welcome_program_c4_2016

Page 1

ORIFLAME INAKUSOGEZEA MAISHA YA NDOTO ZAKO

PENDEZA

TENGENEZA PESA

PATA PESA UKIWA ORIFLAME Pindi unapoanza kupendekeza na kuuza bidhaa utaweza kupata pesa za papo kwa hapo. Pindi utakapowashirikisha wengine katika fursa ya Oriflame ya biashara – utapata kipato Zaidi na bonasi! Pindi utakapouza bidhaa zenye gharama ya pointi 60 za bonasi (BP*), na wakafanya hivyo watu watano katika timu yako utakuwa umepata jumla ya BP 360 na 3% ya kipato za ziada.

FURAHIA MAISHA

60

bp

60

bp

bp 60 bp 60

60 *BP = Kila bidhaa ina pointi za bonasi ambazo zinatofautiana kulingana na thamani ya bidhaa. Kwa maelezo Zaidi kuhusiana na pointi za bonasi tafadhali rejea karatasi yenye orodha za bei.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA ALIYEKUUNGANISHA

bp

YOU

bp 360 bp 3% pd 60


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.