Family Prayers (Swahili)

Page 9

ASUBUHI

N

imeamka katika himaya Yako, Ee Mungu wangu, na inambidi yule ambaye hutafuta himaya hiyo adumu ndani ya Hifadhi ya ulinzi Wako na Ngome ya kinga Yako. Angazia nafsi yangu ya ndani, Ee Bwana wangu, kwa utukufu wa Mapambazuko ya Ufunuo Wako, kama ulivyoiangazia nafsi yangu ya nje kwa mwangaza wa asubuhi wa fadhila Yako. Bahá’u’lláh

4


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.