![](https://assets.isu.pub/document-structure/210930163847-e66eb62c788be1f39ea5dcc0cd7c3a4a/v1/8904cc790ec418b5b9aca4a09a1c1783.jpeg?width=720&quality=85%2C50)
13 minute read
Prevention by Raising Awareness
PREVENTION KINGA KUPITIA BY RAISING KWA AWARENESS KUFAHAMISHANA
This chapter seeks to show how we Sura hii itatupa picha jinsi can raise awareness about human tunavyoweza kuongeza ufahamu kuhusu biashara ya binadamu na local community and by so doing utumwa wa kisasa katika jamii zetu prevent it happening na kwa kufanya hivyo kuzuia kuwepo kwa biashara hii.
Tukio kama hili linawapa watu wa chance to exploit many people, often magendo fursa ya kutumia watu young people like ourselves wengi, haswa sisi vijana wenyewe.
Neymar’s StoryHadithi yake Neymar.
I BELONG TO A CORPS THAT HAS A GREAT YOUTH GROUP. We have a lot of NINATOKA KWA KIKAO AMBACHO KINA VIJANA WENGI. Huwa tuna furahia kwa wingi, lakini pia hujaribu kufanya mambo makubwa na ya muhimu.
A sa wetu wa kikao walitueleza habari kuhusu biashara ya binadamu na of the biggest events in our city is Carnival, a huge street festival, and we knew that tulistaajabu sana na tukataka kufanya jambo. Kijijini mwetu, huwa kuna thousands of people attend and take part. We were told that an event like this gives mihemko katika mkahawa wa carnival, huwa kuna watu wengi na tunajuwa mahudhurio huwa mazuri. Tuliambiwa ya kwamba, sherehe kama hizi huwa inawapa wasa rishaji fursa ya kuvizia watu, haswa vijana kama sisi kwa vile huwa themselves trapped in terrible situations that they can’t get out of. tunapewa ahadi za ajira nzuri na malipo ya juu. Lakini baadaye, vijana hujipata matatani kwa mambo ambayo hawawezi wakajiondoa. We decided that we wanted to warn young people who might be an easy target for
Tuliamua kuwaonya vijana dhidi ya hao majangili wanaoweza wadanganya na were being forced to do something that they really did not want to do. We thought kuwateka nyara bila ya kujua na kuingizwa kwa mtego ambao hawawezi hard about what we could do and prayed about it too. kujinasua. Tuli kiria sana jinsi ya kulishughulikia hili jambo na pia tukashirikiana kwa kuomba.
Siku ya kwanza pale carnival, nilikuwa na uoga sana, lakini tulikuwa tayari. Sisi sote tulivaa fulana iliyoandikwa “Ukiwa na furaha, jua ya kwamba, kuna watu wengine wanalia. Biashara ya binadamu ni uhalifu – tunapinga”. Tulikuwa pia
na vibango vilivyoandikwa sawa na fulana zetu lakini ilikuwa na vidokezo Zaidi happening right under our noses. Lots of people stopped and joined in with the kuhus biashara ya binadamu. Tuliimba nyimbo zilizojulikana lakini maneno yake yaliambatanishwa kueleza watu kuhusu biashara ya binadamu na kwamba haya yote yalikuwa yanatendeka kati yetu. Watu wengi waliskiza na kujiunga good too because it seemed that everywhere you looked there was a message about nasi kwa kuimba na kucheza kwa vile tulikuwa na mabango na maneno ya kusoma wakati wimbo ulipokuwa unaendelea. Wale wetu ambao walijitolea walibeba mabango juu kwa juu kati kati ya barabara. Hii ilikuwa busara kwani, kila sehemu ilikuwa na ujumbe sawa kuhusu biashara ya binadamu.
Tulifanya jambo la busara pale carnval na ninahakikisha ya kwamba nitazidi kuendeleza injili dhidi ya biashara ya binadamu.
The Salvation Army Context Muktadha wa Jeshi la Wokovu
Utumwa wa kisasa na biashara ya binadamu ni tatizo kubwa problem and we are an international Salvation Army. We duniani kote. Kwa upande mwengine, Jeshi la wokovu ina sauti are therefore well placed to raise awareness in culturally duniani kote. Hii ina maana ya kwamba, kwa vile kanisa la relevant ways about the problem of modern slavery and jeshi la wokovu liko duniani kote, tuna uwezo mkubwa wa kupinga haya maovu. With corps, community involvement and numerous centres and institutions in cities, towns and villages, we Kupitia usaidizi wa vikao, baraza la wazee, tuo, shuleni, vijijini, have the means to engage with people to educate and help tuna uwezo mkubwa wa kuwatumia wasomi ili kuzuia na to prevent as well as identify modern slavery and human kutusaidia pia kutambua haya maovu.
What we Need to KnowTunachohitaji Kutambua
WHY IS IT IMPORTANT TO DO IT?MBONA NI MUHIMU KUFANYA HAYA?
Kuzuia utumwa wa kisasa na biashara ya binadamu kutotendeka kwa mtu yeyote, inatupaswa tuwe na uwezo wa kukinga haya maovu kabla yatendeke.
Kitu cha muhumi ni kwamba, ikiwa mtu au jamii wataweza kujikinga dhidi ya haya maovu, na kuelewa utumwa wa kisasa na biashara ya binadamu, ni lazima wafunzwe au waelimishwe vidokezo muhimu.
Sisi, kama kina Wokovu, tuko ndani ya jamii. Hii inatupa uwezo mkubwa wa kukatalia mbali unyanyapaa dhidi ya haya maovu kwa kuwapa watu maelezo kwa uwazi.
have become a victim.
If individuals and communities are to be more able to protect themselves, having an
WHAT IS AWARENESS-RAISING?JE, KUFAHAMISHA NI NINI?
We use awareness-raising to communicate messages about modern slavery and Tunatumia ufahamu kuongeza uelewa ku kisha ujumbe kuhusu utumwa wa kisasa na biashara ya binadamu kwa mtu au kikundi. Ujumbe huu lazima uwe na habari kamili. informative and an active element. An informative message is asking the individual or group to understand new Ujumbe wa kueleweka ni kuuliza mtu binafsi au kikundi kufahamu taarifa mpya. information. Ujumbe kamilifu ni kuuliza mtu binafsi au kikundi kufanya mabadiliko katika mtazamo An active message is asking the individual or group to make a change in their wao au tabia zao. attitude or their behaviour. Kwa kawaida, baada ya kutoa habari mpya kwa mtu binafsi au kikundi tunaweza them to change their attitude or behaviour as a result. kuwatia moyo kwa kubadili mtazamo wao au tabia ili kupata matokeo kamilifu.
HOW CAN WE RAISE AWARENESS EFFECTIVELY? JE TUNAWEZAJE KUENEZA HABARI KWA UFANISI?
Soma sura ya ‘Utumwa wa kisasa na biashara ya binadamu ni nini?’ ili uweze kupata have a good understanding of the problem.kuelewa vizuri haya matatizo. Kisha, Husisha hili jambo kwa jamii au hali ya eneo lako, kwa kulenga zaidi kampeni zetu za ufahamu, inafaa iwe na ufanisi zaidi. Ikiwa tunataka watu wachukue taarifa hii kuwa ni muhimu, ni bora kuwaonyesha jinsi inavyowaathiri wao wenyewe, familia na communities. jamii zao kwa ujumla. Engaging our communities in conversations is important to our understanding of Kushirikisha jamii zetu katika mazungumzo ni muhimu ili tuweze kuelewa kiwango their current level of knowledge and whether or not they are able to identify slavery cha maarifa yao na kama wanaweza kutambua utumwa au biashara haramu ya binadamu katika muktadha wao. Tunaweza kutoa taarifa kuhusu aina ya njia ambazo magendo yamekuwa yakifanyika past or may use in our locality.hapo awali vijijini mwetu. Mara nyingi, tunahitaji kuwasilisha ujumbe mara kadhaa kwa njia tofauti; kwa mfano, wakati watu wanapambana na umaskini, wamepatia migogoro, mkasa asilia au disaster or broken relationships, they are willing to take greater risks. mahusiano yaliyovunjika, hawa watu, wako tayari kujitolea na kujiingiza kwa hatari.
Migration is increasing and therefore trying to convince people that it is not always Uhamiaji unaongezeka na hivyo tunajaribu kuwashawishi watu kwamba si salama kwao kila mara kuhamia mbali kwani zina changamoto zake. Badala yake, twaweza kukuza uhamaji kwa njia iliyo na usalama. Hii inapaswa kujumuisha kutoa taarifa make informed and safe decisions and how to be well prepared. kuhusu jinsi ya kufanya maamuzi ya busara na salama na jinsi ya kujipanga vizuri.
DECIDING ON AWARENESS ACTIVITIES AND MATERIALS SHUGHULI NA VIFAA VYA KUTUMIWA
Watu na makundi tofauti watahitaji shughuli tofauti au vifaa ili kuhakikisha kwamba ujumbe huo umeeleweka kikamilifu.
Mbinu mbalimbali ni muhimu ikiwa ni pamoja na matangazo ya televisheni na mistari ya hadithi katika mfululizo maarufu, programu za redio, makala za gazeti, mabango, katuni, mipango ya masomo ya shule, kijitabu, ushiriki wa jamii kupitia nyimbo na maigizo na kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii.
Rasilimali hizi kwa wingi tayari zimeundwa na wengine ambao wako tayari kushiriki. Inaweza kuhitajika kufanya vifaa au shughuli mpya, hata hivyo vifaa vyote vinavyotumiwa vinapaswa kuambatana na utamaduni, lugha na aina ya unyonyaji katika jamii hiyo.
Hapa kuna baadhi ya maswali ambayo unaweza ukajiuliza na kuamua juu ya shughuli za ufahamu.
Ujumbe wako una lengo gani? Wasikilizaji wako ni akina nani? Ujumbe wako ni upi? Je, unataka mtu au kikundi kubadilisha mtazamo wao au vitendo vyao? Je, wewe na jamii yako mna rasilimali unazohitaji?
Unapolenga kikundi chako, chagua njia bora ya mawasiliano kwa vikundi maalum. Kwa mfano, vijana wengi hutumia mitandao ya kijamii na mawasiliano ya intaneti, hivyo kutumia haya kama majukwaa ya kuongeza ufahamu bora sana kwa kikundi hicho cha umri.
A variety of methods are useful including television advertisements and storylines in popular series, radio programmes, magazine articles, posters, cartoons, lesson plans for schools, pamphlets, community engagement through songs and drama and on social media platforms. Many of these resources have already been created by others who are willing to share. It may not be required to make new materials or activities, however all community.
Here are some questions you can ask yourself when deciding on awareness activities:
• What is the purpose of your message? • • Who is your audience? • • What is the message? • • How do you want the person or group to change their attitude or actions? • • Do you and your community have the resources you need? • that age group.
Katika sehemu nyingi duniani, baadhi ya watu, hasa wasichana na wanawake, hawajawahi kuwa na nafasi ya kujifunza kusoma na kuandika. Picha za kuigiza, vitabu na mabango, nyimbo na hadithi ni njia bora zaidi za kuwasiliana katika hali hizi kuliko maandishi yaliyoandikwa.
![](https://assets.isu.pub/document-structure/210930163847-e66eb62c788be1f39ea5dcc0cd7c3a4a/v1/000a3079b61a40fb3140cb919bf91916.jpeg?width=720&quality=85%2C50)
JE, WENGINE WAMEFANYA NINI?
Shughuli mbalimbali na vifaa zimetumika katika jeshi la wokovu katika siku za nyuma. Hapa Kuna mifano:
Kujenga uelewa katika matukio makubwa ya michezo au sherehe, tukijua kwamba idadi ya waathirika wanaosa rishwa huongezeka katika maeneo kama hayo mara nyingi kwa kutumiwa kingono na wa kikazi zengine zisizofaa. Malengo yake makuu yawe kwa vijana wa shule, vilabu vya shule, ushauri kwa vijana na venginevyo shuleni. Kampeni za kuhakikisha kuwa madereva wa teksi wameelezwa kinaga ubaga kinachokithiri kwa kuwa wanaweza kuwa hawana ufahamu kwamba wanaweza kuwa wanasa risha waathirika wa biashara ya binadamu. Kampeni ya mtandaoni ya kupinga maovu kazini na kutetea mfanya kazi. Kuwafahamisha wakulima na viongozi wa vijiji ili kuwajulisha ya kwamba wanaweza kuwa wanafanyisha watu kazi ambao wanalazimishwa bila ya idhini yao. Kuwaelimisha katika vyuo vikuu kuhusu watu ambao wangekuja na habari ya kuwapotosha na kuwahamisha nchi ya nje kufanya kazi huko Kuelimisha watu ishara ya utumwa wa kisasa na biashara ya binadamu kwa wauguzi, polisi ama kwa wataalam ambao wanaweza kutana na wahasiriwa bila ya kuwatambua.
Masomo ya Bibilia Bible Study
Jonah – Jonah 3:1-10; 4:1-11Yona – Yona 3:1-10 ; 4:1-11
Usambazaji ufahamu una husu kuchukua ujumbe kwa jamii. Kitabu cha Yona Jonah relates the story of the prophet Jonah who is called by God to go to Nineveh kinaongelea kuhusu hadithi yake Nabii Yona aliyekuwa ameitwa na Mungu (a great Assyrian city) and take a message; to prophesy disaster because of the kuenda Ninawi (mji mkuu) na kupeleka ujumbe; Kutoa unabii kwa sababu ya excessive evilness of the people in the city. So, he rushes down to Joppa and takes passage in a ship that will carry him in the opposite direction, thinking to escape maovu ya watu na yaliyokithiri mji wa Ninawi (Nineveh). Lakini Yona akaondoka akakimbilia Tarshishi, ili apate kujiepusha na uso wa Bwana, akaona merikebu inayokwenda Tarshishi basi, akatoa nauli akapanda merikebuni aende God. pamoja nao Tarshishi ajiepushe na uso wa Bwana. A great storm took place and the men decided Jonah was to blame, so they threw Dhoruba kubwa ilifanyika na watu waliamua Yona alikuwa na lawama, kwa hivyo him overboard. Walimtupa baharini. Yona anusurika kwa kutupwa baharini, na kumezwa na samaki mkubwa na makazi yake yakawa ni katika tumbo la samaki kwa siku tatu. Akiwa kwa samaki, Yona aliomba bila kusita, na kumshukuru Mungu kwa usalama wake. Baada ya Jonah back onto dry land unscathed. siku tatu samaki ilimtapika Yona kwa nchi kavu bila alama yeyote. Ilimlazimu Yona kufanya jinsi alivyoagizwa na Mungu: Alisa ri Ninawi, akiwa adui wa Wayahudi kutangaza hukumu ya Mungu. Waninawi walimuamini Yona, mara moja na Mungu akawasamehe. Kitabu hiki kinaishia na Yona akiwarudisha brooding over Nineveh, angry because God did not destroy the Ninevites.Waninawi kwa Mungu.
Have we ‘run away’ from what Je, sisi ' tumekimbilia mbali ' can seem like the demanding kutokana na jambo linaloonekana responsibilities? kama wajibu unao tudai?
![](https://assets.isu.pub/document-structure/210930163847-e66eb62c788be1f39ea5dcc0cd7c3a4a/v1/6ceff398572ab9b3dfd2a3a8a2dd2992.jpeg?width=720&quality=85%2C50)
Consider the following questions: Fikiria kuhusu maswala haya:
• Jonah was called by God to be a prophet to the people of Nineveh. Why was • he sent there? • Do you think the people of Nineveh had any knowledge of God or of there • wrongdoing? • Is there any similarity between raising the awareness of the people of Nineveh • • Jonah initially ran away and tried to hide from what God had told him to do. •
Have we ‘run away’ from what can seem like the demanding responsibilities? • Are there any principles that we can learn about God’s provision for those
•
raising awareness? • What was Jonah’s response to the people of Nineveh repenting? Are there any circumstances where we might respond badly to a result of our • awareness-raising?
Yona aliitwa na Mungu kuwa nabii wa watu wa Ninawi. Kwa nini alitumwa huko? Je, unadhani watu wa Ninawi walikuwa na maarifa yoyote kwa Mungu au kwa makosa yao. Je, kuna mfanano wowote kati ya kuinua uelewa(awareness) wa watu wa Ninawi na kukuza uelewa (awareness) kuhusu biashara ya binadamu. Yona mwanzoni alikimbia na kujaribu kuji cha kutokana na yale Mungu alimwambia afanye. Je, sisi ' tumekimbilia mbali ' kutokana na jambo linaloonekana kama wajibu unao tudai? Je, kuna kanuni zozote tunazoweza kujifunza kuhusu utoaji wa Mungu kwa wale ambao hawana ujuzi wa biashara ya binadamu na wale walioitwa kutenda katika kuongeza uelewa? Je, watu wa Ninawi walijibu nini Yona kuhusu swala la kutubu? Je, kuna hali ambapo tunaweza kujibu vibaya kutokana na kupasha habari hii?
Activities and ResourcesShughuli na Rasilimali
ACTIVITY 1SHUGHULI 1
Jibu maswali yafuatayo unapoakisi hadithi ya Neymar ya kukuza uelewa(awareness): • How does the story illustrate the process needed to raise awareness? Jinsi gani hadithi hii inaonyesha mchakato unaohitajika ili kuongeza uelewa? • What do you need to take into account when running a campaign to raise Ni nini unahitaji kuzingatia wakati wa kuendesha kampeni ya kukuza uelewa? awareness? Ni ujumbe upi uliokuwemo kwa taarifa na kazi ambazo walitaka kuwasiliana? • What was the informative and active message that they wanted to communicate? Pale mkahawani Canival, palikuwa mahali pazuri pa kufanyia Kampeni? Toa • Was a carnival the right place to have a campaign? Give reasons for your answer.sababu za majibu yako? • What do you think about a youth group doing something like this? Una kiri nini kuhusu kikundi cha vijana wanao jitolea kufanya jambo kama hili? • Can you think of other methods they could have used? Unaweza ku kiria njia nyingine ambazo wangeweza kutumia? Andika juu ya karatasi maandishi makubwa ' nani ', ' nini ', ' lini ', ' wapi ', na ' jinsi '. Baada ya majadiliano, chini ya kila kichwa, jibu maswali haya kwa ajili ya jamii yako. Ni nani aliye hatarini Zaidi kwa utumwa wa kisasa na biashara ya binadamu? Je, wasa rishaji hupeana nini kwa wale wanaowalenga? Je, ni wakati upi ambao magendo hufanyika kwa kuwadanya wale wanaowalenga? Ni wapi utumwa wa kisasa na biashara ya binadamu unaweza fanyika? Je, ni vipi mtu hudanganywa virahisi?
ACTIVITY 2SHUGHULI 2
Write across the top of a large sheet of paper ‘Who’, ‘What’, ‘When’, ‘Where’ and ‘How’.
• • • •
• How do the most vulnerable get tricked?
![](https://assets.isu.pub/document-structure/210930163847-e66eb62c788be1f39ea5dcc0cd7c3a4a/v1/0ad9d784c712ed503f214b48b1028312.jpeg?width=720&quality=85%2C50)
ACTIVITY 3SHUGHULI 3
Fikiria kwa ubunifu katika kikundi chako kuhusu njia ambazo unaweza kuongeza ufahamu katika kundi ma jamii yako kuhusu hatari ya biashara ya usa rishaji wa watu.
Mfano unaweza kujumuisha kutumia ngoma, nyimbo, mchoro, mabango na attempt. Make plans to put these ideas into action. Vipeperushi vya jaribio la kuvunja rekodi. Fanya mipango ya kuweka mawazo haya katika vitendo.
Panga huduma ya ibada kwa kutumia mada ya utumwa wa kisasa na biashara ya binadamu. Muulize A sa wako kama hii inaweza kuwekwa kwenye kumbukumbu kikaoni.
Tafuta, kwa kutumia tovuti, ni shughuli gani za kukuza uelewa zinaandaliwa duniani kote na kama kuna rasilimali zozote zinazofaa kwa jamii yako
ACTIVITY 4SHUGHULI 4
ACTIVITY 5SHUGHULI 5
Find out, using the Internet, what awareness-raising activities are taking place around the world and whether there are any suitable resources for your community.
Who What How Where When?Nani Nini Jinsi Wapi Lini?
![](https://assets.isu.pub/document-structure/210930163847-e66eb62c788be1f39ea5dcc0cd7c3a4a/v1/0ad9d784c712ed503f214b48b1028312.jpeg?width=720&quality=85%2C50)