1 minute read

ASUBUHI

Nimeamka katika himaya Yako, Ee Mungu wangu, na inambidi yule ambaye hutafuta himaya hiyo adumu ndani ya Hifadhi ya ulinzi Wako na Ngome ya kinga Yako. Angazia nafsi yangu ya ndani, Ee Bwana wangu, kwa utukufu wa Mapambazuko ya Ufunuo Wako, kama ulivyoiangazia nafsi yangu ya nje kwa mwangaza wa asubuhi wa fadhila Yako.

Bahá’u’l láh

This article is from: