11 minute read
Making a Plan
MAKING A PLAN KUFANYA MPANGO
‘Something should be done and 'Jambo lazima litendeke na ni someone has to do it.’ – William Boothlazima mtu atende.’ – William Booth
I knew that the corps should and Nilijua kwamba kikao kinapaswa could respond to the challenge na kinaweza kushughulikia changamoto ambazo biashara hii ilileta kwenye eneo hili
Esther’s StoryHadithi yake Esta
I am a lieutenant in a corps close to the border of my beautiful country. Mimi ni Luteni katika kikao kilichoko karibu na mpaka wa nchi yangu nzuri. Following conversations with members of my community, I soon learnt that the
Kufuatia mazungumzo na wanachama wa jamii yangu hivi karibuni, nimejifunza kwamba pale ambapo kikao kiko, ni eneo la uvuvi lenye uchumi wa chini. Hii ina maana kwamba watu wako katika hatari ya kuhamishwaa na kutumbukia katika utumwa. Kutoka kwa uteuzi uliopita, nilikuwa Nimejifunza kuhusu biashara hii ya international charity. I knew that the corps should and could respond to the utumwa. Nilijua kuwa kikao hicho kinapaswa na kingeweza kujibu changamoto ambayo biashara hiyo ilileta kwenye eneo hilo. raise awareness through a programme for children from all the churches in the area. I met with leaders from the other churches and each church agreed to support the Jambo la kwanza nilifanya ilikuwa kuanza kuinua uelewa kupitia mpango wa watoto programme. About 30 children began attending sessions where information was kutoka makanisa yote katika eneo hilo. Nilikutana na viongozi kutoka makanisa mengine na kila Kanisa ilikubali kusaidiana. Kadri ya watoto thelathini walianza kuhudhuria vikao ambako taarifa ilitolewa kwa biashara ya binadamu. posters, magazines and paper chains so that they can go out and raise awareness Tunajaribu kutumia video nyingi ili kuwavutia watoto. Watatengeza mabango yao wenyewe, magazeti na vijikaratasi ili waweze kwenda nje na kupasha ujumbe kwa wengine. Watoto wadogo pia hutengeza sampli zao kwa balloons. Hatuna rasilimali don’t have many resources so we try and use whatever we have – whatever helps nyingi kwa hivyo tunajaribu kutumia chochote ambacho kinapatikana na people learn so that they can be their own preventers. We also want them to take kinachosaidia watu kujifunza ili wakaweze kujikinga wao wenyewe. Pia tunataka this home to their parents.waende nazo nyumbani kwa wazazi wao. Following the success of the sessions with the children, my husband and I Kufuatia mafanikio ya mikutano na watoto, mimi na mume wangu tulianza mikutano kwa kuwahusisha wazazi pia. Wazazi wengi waliamini kwamba biashara haikuwa suala ambalo liliwaathiri, hata hivyo mazungumzo ya mara kwa mara wasn’t the case.ilithibitisha kuwa hili jambo lilikuwa la kutiliwa mkazo.
A group was formed and we decided that another thing we could do was to go out Kikundi kilianzishwa na tuliamua kwamba kitu kingine tunaweza kufanya ni kwenda into the community with the message. Women took the initiative to go out and nje katika jamii na ujumbe. Wanawake walichukua hatua ya kwenda nje na kupika kwa ajili ya jamii, na maneno ' kuacha biashara ya binadamu ' yaliandikwa kwa was a good conversation starter when people came to get food and then they talked aprons zao. Ilikuwa mwanzo mzuri wa mazungumzo wakati watu walipokuja kupata about what was on the apron. chakula na kisha walizungumza kuhusu kile kilichokuwa kwenye apron.
The Salvation Army Context Mazingira ya Jeshi la Wokovu
Utumwa wa kisasa wa kimataifa na mkakati wa kukabiliana na biashara ya suggests that as a minimum every Salvationist, corps and territory can play a role in binadamu unaonyesha kwamba kila Askari , kikao, na wilaya inaweza kutimiza wajibu katika vita dhidi ya uhalifu huu kwa njia ya maombi na kupasha ujumbe. Ikiwa unasoma huu ujumbe inaashiria kuwa uko tayari kuwajibika. Kabla ya kuanza kufanya mpango wa jambo la kufanya, yafaa uchukue muda wa kusoma kitabu hiki chote na kukamilisha shughuli zilizopangiliwa.
Kile Tunachohitaji KujuaWhat we Need to Know
Before you start making a plan of what you will do, it is worth taking the time to read through the rest of this resource and complete the activities if you haven’t already.
DECIDE ON YOUR PURPOSE AMUA JUU YA MADHUMUNI YAKO
Ni muhimu kuwa wazi kuhusu kile unachofanya na kwa nini. Hii itasaidia explain to others as well as leadership, who ideally will support you. kuelezea kwa wengine pamoja na uongozi, ambao kwa kawaida watakusaidia. • Kwa nini unataka kujihusisha na masomo ya utumwa wa kisasa na • Is there a story behind why you want to respond?biashara ya binadamu? Je, kuna hadithi ya awali inayokufanya uwajibike na jambo hili?
•
•
• What will happen if you don’t do anything? •
Ni mabadiliko gani unataka kuona baada ya kuchukua hatua? Nini kitatokea ikiwa hutafanya kitu chochote? Huwezi ukafanya mambo yote kwa wakati mmoja. Ni vyema kuhakikisha ya kwamba una watu, raslimali, na ujuzi wa kutosha. Kisha unaweza ukachunguza na kuthibiti ikwa una cha kuongezea kwa vile vitu ambavyo vinatendeka hapo kikaoni au kwa kituo, hakikisha ya kwamba ina husika na utumwa wa kisasa. Utahitaji kikundi cha watu kukusaidia na ni muhimu kuwahusisha kwa kila jambo.
Ni nani atakaye wajibika? Ni vipi au ni wakati upi ambao hawa watu wanafaa kuajibika.
Kwenye majibu yako, unawezaje kuhakikisha ya kwamba hawa watu wako salama? Ni nani anafaa kulindwa? Hakikisha ya kwamba kila mtu amehusishwa.
Utafahamishaje kile ulichokisoma kwa wahusika? Unahitajika kufanya nini ndiposa ukapate matokeo kamili? Kila mtu anahitajika kufanya nini? Utaanza lini aU utamaliza lini hiyo shughuli? Ni changamoto zipi ambazo unaweza kumbana nazo na una mpango gani kuepuka hizo changamoto? Kwa mfano, huo mpango uliowekwa, utaweza endelea ikiwa mwanzilishi hatakuwepo kwa siku za baadaye? Ni rasilmali gani na fedha kiasi gani unahitaji na utazitoa wapi? Jamii ina uwezo wa kusaidia? Kijiji kinaweza husishwa vipi ili kucukua jukumu na kukubali huo mradi?
BUILDING ON WHAT YOU HAVEKUJIJENGA KWA KUTUMIA ULICHO NACHO
You cannot do everything, so it is good to see what resources, people and skills are is already happening in your corps or centre, this time as a response to modern important that you are able to work with others. • Who is responding with me? How and what can each of these • people contribute? • In your response, how can you keep people safe? Who needs protection? You • should consider everyone who is involved. • How will you share what you have learnt with all of those involved?
•
DECIDING WHAT TO DO AMUA LA KUFANYA
Having a clear plan will help everyone to know what they are doing and when. Ukiwa na mpangilio mwema itakusaidia kujua cha kufanya na kwa wakati mgani. • What do you need to do to achieve the outcome you want to see? • • Who needs to do what? •
• •
• What are the key risks, barriers or challenges to your actions and how could • you avoid these? For example, how will the plan continue if the lead person is no longer available? • What resources, including budget, are needed and where will these come • from? What resources can the community provide? • How can the wider community also have ownership of what is happening? •
Itakuwa muhimu kutengeza chati kama ifuatayo ukinukuu haya mambo. It may be helpful to make a chart of your response with the following columns:
NINI?WHAT? LINI? WHEN? NANI?WHO? VIPI? HOW? HATARIANY RISKS BAJETIBUDGET
Shughuli za kushiriki Tarehe ya kuanza na matokeo Mhusika mkuu Utajua vipi umefaulu – na Jinsi ya kuepukana nao
Activities Ni nani anayetoa enaged in rasilmali na kile kinachohitajika
Start date and achieved date
Who is responsible? How will you know you have achieved this? – and how to avoid them Who is providing the resources and what is required?
1
2
3 1
2
3
UZINGATIAJI MAALUMSPECIAL CONSIDERATIONS KUTAFAKARI JUU YA KAZI YAKO
Are there any sensitive issues you need to consider? For example, are children going Je, kuna masuala nyeti unayohitaji ku kiria? Kwa mfano, ni watoto watakaoshiriki to be involved and, if so, is the Territorial Child Protection Policy being adhered to? na, ikiwa ni hivyo, ni sera ya ulinzi wa Watoto ambayou utazingatiwa?
Are there any security and safety issues you need to consider? For example, not leaving one member alone during an awareness-sraising activity. kuna masuala yoyote ya usalama unayohitaji kuzingatia? kwa mfano, kutomwacha mwanachama mmoja peke yake wakati wa kampeni hizi.
As you begin to pray in groups or raise awareness about modern slavery and munapoendelea kuomba kwa vikundi ili kupasha habari kuhusu hii habari, this issue. It is useful to conclude by announcing to those gathered that there is a kumbuka ya kwamba kuna uwezekano ya kwamba kwa kikundi ulicho nacho, anaweza kuwa ameadhirika kwa njia moja au nyengine. Ni muhimu kuwa kila any of the issues raised. Ensure that you know who that person is before you start kikundi kiwe na kiongozi. Hakikisha huyo kiongozi ana uwezo wa kusaidiana and that they know who they should refer the person to if appropriate.wakati wowote.
It is important to know of an organisation that you can refer survivors to for the trained support they will probably require. Ni muhimu pia unapojipanga kujiunga na shirika lolote lina uwezo wa kupeana mafunzo kikamilifu
REFLECTING ON YOUR WORK
Wengine wanaweza kujifunza kutoka kwako, kwa hivyo nakili yale ambayo umejifunza unapoendelea ili wengine wakaweze kuonyeshwa. Baada ya kila shughuli au tukio, tafakari: • Je, tunafanya kile ambacho tuliahidi kufanya? • Nini kilitendeka vizuri na inaweza ikajirudia?
Others can learn from you, so write down the lessons that you are learning as you • Are we doing what we said we would do? • What went well and could it be repeated or developed?
• What did not work and needs to be changed or stopped? • Nini ambacho hakikufanyika na inahitaji mabadilisho au kusimamishwa? • What could we do next?Tunaweza kufanya nini baadaye.•
MAINTAINING PASSION AND SPIRIT KUDUMISHA HAMU NA ROHO
Mara nyingi mabadiliko huchukua kiasi kikubwa cha muda na tunahitaji kuendelea na kuweka motisha katika juhudi zetu.
Je, umewahi kuangalia maisha ya malkia Esta na ujasiri wake jinsi ilivyo tabiriwa kwenye Biblia? Aliinuliwa juu kama shujaa – mwanamke ambaye alihatarisha Maisha yake, alikiuka utamaduni na kunena wakati alipaswa kuwa kimya, lakini alifanya hivyo kwa hekima na mipango, katika wakati muhimu kwa watu wake.
Alikumbana na changamoto kutoka kwa binamuye modeca “kwa maana wewe ukinyamaza kabisa wakati huu, ndipo kutakapowatokea Wayahudi msaada na wokovu kwa njia nyingine; ila wewe utaangamia pamoja na mlango wote wa baba yako; walakini ni nani ajuaye kama wewe hukuujia ufalme kwa ajili ya wakati kama huo?” (Esta 4:14)
Taifa lote lilishukuru kwa jinsi Esta alivyomjibu Mordekai. Maisha yao yalikombolewa. Ni maisha mangapi yanaweza kombolewa kutokana na utamaduni ambao tunaishi katika siku hizi wakati tunapochukua hatua ili kushiriki katika vita dhidi ya utumwa wa kisasa na biashara ya binadamu?
• Where is the passion for this response coming from? • Je, hamu ya majibu haya yanatoka wapi? • How can the passion for your response be sustained through faith and Ni jinsi gani hamu ya majibu yako yanaweza kuwa endelevu kwa njia ya• worship? imani na ibada • How can you ensure that you and others involved are cared for, Unawezaje kuhakikisha kwamba wewe na wengine wanaohusika wanajali,• including self-care? hii ni pamoja na kujitunza.
Bible StudyKujifunza Bibilia
Esther – Esther 4:12-17Esta – Esta 4:12-17
Have you ever looked into the life of Queen Esther and her bravery as told in the Bible? Held up as a heroine – a woman who took risks, spoke up when culture dictated that she should remain silent, but did so with wisdom and planning, at a crucial time for her people. She was challenged by her cousin, Mordecai: ‘“For if you remain silent at this time, relief and deliverance for the Jews will arise from another place, but you and your father’s family will perish. And who knows but that you have come to your royal position for such a time as this?”’ (Esther 4:14). lives were spared. How many lives can be spared in the culture we live in today
Shughuli na RasilimaliActivities and Resources
ACTIVITY 1SHUGHULI 1
Jibu maswali yafuatayo unapoakisi juu ya hadithi ya Luteni Esta na majibu yake kwa utumwa wa kisasa na biashara ya binadamu. • How and why did Esther plan the awareness programme for children? Ni vipi au ni kwa nini Esta alipanga mpango kama huu kwa ajili ya Watoto? • What changes do you think she wanted to see? Ni mabadiliko gani ambayo una kiri angependelea kuyaona? • What activities did she use?Shuguli gani zilizotumika? • How did the activities use available resources? Katika hizo shughuli ni rasilmali za aina gani zilipatikana kwa urahisi? • Were others involved? Je kuna wahusika wengine? • How were the activities enhanced?Je hizi shughuli ziliboreshwa? Duniani kote na katika ngazi zote, jeshi la wokovu hutumia uwezeshaji wa imani kama mchakato wa kuendeleza mpango wa matendo. FBF ina tovuti ambayo inaweza kupatikana kupitia njia hii:
RASILIMALI RESOURCE
Facilitation (FBF) as a process to develop a plan of action. FBF has a website that can be accessed through this weblink: If you do not have access to the Internet, there is an FBF booklet which can be provided to you by request to your leadership.
Ikiwa huna uwezo wa ku kia intaneti, kuna Kijitabu cha FBF ambacho kinaweza kikapatikana kupitia kwa viongozi wako.