Mfano wa Polandi
KITENGO CHA OAM
Kikundi
FURSA
Kazi ya uthibitishaji kwa Jeshi la wokovu huko uholanzi uhimiza wale wanaotaka kuhama huko kutumia huduma yao ili kujikinga kutokana na dhuluma kazini.
Muktadha wa sasa
Kanuni ya jamii: watu wanakubali kuwa kiwango cha mshahara ni chini huko uholanzi na kuhama kupitia nchi za muungaano wa Uropa ni salama na kawaida. Mtazamo-malipo: ni ya juu katika magharibi mwa uropa, watu wengi wana kazi nzuri na Maisha bora kuliko hapa, ninaweza kutuma pesa nyumbani kwa familia yangu. Sheria: harakati za kutembea katika muungano wa uropa inamaanisha kwamba watu wanaoishi uholanzi wako huru kutembea na kufanya kaz kati ya haya mataifa.
Mabadiliko ya tabia inayokusudiwa:
Je, watapata fursa ya kufanya hivyo? Je, kuna mambo yoyote ya nje yanayoathiri uwezo wa kubadilisha tabia? Je, ni rahisi kupitisha?
TAMBUA MAMBO YANAYOTAKIWA KWA FURSA, UWEZO NA KUHAMASISHA.
Jeshi la Wokovu liko katika vikosi vinne nchini Polandi, ambapo watu wataweza kupata habari. Hata hivyo, Jeshi la Wokovu halijulikani vyema na linahitaji kufanya kazi na wengine ili kuwafikia watu wengi. Jeshi la Wokovu halina nafasi za kazi za ndani ili kusaidia wahamiaji lakini lina mchakato wa rufaa. Timu iliunda zana inayoangazia ajira salama na ya haki na matarajio ya uhamiaji ambayo watu wanaweza kutumia kwa urahisi.
UWEZO
Tabia: kwa mpangilio huu, watu wasokuwa na ujuzi wanalengwa. pia walioitimu vyuo vikuu. wengi wa wakala wa ajira hupeana nafasi halali za kazi na pia sisizo za ukweli na za hatari nah ii hufanya iwe ngumu kujulikana.
Je, wana uwezo wa kuifanya?
Wahamaji kuweza kufanya tathmini ya hatari kama njia ya kuwaajiri na nafasi za ajira ni za salama.
Je, inalingana na maadili na mahitaji yao?
Je, wana ujuzi au uwezo wa kufuata tabia hii?
Wanafunzi ambao wamemaliza masomo yao ya shule na chuo kikuu wanaweza kuelewa na kuchakata habari. Watu wazima wasio na elimu hupata shida zaidi. Tunasaidia watu kuelewa uhamaji salama, badala ya kujaribu kuwazuia kuhama kwani kuna uwezekano mkubwa wa kupatana na mahitaji yao.
KUHAMASISHA Je, wanataka kufanya hivyo?
Tambua fursa, uwezo na motisha mambo muhimu kwa mabadiliko ya tabia
34 | JUMUIYA IMARA
Je, wana msukumo wa kuiga tabia hii? Je, mabadiliko hayo yana manufaa?
Watu nchini Poland wanataka kazi - sio za kusafirishwa - Kuna imani kubwa kwamba usafirishaji haramu wa binadamu hutokea tu kwa wale ambao ni ‘wajinga’ au wanaotoka katika malezi duni. Ikiwa tunaweza kuonyesha ushahidi wa kutosha wa watu wenye elimu ambao wamesafirishwa tunaweza kuwashawishi. Mabadiliko ya jinsi wanavyochagua kazi wakati mwingine ina maana kwamba wanapaswa kusubiri muda mrefu zaidi kwa ajili ya ajira, lakini kwamba hawapati unyonyaji au kiwewe.
JUMUIYA IMARA
| 35