Youth Friendly City Guide - Temeke

Page 1

Youth Mappers Azimio: Yuseph Athumani, Maulid Issa, Dunia Othamani, Hassan Pwemu, Maimuna Salum Chang’ombe: Ally Kipendaroho, Best Patrick Ilala: Bussoro Mohammed, Amina Kasimu,Mageni Dotto, Zaidi Iddi, Zuberi Pesa, Hafsa Selemani Jangwani: Hussein Faridi, Kimbendela Jaffary, Abuu Kibavu, Abdu Saleh, Sudi Salum Kitunda: Tibris Kimario, Joseph M. Kunambi, Stanclaus Kyando Kiwalani: Anania Duma, Eva Malenga, Victor Malenga, Salumu Malilima Mabibo: Hamza Dua, Azizi Hamza, Rehema Komba, Jafary Kunambi, Rhmadhani Lema, Meta Nohonyo Makuburi: Masound Caftany, Canty Didas, Mussa Metsu Makurumla: Amina Chata, Selemani Kabebwa, Nizar Kilale, Dady Mhina, Anna Mjowoka Mwananyamala: Rebeca George, Edwin Mukulasi, Devotha Mushebe, Eusebius Nhimbi Ndugumbi: Mwajabu Issa, Emmanuel Msemwa, Micheal Pius, Ratifa Poyo Sandali: Dennis D. Chakoma, Adani A. Chande, Safina H. Kalembo, Mohamed O. Kaboka, Rehem H. Makasamala, Deglatius L. Mgaya, Sifa H Mohamedi Tandika: Alen Joseph, Hatwiya Mtonga, Ramadham Muharami, Said S. Tindwa Temeke: Raphael Andrew, Zuhra Masoudy, Neema Mwaipopo, Said Sultani Ukonga: Sabrina Ahmadi, Abaallah Chakapu, Chene Malima

Muongozo wa Vijana Jijini Dar es Salaam Youth Friendly City Guide

For More Information Contact:

UN-Habitat/ Safer Cities One Stop Youth Resource Center Phone: +255 (22) 2130959 Fax: +255 (22) 2130961 E-mail: dsm.safercities@yahoo.com 24

Temeke


Asante Sana/Many Thanks

Get Involved!

Shukurani za dhati kwa vijana wote waliotukaribisha katika kata zao na kutuonyesha amali zao kupitia mradi huu. Nawashukuru kwa dhati Martha Mkupasi wa miji salama na Charles Lupilya wa kituo cha kimataifa cha miji endelevu kwa muongozo wao katika kipindi kizima cha mradi huu. Abraham Kaswa na Gadi Kalugendo wa miji salama na pia Steven Milambo, Bussoro Mohamedy na Nizar Kilale waliotoa mawazo muhimu juu ya ushirikishwaji wa vijana Tanzania. Shukurani kwa Justin Sekiguchi kutoka Environmental Youth Alliance, Doug Ragan kutoka University of Colorado’s Children, Youth and Environments Centre, na UN-HABITAT’s Global Partnership initiative for Urban Youth Development.

The youth in all three municipalities of Dar es Salaam, Kinondoni, Ilala and Temeke, identified elements of youth culture that were strengths to Dar es Salaam, as well as opportunities to address some of their concerns. They also had plenty of ideas on how to address these concerns. Here are some ideas they came up with:

Thank you to all the youth who shared their wards and showed us their assets through this project. I would like to thank Martha Mkupasi at Safer Cities and Charles Lupilya at the International Center for Sustainble Cities for guidance throughout the project. Abraham Kaswa and Gadi Kalugendo at Safer Cities as well as Steven Milambo, Bussoro Mohamed and Nizar Kilale provided essential insight into youth engagement in Tanzania. Finally, thank you to Justin Sekiguchi from the Environmental Youth Alliance, Doug Ragan from the University of Colorado’s Children, Youth and Environments Centre, and UN HABITAT’s Global Partnership Initiative for Urban Youth Development.

Mtoaji/Editor: Erica Lay Watoaji wengine/Copy editors: Justin Sekiguchi, Nizar Kilale, Bussoro Mohamed Nakili/Translation: Abraham Kaswa, Nizar Kilale, Erica Lay, Bussoro Mohamed

“Some times there is low cooperation and involvement amongst youth, and youth don’t seem to take initiative on their own.” –Jafary Kunambi, Mabibo Ward

What can youth do to be more engaged themselves? • Be confident and self-aware. • Educate yourself on issues that matter to you: check out your ward executive office for sources of information! • Share your ideas with others: that includes both youth and adults. • Visit your local government and municipal government offices. • Come prepared to meetings where youth have a chance to be heard. • Take initiative: use the resources that are available to you, and look for more services or assets!

Utambuzi wa Amali za Vijana, Dar es Salaam Kati ya Agosti 2007 na Januari 2008, Miji Salama Dar es Salaam na Kituo cha Kimataifa Cha Miji Endelevu viliungama na vijana 60 kupitia warsha, mikutano na kuweza kuandaa Muongozo Rafiki kwa Vijana Dar es Salaam. Kijitabu hiki kinafanya utambuzi na kujadili huduma kwa vijana katika kata 15 ndani ya Dar es Salaam; kime buniwa kama mwongozo rejea na kama maelezo ya mawazo ya vijana juu ya huduma za vijana ndani ya Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi kuhusu mradi huu, fika ofisi za Miji Salama au Kituo cha Vijana (One Stop Youth Center) katika Ukumbi wa Jiji, Dar es Salaam.

Youth Asset Mapping, Dar es Salaam Between August 2007 and January 2008, Safer Cities Dar es Salaam and the International Center for Sustainable Cities teamed up with 60 youth through workshops, meetings and field work to produce the Dar es Salaam Youth Friendly City Guide. This booklet identifies and discusses youth services for 15 wards in Dar es Salaam; it is designed as a reference guide, and an expression of youth opinions on youth services within Dar es Salaam. For more information on this project, visit the Safer Cities office or the One Stop Youth Center at City Hall, Dar es Salaam. 2

“We want to get involved in decision making processes in the local government.” –Stanclaus Kyando, Kitunda Ward What can communities and community members do to support youth? • Involve youth in decision making processes: • Communicate when and where important community meetings (including political meetings) are being held. Try communicating through some of the youth services in this guide. • Make sure government offices and meetings are youth friendly; ask yourself: would you feel welcome in these places if you were a youth? • Provide youth with opportunities speak, listen to what they are saying, and integrate these ideas into planning processes.

23


Get Involved!

Ufunguo/Table of Contents

Vijana ndani ya manispaa za Dar es Salaam Kinondoni, Ilala na Temeke walitambua sehemu ambazo ni muhimu kwa tabia/mambo ya vijana wa Dar es Salaam kama mahali pa kuelezea mambo yao. Pia walitoa mawazo tofauti juu ya namna ya kuelezea mambo yao. Haya ni baadhi ya mawazo yao:

Asante Sana/Many Thanks .............................................................................. 2

“Wakati mwingine kuna upungufu katika kushirikiana na kushirikishwa miongoni mwa vijana, na vijana hawaonekani kua nzisha mambo yao.” –Jafari Kunambi, Kata ya Mabibo Nijinsi gani vijana wanaweza kujihusisha zaidi na mambo yao? • Kujitambua na kujiamini. • Jielimishe juu ya mambo yanayo kuhusu. • Tembelea ofisi ya Afisa metandaji kata kwa kupata vyanzo vya Taarifa. • Badilishana mawazo na wengine, kati ya vijana na watu wazima. • Tembelea ofisi yako ya serikali ya mtaa na ofisi za manispaa. • Fika ukiwa umejiandaa kwenye mikutano ambayo vijana husikilizwa. • Kuwa na mkati wa kutumia vyanzo ambavyo vinapatikana kwako na angalia huduma au amali zaidi! “Tunataka tushirikishwe katika hatua za kufanya maamuzi katika serikali za mitaa.” -Stanclaus Kyando, Kata ya Kitunda Ni jinsi gani jamii na wanajamii wanavyoweza kuwa saidia vijana? • Kuwashirikisha vijana katika kupanga maamuzi. • Kuwataarifu mahali na wakati mikutano muhimu inapofanyika (ikiwemo mikutano ya kisiasa). • Jaribu kuwataarifu baadhi ya huduma za vijana kupitia muongozo huu. • Hakikisha ofisi za serikali na vikao ni rafiki kwa vijana. Jiulizemwenyewe: Unajisikiaje unapokaribishwa sehemu hizi ukiwa wewe ni kijana? • Wape vijana nafasi ya kuzungumza, kuwasikiliza nini wanachosema na uchukue mawazo haya kuwa maandalizi ya mipango. 22

Utangulizi ........................................................................................................ 4 Introduction .................................................................................................... 5 Kata AZIMIO Ward .......................................................................................... 6 Elimu/Education ................................................................................................. 7 Afya/Health ....................................................................................................... 7 Taarifa/Information Access .................................................................................. 7 Burudani/Recreation ........................................................................................... 8 Dini/Religion ...................................................................................................... 8 Kata CHANG’OMBE Ward ................................................................................. 9 Ajira/Employment .............................................................................................10 Afya/Health ......................................................................................................10 Taarifa/Information Access .................................................................................10 Burudani/Recreation ..........................................................................................11 Dini/Religion .....................................................................................................11 Kata SANDALI Ward ...................................................................................... 12 Elimu/Education ................................................................................................13 Uchumi/Finances...............................................................................................13 Afya/Health ......................................................................................................13 Taarifa/Information Access .................................................................................14 Burudani/Recreation ..........................................................................................14 Dini/Religion .....................................................................................................14 Kata TANDIKA Ward...................................................................................... 15 Elimu/Education ................................................................................................16 Afya/Health ......................................................................................................16 Taarifa/Information Access .................................................................................17 Uelimishaji Rika/Peer Education ..........................................................................17 Burudani/Recreation ..........................................................................................18 Dini/Religion .....................................................................................................18 Kata TEMEKE Ward ........................................................................................ 20 Elimu/Education ................................................................................................21 Afya/Health ......................................................................................................21 Taarifa/Information Access .................................................................................21 Uelimishaji Rika/Peer Education ..........................................................................21 Burudani/Recreation ..........................................................................................21 Get Involved (Kiswahili) ............................................................................... 22 Get Involved ................................................................................................. 23 3


Utangulizi

ELIMU/EDUCATION

Vijana ni sehemu kubwa na muhimu katika jamii ya watu wa jiji la Dar es Salaam. Wanafanya karibu asilimia hamsini ya wakazi milioni tatu nukta nne wa jiji. Vijana wanaposhirikishwa katika jamii zao, mashirika yasiyo ya kiserikali, kama waelimishaji rika, na katika vikundi vya uzalishaji mali huchangia kufanya miji kuwa salama na endelevu. Nafasi ya vijana hawa kukaa bila kazi na kufanya uhalifu huwa ndogo.

1 Shule ya Msingi Ndalala Primary School

Muongozo huu wa Jiji wa Vijana ni sehemu ya kuanzia utambuzi na kuendeleza huduma zilizowekwa kwaajili ya mahitaji ya vijana. Kupitia majadiliano katika warsha, mikutano na kazi, vijana walioshiriki katika mradi huu walitambua mambo muhimu ambayo vijana huhitaji msaada na maelezo. Vijana hawa wa Dar es Salaam huhusika zaidi na: -upatikanaji wa elimu ya msingi, sekondari na elimu ya juu -uendelezaji/upatikanaji wa elimu ya ufundi -upatikanaji wa habari/maelezo -ajira na vyanzo vya mapato -upatikanaji wa huduma za afya, haswa kwa VVU/UKIMWI na madawa ya kulevya “Huduma ‘Rafiki kwa Vijana’ ni mahali/eneo/huduma ambapo vijana wanaweza kupata huduma au watatuzi wa matatizo/mahitaji yao kiurahisi na kwa kujitegemea (bila kusindikizwa au kutetewa na rafikiye), bila woga, au masharti na usiri. Ni huduma ambazo wana rika (watu wa rika ya ujana) ndio watoa huduma na wana shiriki katika vyombo vya maamuzi ya jinsi huduma zinavyotolewa pia huduma zipi zitolewe.’” - Vijana, Dar es Salaam, Tanzania

Barabara Ndalala Street Huduma: Elimu msingi. Services: Primary education.

AFYA/HEALTH 2 Marie Stops Temeke

Barabara Temeke Road Huduma: Elimu ya ushsuri nasaha; stadi za maisha; matumizi yamadawa ya kulevya; afya ya uzazi; mafunzo kuhusu UKIMWI na mengi neyo. Services: Counselling. Education on: life skills, drug abuse, maternal health, training on HIV/AIDS.

“Marie Stops wanatoa huduma ya ushauri nasaha na matibabu bure na wanakutana na vijana kila wiki.” “Marie Stops provides free services, counseling, health, and holds meetings with youth every week.”

3 Hospitali ya Temeke Hospital Mwongozo wa Vijana wa Jiji la Dar es Salaam unaonyesha sehemu na maelezo kuhusu sehemu hizo ambazo vijana kutoka kata 15 za Dar es Salaam walizitambua kama ni ‘Rafiki kwa Vijana,’ pamoja na njia ambazo vijana na jamii wanaweza kuzitumia kuelezea matatizo yanayozuia upatikanaji wa huduma za vijana. Angalia ndani! Utaona Dar es Salaam nzima vijana wametambua huduma kama Elimu, Ajira, Upatikanaji taarifa, Elimu rika, Dini, Michezo na Uchumi, ambazo huelezea mambo yanayowahusu au zinauwezo wa kuelezea mambo hayo. Angalia na uone wapi unaweza kushiriki na pia kujua nini kipondani ya mji wako, kama kijana unaweza kusaidia kuendeleza baadhi ya amali na huduma hizi kukidhi mahitaji ya vijana? 4

Barabara Temeke na Sungwi Roads Huduma: Huduma rafiki kwa vijana, Afya yauzazi, UKIMWI kwa jamii, madawa ya kulevya athari za utoaji mimba katika umri mdogo. Services: Youth-friendly services. Maternal health, AIDS and community, education on drug abuse, counseling on the effects of abortion on young people.

TAARIFA/ INFORMATION ACCESS 4 Ofisi ya Vijana CCM Youth Office

P.O. Box 21501 0756408448, 0714 140559, 0713 347311 omaroo_1@hotmail.com Huduma: Mhusika: Mr. Karim Bakili. Ijumaa ndio siku wanato. Huduma kwa vijana wote kata ya 14 ofisi ya kata. Elimu: Ssadi za maisha, sanaa, afya ya uzazi, atumizi ya madawa ya kulevya, ujasilia mali., Mafunzo kuhusu UKIMWI: Mafunzo hutolewa katika mashule, pamoja na mitaani. Services: Responsible: Mr. Karim Bakili. Youth from the ward meet every Thursday. Education on: life skills, culture, maternal health, drug abuse, entrepreneurship. HIV/ AIDS training and education in both schools and in the streets.

UELIMISHAJI RIKA/ PEER EDUCATION 5 Ofisi ya Vijana Chang'ombe Youth Office

Barabara Yombo Road Huduma: Elimu: Stadi za maisha, madawa ya kulevya, elimu kuhusu UKIMWI, sanaa. Services: Education on: Life skills, drug abuse, HIV/AIDS, cultural studies.

BURUDANI/RECREATION 6 Uwanja Madenge Field

Barabara Madenge Street Huduma: Kiwanja cha michezo. Services: Sports field.

21


Introduction Youth are an integral and large part of the population of Dar es Salaam. They make up nearly 50% of the 3.4 million inhabitants of the city. When youth are engaged with their communities, in NGOs, as peer educators, and in income generating groups, they are contributing to a more sustainable and a safer city. These youth are less likely to commit crimes and remain idle. This Youth City Guide is a jumping-off point for identifying and developing services which are tailored to youth needs. Based on discussion in workshops, meetings, and during field work, the youth involved in this project identified key issues where youth search out support and information. These youth in Dar es Salaam are most concerned about: -access to basic and post-secondary education -formal skill development (vocational training) -access to information -employment and income generation -access to health services, particularly for HIV/AIDS and drug abuse “Youth-Friendly services are places or services where youth are able to get service for their problems in a friendly and timely manner, independently (without accompaniment), without fear or conditionality and with confidentiality. They are ideally services where peers are the service providers and where youth participate in the decision making of how services are provided and exactly which services are provided.” - Collaborative definition created by youth in Dar es Salaam, Tanzania

The Dar es Salaam Youth City Guide contains locations and information on places the youth of 15 wards in Dar es Salaam have identified as ‘Youth Friendly,’ along with ways youth and communities can address barriers to youth service provision. Take a look inside! You’ll see that throughout Dar es Salaam, youth have identified services in Education, Employment, Finances, Information Access, Peer Education, Recreation, and Religion that either address the issues they are concerned about or have the potential to address these issues. Take a look to see where you can get involved, and what’s in your city for youth! As a youth or an adult, can you help develop some of these assets and services to meet the needs of youth? 20

5


DINI/RELIGION 18 Kanisa la Watakole/Tanzania Assemblies of God

24 Bilal Muslim Mission of Tanzania P.O.Box 20033, Barabara Ugweno Road Huduma: Elimu ya msingi na sekondari. Services: Primary and secondary education.

~

Barabara Kipungo Road Huduma: Huduma y dini. Services: Religious services.

19 Kanisa Katoliki Tanzania Catholic Church Barabara Mvomelo Road Huduma: Huduma y dini. Services: Religious services.

20 Msikiti wa Chihota Mvomelo Mosque Barabara Sambwisi Road Huduma: Huduma y dini. Services: Religious services.

21 Msikiti Mzia Mosque Barabara Mzia Road Huduma: Huduma y dini. Services: Religious services.

22 Msikiti wa Chihota 'B' Mosque Barabara Chihota 'B' Road Huduma: Huduma y dini. Services: Religious services.

23 International Islamic Relief Organization

P.O.Box 70450 Attn: Ancol Mbwana 755628374 Huduma: Kulea watoto. Mafunzo ya compyuta, na uchomeleaji. Mahitaji: Wanahitaji wafadhili, wahisani ila waureze kuwaendeleza kiendiku zu di hosa ‘advertised’ na chuo kikuu. Klanategemea sano miadaoda kutoka kwa wate inafsi na NGOs binafsi. Services: Orphanage. They need sponsors and donors in order to improve their skills, especially in advertising and university. Depend mostly on NGO funding and donations from individuals to operate. 6

19


13 TAYOCE Tandika Youth Center

Barabara Shoga Road Attn: Said S. Tindwa 0715797377 Huduma: Tunatoa stadi za maisha kwa vijana wa jinsia zote mbili kwa muda uliopo kuwa tayari vijana wanahitaji. Tunatoa elimu kwa vijana wake na waume ili waepuke mimba katika umri mdogo na wavulana waepuka kukimibilia kufanya ngono mapema. Tuna anaandaa matamasha na mabonanza mbalimbali ili kufanya vijana wajitambue wapo na wanahitajika. Tuna elimisha kwa kutumia sanaa ya ngoma, kuigiza pamoja na kutengeneza film. Services: Life skills, sex education, sports skill, cultural development: Education through drumming and film making.

BURUDANI/RECREATION

ELIMU/EDUCATION

16 Kiwanja Tandika Mabatini Sports Ground

1 Shule ya Msingi Sokoine Primary School

Barabara Chihota Road Huduma: Shirikisho la mpira Temeke. Kuandaa ligi ya wilaya. Kuandaa matamasha ya mpira wa miguu kwa vijana. Kusimamia mashindano ya mpira wa miguu kutoka ngazi ya mitaa hadi kata. Ushirikisha wadau mbalimbali wa stadi za michezo. Services: Temeke soccer federation. Headquarters for the district league. Supervise/ referee soccer competitions from the subward to the ward level. Federation on different stakeholders about sports skills.

2 Shule ya Msingi Azimio Primary School P.O. Box 46343 Huduma: Elimu msingi. Services: Primary education.

AJIRA/EMPLOYMENT

14 TAYOHAG Tandika Youth and Hand Craft Group

3 Double Cabins

P.O.Box 46023, Barabara Chihota 'B' Road Nikolau Abraham 0757045253, Alfa Kiloti 0712148662, Godfrey Tem 0787356550 Huduma: Madawa ya kulevya. Wajasiliamali. Batiki. ‘Welding’. Mapambo ya kutumia sanaa. Kuelimisha: stadi za maisha, UKIMWI, rika, sanaa. Services : Training on drug abuse, poverty, batik, welding, entrepreneurship. Education in life skills, HIV/AIDS, peer education and art.

Huduma: Maeneo ya ajira kwa vijana. Services: Employment location for youth.

6 Ofisi ya Kata Azimio Ward Executive Office

P.O. Box 45998 Huduma: Stadi za maisha. Matumizi ya madawa ya kulevya. Services: Information on: lifeskills, reproductive health, drug abuse, and rape prevention.

7 Poverty Fighters Group

P.O. Box 42292, Barabara Bububu Huduma: Matumizi ya madawa ya kulevya, haki za mtoto, mashirikia. Services: Education on drugs, child rights, organizations.

8 Kituo cha Polisi Azimio Tamukareli Police Post

Huduma: Husaidia wakazi kutatua matatizo yao ya kisheria. Services: Helps residents to solve their prob4 Soko Mjinga Market Huduma: Jamii hupata mahitaji ya nyumbani. lems legally. Services: Location for income generating 9 Kituo cha Polisi Vianiza Police activities for youth.

Post

“Ofisi ya afisa mtendaki kata ya Azimio ni sehemu ya vijana kukutana pia kwa maktaba.”

15 KIWOHEDE

Barabara Shoga Road Attn: Mkurugenzi 0754694107 Huduma: Vijana kuanzia umri wa miaka 9-17. Mafunzo: Ushauri nasaha, Kushona, Kutengeneza batiki, kudarizi, kupika. Wanatoa mafunzo bure kwa watoto au vijana wanaoishi katika mazingira magumu, wana waweka katika makundi tayari kwa kujiajiri wenyewe kwa kuwawezesha mikopo kutoka katika NGOs mbalimbali. Services: Free education for youth living in hard environments (ie. Street youth). KIWOHEDE puts these youth into groups for self employment by enabling them to get loans from various NGOs. 18

P.O. Box 46343 Huduma: Elimu msingi, elimu rika juu ya stadi za maisha. Services: Primary education, peer education on life skills.

TAARIFA/ INFORMATION ACCESS

17 Uwanja Marungu Field

Barabara Marungu Road Huduma: Hukutanisha vijana mbalimbali na kuanza kushauriana pamoja uelimishaji juu ya matumizi ya madawa ya kulevya, na kuburudika. Services: Gathering of different youth and advising/education these youth on the effects of drug use through entertainment.

“The ward office is a meeting place for all youth, and has a library.”

AFYA/HEALTH 5 Zahanati Azimio Tambukareli Dispensary Huduma: Huduma kwa afya Services: Health Service for residents.

Huduma: Husaidia wakazi kutatua kezi za jinai/madai. Services: Helps residents solve criminal/civil cases.

10 Ofisi ya Serikali za Mtaa Azimio Subward Office

Huduma: Stadi za maisha, afya ya uzazi, madawa ya kulevya, kuzuia ubakaji. Services: Community and government services.

11 Ofisi ya Serikali za Mtaa Kichangani Subward

Huduma: Shughuli za kiserikali na kijamii. Services: Community and government services. 7


19 Msikiti Mnimak's Mosque

12 Ofisi ya Serikali za Mtaa Tambukareli Subward

Huduma: Shughuli za kiserikali na kijamii. Services: Community and government services.

13 Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mji Mpya Subward Huduma: Ushauri nasaha kuhusu matatizo ya kijamii. Services: Counseling for social problems.

Huduma: Huduma ya dini, ibada. Services: Spiritual services, worship.

~

8 Zahanati Khoja Shia Isnashariya Dispensary

P.O.Box 20033, Barabara Kivungo Road Huduma: Matibabu ya afya ya uzazi na magonjwa ya kuambukizwa kama, kaswended, kusononoa, UKIMWI. Ushauri nasaha kwa vijana. Services: Treatment of sexually trasmited diseases such as gonorrhea, HIV/AIDS, syphilis. Counseling for youth.

BURUDANI/RECREATION

TAARIFA/ INFORMATION ACCESS

14 Uwanja Machine ya Maji Playground

9 Kituo cha Polisi Tandika Police Post

Huduma: Vijana wanacheza michezo mbalimbali. Services: Space for youth to play games and sports.

15 Yebo Yebo Camp

Huduma: Mahali palipoandaliwa na vijana kubadilishana mawazo. Services: A place established by youth to exchange views.

16 Mataliano Camp

Huduma: Mahali palipoandaliwa na vijana kubadilishana mawazo. Services: A place established by youth to exchange views.

DINI/RELIGION

Barabara Chihota 'A' Road Huduma: Husaidia kudhibiti wezi vibaka, waporaji pamoja na kusimamia haki za binadamu,mali na usalama wa vijana. Kulinda amani pamoja kuondoa vitendo kama ubakaji na kudhurumu haki za vijana za msingi. Services: Controlling criminals, thieves. Education on human rights and protecting youth safety. Control illegal activities such as rape, and those denying youth of their rights.

10 Ofisi ya Afisa Mtendaji/Ward Executive Office

Barabara Shoga Road Huduma: Shughuli za kiserikali na za kijamii. Services: Community and government services. “Ofisi ya afisa mtendajikata ya Tandika kuna eneo la wazi kwa vijana ni eneo wanaloweza kukutana wanapohitaji.”

17 Msikiti Mweupe Mosque

Huduma: Huduma ya dini, ibada. Services: Spiritual services, worship.

“The ward office is an open area of youth. It’s a place to meet when ever it is needed.”

18 Kanisa Kidiangani Church

Huduma: Huduma ya dini, ibada. Services: Spiritual services, worship.

8

UELIMISHAJI RIKA/ PEER EDUCATION 11 Jitambue Youth Development Center

Barabara Mwale Road Attn: Mwasiti 0757116010 Abdul 0714986898 Mwahija 0755274931 Huduma: Uelimishiji: Juu ya kupambana na madawa ya kulevya. Kupambana na virusi vya UKIMWI pamoja na kutambua dalili za magonjwa ya ngono. Wanalea watoto yatima waliokosa kabisa walezoi. Stadi za michezo: mpira wa miguu kwa waschana na wavulana. Elimu: Wanatoa elimu kwa waliokowa kabisa na wanaolutaji kujiendeleza. Services: Education: on fighting drug abuse and HIV/AIDS. Sensitization to AIDS through discussions and understanding the symptoms of sexually transmitted diseases. Taking care of orphans. Sports: Soccer for girls and boys. Education: for those who missed formal education and need it.

12 Kilimani Youth Development Group

Barabara Lusaka Road Attn: Rahima Niha 0755349267 Huduma: Wajasiliamali. Wanakodisha matulubai. Mafundi selemala. Waelimishaji rika: Juu ya masuala ya virusi vya UKIMIWI na UKIMWI. Wanapambana na watumiaji wa madawa ya kulevya kwa kuwashauri na kuwapa elimu ya madhara ya kutumia madawa ya kulevya. Afya ya uzazi. Mimba katika umri mdogo. Matumizi ya kondom. Services: Tent rentals. Carpentry. Peer education on HIV/AIDS issues. Fighting drug abuse by providing counseling and education on the effects of drug use. Explaining the effects of pregnancy at a young age. Education on the proper use of condoms.

17


ELIMU/EDUCATION

5 Shule ya Msingi Ally Hassan Mwinyi Primary School

Barabara Uwengo na Chihota 'B' Roads Huduma: Shule za serikali. Elimu ya msingi. Kuna kiwanja cha mpira wa miguu. Stadi za maisha Services: Government school. Primary education. Soccer field. Education on life skills.

1 Shule ya Sekondari Maarifa Secondary School

P.O. Box 45257 0714655908 Huduma: Kuna uwanja wa mpira, kuna msikiti. Elimu ya sekondari. Uchezaji wa mpira wa miguu. Elimu ya watu wazima pamoja na elimu ya waliopita umri au wanafanya kazi AFYA/HEALTH wanasoma miaka miwili na kufanya mtihani wa form four. 6 Zahanati Arafa Dispensary Services: Secondary education. Football field Barabara Ugweno Road and mosque. Adult education (secondary). Huduma: Huduma ya afya na uzazi: Uzazi wa mpango. Kuzuia mamba. Kusaidia mzazi 2 Shule ya Msingi Tandika Primary katika umri mdogo. Matibabu kwa magonjwa mbalimbali yakujamianiana na yasigo kujaSchool miana. Usahauri nasana. P.O.Box 46343, Barabara Chihota 'A' Road Services: Health Services, family planning Huduma: Shule ya serikali. Elimu ya msingi, kuna uwanja wa mpira wa miguu. Vijana wa- consultations and provision of contraceptives. Counseling, particularly for young parents. nakusanyika na kubadilishani mawazo wanaTreatment for various diseases including sexufurahi kuangalia mpira. Ujasiliamali-wana maduka wameyazungushia ubavuni mwa shu- ally transmitted diseases. le wa mekodisha. Services: Government school. Primary educa- 7 Zahanati Tyma Dispensary tion. Football field. Youth gather here to exBarabara Bubuu Road change ideas and to enjoy watching soccer. Huduma: Huduma ya afya na uzazi: Wanatoa Various shops surround the school boundaries. ushauri nasaha na uzazi wa mpango. Madhara ya mimba katika umri mdogo. Matibabu ya magonjwa ya kuambukiza, yatokanayo na 3 Shule ya Msingi Mabatini na kujamiana na yote yasio ambukizwa njia hiyo. Makamba Primary School Unasili kwa wagonjwa waishio kwa mudo P.O. Box 11604, Barabara Mwembe Road mrefu. Huduma: Elimu ya msingi, shule zote mbili Services: Health and childbearing services: ziko eneo moja. counseling and family planning. Education on Services: Primary education. Two primary the risks of childbearing at a young age. schools in the same area. Treatment for sexually transmitted diseases.

4 Shule ya Sekondari Tandika Secondary School

P.O.Box 45619, Barabara Chihota 'A' Road 0713246161 Huduma: Elimu ya sekondari, kuna uwanja wa mpira wa miguu. Services: Secondary education. Soccer field. 16

9


1 Makaburi Chang'ombe Cemetery

treatment.

AJIRA/EMPLOYMENT

Barabara Temeke and Chang'ombe Roads Huduma: Huduma ya afya Services: Health services.

Barabara Basara na Ubena Roads

2 Soko la Taraza Market

Barabara Mandela na Sinza Roads 0773 049861/ 0782 291952

7 Zahanati ya Kanisa Chang'ombe Church Dispensary

TAARIFA/ INFORMATION ACCESS

3 Maeneo ya Ujasiliamali/ Entrepreneurship Area

8 Ofisi ya Kata Chang'ombe Ward Office

Barabara Chuma Road

4 Maeneo ya Ujasiliamali/ Entrepreneurship Area Barabara Chang'ombe Road

“Eneo la ujasiliamali Chang’ombe ni amali kubwa kwa sababu vijana hupata nafasi kufanya miradi mbalimbali ya kujiingizia kipata savavu kunanefasi chache za kujiliwa.” “The entrepreneurship areas in Chang’ombe are the biggest assets since they give youth a place to pursue group or individual income generating activities. There are few formal jobs available to youth.”

AFYA/HEALTH

P.O. Box 46343, Barabara Masongere Road 0754248103 Huduma: Shuguli za kiserikali na za kijamii. Services: Government and community services.

9 Ofisi Tanzania Revenue Authority Office-Temeke P.O. Box 45941, Barabara Mganda Road Huduma: Shuguli za kiserikali. Services: Tanzania Revenue Authority

10 Tanzania Women and Children Welfare Centre

P.O. Box 13903, Barabara Chang'ombe Road Email: twcwctz@yahoo.com Huduma: Huduma kwa wanawake. Services: Women resources.

11 Tukolene Youth Development Center

5 Maria Pharmacy Limited

P.O. Box 43090, Barabara Chamwenyewe Road 2863313 Email: tukolene@yahoo.com Huduma: Huduma kwa vijana Services: Youth resources.

P.O. Box 11954 2862763 Huduma: Huduma ya afya. Services: Health services.

6 Zahanati Hafford Dispensary

P.O. Box 46246 0713213189 Huduma: Maduka,huduma ya afya, matibabu. Services: Pharmacy, health services, and 10

12 Equal Opportunities for All Trust Fund P.O. Box 78262, Barabara Sheffield Road +255 756093126 / +255 784680060 Email: eotf@yahoo.com

15


AFYA/HEALTH

BURUDANI/RECREATION

7 Zahanati Tayma Dispensary: Veterinary Area

12 Lusaka Junction

2863063 Huduma: Huduma ya afya, matibabu. Services: Afya and medical treatment.

8 Zahanati Serikali/Government Dispensary

P.O. Box 46343 Huduma: Kliniki ya watoto na waja wazito. Services: Health and medical treatment. Clinic for children

9 Zahanati ya Tayma Dispensary Huduma: Huduma ya afya, matibabu. Services: Health and medical treatment.

Huduma: Sehemu ya mapumziko. Services: Gathering place.

14 Radio Tanzania

13 Uwanja cha Mpogo Field

15 TEYODEN Youth

P.O. Box 46343, BarabaraMasongere Road 0755 824739 Huduma: Kituo cha Vijana. Services: Youth network and youth center.

14 Super Stereo

16 Ofisi ya Posta/Post Office

0732928842 Huduma: Sehemu ya mapumziko na burudani, Services: Place for rest and entertainment.

15 Kanisa Monrovian Church

11 Kituo cha Vijana Sandali (TEYODEN)

P.O.Box 21811 0755548056/0753773538/ 0713565675 0786054385/ 0714595207 Huduma: Kituo cha taarifa na habari. Haki za watoto. Haki za binadamu. Haki za vijana. Elimu ya ujasilia mali. Stadi za maisha. Elimu ya afya na lishe. Services: Youth information and news center including information on: child rights, human rights and youth rights. Education on entrepreneurship, life skills and on health and nutrition. 14

Barabara Changa Road Huduma: Huduma ya posta. Services: Postal Services.

BURUDANI/RECREATION 17 Uwanja TTC Club and Sports Ground

Huduma: Huduma ya dini. Services: Religious services.

Barabara Masongere na Zimbabwe Roads Huduma: Uwanja cha michezo na TTC Club. Services: Sports ground, TTC Club.

Huduma: Huduma ya dini. Services: Religious services.

18 J.J. Pub

10 Ofisi ya Serikali ya Mtaa na Kata ya Sandali 16 Kanisa Lutheran Church P.O.Box 46343 Huduma: Shughuli za kiserikali na za kijamii. Services: Community and government services.

P.O. Box 9191

Huduma: Uwanja wa michezo, mpira wa miguu na shughuli za kijamii. Services: Field for football, sports, and other community events.

DINI/RELIGION

TAARIFA/ INFORMATION ACCESS

13 Dar Group Hostel

Barabara Nyerere na Mandela Roads

17 Msikiti Sandali Mosque Huduma: Huduma ya dini. Services: Religious services.

18 Masjidi Imani Mosque Huduma: Huduma ya dini. Services: Religious services.

19 Msikiti/Mosque

Huduma: Huduma ya dini. Services: Religious services.

~

Barabara Majima na Masongere Roads Huduma: Sehemu ya mapumziko. Services: Resting/gathering place.

19 Shayo Pub

Barabara Chuma Street Huduma: Kituo cha mapumziko. Services: Resting/gathering place.

22 Kiwanja Mabembeani Lowland Barabara Msikiti na Kimathi Roads Huduma: Uwanja wa michezo Services: Sports ground.

23 Rizzy Pub

Barabara Chang'ombe Road Huduma: Kituo cha mapumziko. Services: Resting/gathering place.

24 Wapiwapi's Bar and Guest House Barabara Changa Road Huduma: Kituo cha mapumziko. Services: Resting/gathering place.

25 Suga Ray Pub

Barabara Temeke Road Huduma: Kituo cha mapumziko. Services: Resting/gathering place.

DINI/RELIGION 26 Msikiti wa Wahindi Jammatin Mosque Huduma: Ni sehemu ya ibada. Services: Place of worship.

27 Msikiti wa Toroli Mosque Huduma: Ni sehemu ya ibada. Services: Place of worship.

28 Kanisa la Chang'ombe Church Barabara Temeke na Chang'ombe Roads Huduma: Ni sehemu ya ibada. Services: Place of worship.

~

20 First and Last Bar

Barabar Igomba Street Huduma: Kituo cha mapumziko. Services: Resting/gathering place .

21 Queen Beatrice Pub

Barabara Msikiti Road Huduma: Kituo cha mapumziko. Services: Resting/gathering place. 11


ELIMU/EDUCATION 1 Shule ya Sekondari Sandali Secondary School P.O. Box 46212 Huduma: Elimu ya secondari. Services: Secondary education.

3 Shule ya Msingi Sandali Primary School P.O. Box 42338 Huduma: Elimu ya misingi, ya MEMKWA, mazingira, na afya. Services: Primary education, education for youth beginning after the age of 7 years (MEMKWA), environment, health.

4 Montessori Nursery School, English Medium

P.O.Box 40223 2865332 Huduma: Elimu ya awali chini ya miaka 3. Services: Education for children under three. Private school.

5 YUDEFA Vocational Training Center

“Kituo cha vijana Don Bosco kinanafasi ya wazi kwa ajili ya michezo, kuna chuo cha ufundi na viwanja vya mpira wa miguu na kikapu, ngoma asili na mapumziko.” “Don Bosco youth center provides a free place for sports, vocational training, as well as space for soccer and basketball, traditional dancing, and relaxation.”

2 Kituo cha Vijana Don Bosco Youth Center

P.O. Box 40223 2865332 Huduma: Kupokea tenda za kushona sketi na vitambaa mbalimbali. Kupiga chapa. Mitindo mbalimbali ya nguo na kudalizi. Services: Health and medical treatment. Training in tailoring for skirts and various fabrics. Printing training. Training in fashion, clothes and dye.

UCHUMI/FINANCES 6 SACCOS Sandali

P.O. Box 45739 0782533387/ 0763663006/ 0787831260 Huduma: Shunguli za ushirika wa kuweka na kukopa na huduma ya benki. Services: Common loans and bank services.

P.O. Box 72096 2863470/0755699576 Huduma: Michezo, elimu ya ufundi kushona, compyuta. Services: Sports ground, tailoring training, computer. 12

13


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.