Family Prayers (Swahili)

Page 1



Bahá’í Publishing Trust 401 Greenleaf Avenue, Wilmette, Illinois 60091 Copyright © by the National Spiritual Assembly of the Bahá’ís of the Republic of Congo

All rights reserved. Published 2019 Printed in the United States of America on acid-free paper ∞ 22 21 20 19    4  3  2  1

ISBN 978-0-87743-406-1

Cover design by Patrick Falso


Heri pahali, na nyumba, na mahali, na mji, na moyo, na mlima, na kimbilio, na pango, na bonde, na nchi, na bahari, na kisiwa, na shamba ambapo Jina la Mungu limetajwa, na Sifa Yake kutukuzwa. Bahá’u’lláh


CONTENTS SALA ZA FARADHI . . . . . . . . . . . . . . . . .

1

KWA AJILI YA MAREHEMU

. . . . . . . . . . .

3

ASUBUHI . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

4

SAFARI . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

5

JIONI

6

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

FAMILIA

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

7

USAFI NA UNADHIFU . . . . . . . . . . . . . . .

12

UMOJA . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

13

HIMIDI NA SHUKRANI . . . . . . . . . . . . . . .

14

SIFA ZA KIROHO . . . . . . . . . . . . . . . . . .

16

MSAADA NA AUNI . . . . . . . . . . . . . . . . .

17

MSAADA KATIKA MAJARIBU . . . . . . . . . .

19

USHINDI WA HOJA . . . . . . . . . . . . . . . . .

21

UPONYAJI . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

22

KUJITENGA . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

23

MSAMAHA . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

25

ULINZI . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

27

NDOA . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

29

WATANGULIZI . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

31

MFUNGO . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

32

NAW-RUZ . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

34

MAANDIKO YA ZIADA . . . . . . . . . . . . . . .

36


SALA ZA FARADHI

“Sala za faradhi za kila siku zipo tatu kwa idadi . . . Muumini yu huru kabisa kuchagua mojawapo kati ya sala hizi tatu, lakini yupo chini ya sharti la kughani mojawapo, kwa kufuatana na maelekezo yoyote dhahiri ambayo yanaambatana nayo.” Kutoka barua iliyoandikwa kwa niaba ya Shoghi Effendi. “Kwa ‘asubuhi’, ‘adhuhuri na ‘jioni’, iliyotajwa kuhusiana na Sala za Faradhi, humaanisha mtawalia kutoka vipindi kati ya mawio na adhuhuri, kati ya adhuhuri na machweo, na kutoka machweo hadi saa mbili baada ya machweo.” Muhtasari na Ufupisho wa Kitab-i-Aqdas, uk. 36.

1


Sala Fupi ya Faradhi IGHANIWE MARA MOJA NDANI YA SAA ISHIRINI NA NNE, WAKATI WA ADHUHURI

N

inashuhudia, Ee Mungu wangu, kwamba Umeniumba mimi kukujua Wewe na kukuabudu Ninashuhudia katika wakati huu, juu ya unyonge na uwezo Wako, juu ya umasikini wangu na Wako.

Wewe Wewe. wangu utajiri

Hakuna Mungu mwingine ila Wewe. Msaada hatarini, Ajitoshelezaye – Mwenyewe. Bahá’u’lláh

2


KWA AJILI YA MAREHEMU

E

e Mungu wangu ! Ewe msameheaji wa dhambi, mjalia thawabu, muondoa mateso ! Hakika, nakusihi kusamehe dhambi za wale walioacha vazi la kimwili na wamepaa kwenye ulimwengu wa kiroho. Ee Bwana wangu ! Uwatakase kutokana na makosa, ondoa huzuni zao, na Ugeuze giza lao kuwa mwanga. Wafanye waingie bustani ya furaha. Uwatakase kwa maji safi kabisa, na Uwajalie wauone utukufu Wako kwenye mlima ulio bora kabisa. ‘Abdu’l-Baha

3


ASUBUHI

N

imeamka katika himaya Yako, Ee Mungu wangu, na inambidi yule ambaye hutafuta himaya hiyo adumu ndani ya Hifadhi ya ulinzi Wako na Ngome ya kinga Yako. Angazia nafsi yangu ya ndani, Ee Bwana wangu, kwa utukufu wa Mapambazuko ya Ufunuo Wako, kama ulivyoiangazia nafsi yangu ya nje kwa mwangaza wa asubuhi wa fadhila Yako. Bahá’u’lláh

4


End of this sample. To learn more or to purchase this book, Please visit Bahaibookstore.com or your favorite bookseller.


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.