1 minute read
ON THE WAY TO CREATE AN ICONIC BRAND
Hamasa za upambanaji wa mama, umenifikisha hapa leo
Naitwa Bertha Joseph Komba,nina miaka 29, nimeajiriwa na nimejiajiri pia kama mjasiriamali. Nimezaliwa kwenye familia ya kawaida, mama yangu ambaye ni kiziwi aliye jaliwa ujasiri katika kupambana na maisha pasipo kutegemea mume. Aliweza kunilea vema, siku wahi kulelewa na baba, nimekuwa nikiwa na mama huku akihangaika kufanya biashara ndogondogo huku kazi yake kubwa ikiwa ushonaji, ndio iliyo mwezesha kuni lea na kunitunza vema mpaka nilipo fika darasa la saba. Baada ya kuhitimu darasa la saba mjomba wangu alinichukua na kunisomesha sekondari,chuo na hatimaye nimefanikiwa kufika hapa nilipo. Nadhani zile jitihada alizokuwa akifanya mama kwaajili yangu nikiwa mdogo, ndizo zimenipa hamasa kubwa ya kuwa mpambanaji na mtafutaji. Nilianza ujasiriamali nikiwa chuoni. Nilikuwa nauza perfume kutoka Zanzibar kwa wanachuo wenzangu. Baadae nikawa naagiza ubuyu wa Zanzibar, naupaki na kuweka “label” nakuuza kwa wateja wa rejareja na baadae nikawa na sambaza katika supermarket. Taratibu nika ingia katika biashara ya nguo za kike, kasha nikaanz a kuhudhuria vikundi vya ujasilriamali na hapo ndipo nikavutiwa na sanaa ya kazi za mikono yaani “handcraft design”. Nikahudhuria “short course” na mpaka sasa ninafanya kazi zangu mwenyewe. Ninatengeneza mikoba ya kike katika ukubwa tofauti tofauti na kuuza. Pia mimi nimeajiliwa katika kampuni ya bima hivyo huwa najaribu kupanga muda wangu ili niweze kufanya mabo yote kwa wakati sahihi.
Advertisement
Naitwa Bertha Joseph Komba,nina miaka 29, nimeajiriwa na nimejiajiri pia kama mjasiriamali. Nimezaliwa kwenye familia ya kawaida, mama yangu ambaye ni kiziwi aliye jaliwa ujasiri katika kupambana na maisha pasipo kutegemea mume. Aliweza kunilea vema, siku wahi kulelewa na baba, nimekuwa nikiwa na mama huku akihangaika kufanya biashara ndogondogo huku kazi yake kubwa ikiwa ushonaji, ndio iliyo mwezesha kuni lea na kunitunza vema mpaka nilipo fika darasa la saba. Baada ya kuhitimu darasa la saba mjomba wangu alinichukua na kunisomesha sekondari,chuo na hatimaye nimefanikiwa kufika hapa nilipo. Nadhani zile jitihada alizokuwa akifanya mama kwaajili yangu nikiwa mdogo, ndizo zimenipa hamasa kubwa ya kuwa mpambanaji na mtafutaji. Nilianza ujasiriamali nikiwa chuoni.
Nilikuwa nauza perfume kutoka Zanzibar kwa wanachuo wenzangu. Baadae nikawa naagiza ubuyu wa Zanzibar, naupaki na kuweka “label” nakuuza kwa wateja wa rejareja na baadae nikawa na sambaza katika supermarket. Taratibu nika ingia katika biashara ya nguo za kike, kasha nikaanz a kuhudhuria vikundi vya ujasilriamali na hapo ndipo nikavutiwa na sanaa ya kazi za mikono yaani “handcraft design”. Nikahudhuria “short course” na mpaka sasa ninafanya kazi zangu mwenyewe. Ninatengeneza mikoba ya kike katika ukubwa tofauti tofauti na kuuza.