EAST AFRICA COMMUNITY ANTHEM (Chorus) JumuiyaYetusotetuilinde Tuwajibiketuimarike Umojawetuninguzoyetu IdumuJumuiyayetu.
(Verse 2) Uzalendopiamshikamano ViwemsingiwaUmojawetu NatulindeUhurunaAmani Mila zetunadesturizetu.
(Verse 1) EeMungutwaombaulinde JumuiyaAfrikaMashariki Tuwezeshekuishikwaamani Tutimizenamalengoyetu.
(Verse 3) Viwandaninahatamashambani Tufanyekazisotekwamakini Tujitoekwahalinamali TuijengeJumuiya bora.
“Scouts Promoting Peace and Responsible Citizenship”
World Scout Bureau // Africa Regional Office // East Africa Zone