HIV/AIDS testing that attracts youth from inside and even outside Makurumla.”

TAARIFA/INFORMATION ACCESS 5 Mtanzania Culture

P.O. Box 19647, Barabara Kwajongo Street D: +255 787 316796/ ED: +255 713 649207 Huduma: Uelimishaji rika. Elimu ya sanaa, kupiga kura haki za binadamu, na masuala ya kisheria. Elimu kwa wasanii wa Tanzania kuhusu haki miliki. Semina na sanaa kuelimishajuu ya madawa ya kulevya, mimba, mazingira. Services: Peer counseling on a drop in basis. Education on Tanzanian culture, voting, human rights and legal issues. Education for Tanzanian artists on copyright issues. Seminars and outreach programs using drama and arts to provide education on drug abuse, sexual health, and the environment. 15


ELIMU/EDUCATION 1 Shule ya Msingi Makuburi Primary School

P.O. Box 62454 Huduma: Elimu ya msingi. Uwanja wa mpira wa miguu, bure. Services: Primary education, free football field.

2 Shule ya Sekondari Yusuph Makamba Secondary School

P.O. Box 90097 Huduma: Viwanja vya michezo mbalimbali, bure. Services: Sports field for various sport, free.

3 UDSM Hosteli Mabibo Hostel

Huduma: Viwanja vya michezo kwa wanafunzi tu. Services: Sports fields and teaching. “Hosteli za Mabibo zainatoa huduma mbalimbali ingawa huduma hizo hutolewa kwa wanafunzi wa cho tu.” “Hosteli Mabibo has a range of services that it provides, even if those who use them must be students at the college.”

4 Shule ya Msingi Ubungo Kisiwani Primary School Huduma: Elimu ya msingi. Services: Primary education.

6 Shule St.Anita School

P.O. Box 8603 +255 75 4688351 Huduma: Elimu ya msingi kwa malipo. Services: Primary education, requires payment.

7 Kibangu English Medium School

P.O. Box 32560 +255 71 3507055/ +255 22 2450330 Huduma: Elimu ya msingi. Viwanja vya michezo kwa wanafunzi tuu. Services: Primary education. Sports ground.

8 Shule ya Msingi Makoka Primary School Huduma: Elimu ya msingi, bure. Services: Primary education, free.

9 Shule ya Msingi Bluebelt Primary School P.O. Box 65541 +255 75 4377546 Huduma: Elimu ya msingi kwa malipo. Services: Primary education, private.

10 Makoka Student Hostel

P.O. Box 2134619 +255 78 7295960 Huduma: Huduma ya malazi kwa malipo. Services: Accomodation for youth.

11 Shule ya Msingi Ubungo Kibani Primary School Huduma: Elimu ya msingi. Services: Primary education.

5 Shule ya Msingi St.Henry Mary PriAJIRA/EMPLOYMENT mary School P.O. Box 8775 +255 02 2450596 Huduma: Uwanja cha michezo, bure. Services: Sports ground, free.

14

12 Mkapa Economic Zone

Huduma: Ajira kwa vijana. Services: Employment to youth.

11


AFYA/HEALTH

18 ECODE Office

13 Zahanati Serikali/ Government Dispensary

P.O. Box 61665, Barabara Jeshini Road Huduma: Huduma ya afya kwa malipo. Services: Health services, requires payment.

TAARIFA/ INFORMATION ACCESS

Huduma: ECODE inayojishughulisha na maswala ya maendeleo. Services: ECODE deals with development issues.

19 Child and Youth Care

P.O. Box 12081 +255 75 4800201 Huduma: Elimu ya ujasilia mali, bure. Services: Free entrepreneurship skills.

14 External Police Post

Barabara Jeshini Road Huduma: Huduma ya usalama, bure. Services: Service to keep the peace.

22 Eneo la Jeshi la Wananchi/ Military Zone

Huduma: Viwanja vya michezo, bure. Services: Place for various types of games.

DINI/RELIGION 23 Kanisa la Yesu Kristu/ Jesus Christ Church

Huduma: Kiwanja cha mpira wa kikapu, bure. Services: Sports ground, basketball court, free.

24 Kanisa la Kiinjili ya Kilutheri Tanzania Lutheran Church

Huduma: Huduma ya dini. Ni sehemu ya ibada. Services: Religious services, place of worship.

15 Ofisi ya Kata Makuburi Ward Office

Huduma: Huduma ya serikali, bure. Huduma za usalama kwa maana ya vituo vidogo vya polisi vinapatikana katika mitaa yote mitatu, ofisi ya watendaji wa kata na mitaa, pia huduma zote zinazotolewa na serikali kwa vijana ni bure. Services: Government services, including public safety services, ie. Police posts. Local government offices for WEO and VEO are found in all three subwards. Youth services delivered by the government are free.

25 Kanisa St. Anuarite Catholic Church

Huduma: Chuo cha mafunzo ya kompyuta, kwa malipo. Services: College and training on computers, payment.

26 Msikiti wa Ubungo Islamic Mosque

P.O. Box 55105 Huduma: Hospitali na shule kwa malipo. Services: Hospital and school, requires payment.

16 Africa Upendo Group

P.O. Box 110259 +255 02 250803 Huduma: Wanatoa elimu ya ujasiliamali bure. Services:Entrepreneurial training for free.

BURUDANI/RECREATION

17 Uyogaboga Village

20 Kajima Lowland

+255 75 4660377, uyogaboga@yahoo.co.uk Huduma: Elimu kwa njia ya burudani, bure. Services: Education through recreation, free.

~

Huduma: Eneo la wazi kwa michezo. Services: Place for open sports.

21 Mto wa Maji Chumvi River Huduma: Eneo la mapumziko. Services: Resting/meeting place. 12

13


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.