Shujaaz Chapter 152

Page 1

2

ben, Unajua nimetumwa kwa shop! Mum akijua niko hapa...

Hihihi! Yah… but ona giza inaingia.

ah-ah, a ... Hatajua na hatutak sana! Ni kama last time… ilikuwa… poa.

Relax A ! Giza bado!

kok! kok! kok!

Kuna mtu anakuja! Acha niende kabla tupatikane!

3

b daye...

A , leo tena

umechelewa!

Kwani duka ilihamishwa?

Hapana mum, nilikuwa-

Ulikuwa na Ben si ndio!?

Nimesikia vile wewe na Ben mnatembea kwa mt kama bibi na bwana!

Nini?

AI MUM! HAPANA! Hao watu wanakwambia uongo!

We’ sema hapana halafu siku nikuone na yeye!

Hakuna... ni tumbo tu. Haiya basi kula ulale!

4
Karibu mum a-find out j ya Ben!
! Wakaeza jua watak a!
si uongo...
ya next... 5
W
Walai
siku

A , hio ni nini?

Huh!?

I think umepata p s!

Haiy a!

P s ndio nini?

Periods!

Wah! Umeanza periods, unajua hiyo ni sign unaeza kushika ba !?

kidogo... 6

Uuw i! Na juzi tu tulinin , naeza kuwa na ba ?

Mi niliskia damu ya periods ni mtoto anajipanga ku-grow! Kwanza kama mlinini juzi tu!

Aki mum ataniua!

A , si kweli. Mi’ sister wangu anapata periods every month na hana ba !

Mimi nitauliwa aki! Isikue ba ...

Mi niliambiwa ivo na mtu mkubwa shule! Na kama ni ba sasa utafanya?

Sasa izi vitu mnajulia wapi? Ama tukaulize Maria Kim?

S h! Unataka mt nzima ijue uko na ba . Tulia kwanza tuone kama ni ba ama sio.

Wewe unaeza nishow aje kwa h situation? Nishow kwa 20308 ukianza na word #STAIN. Ku-text ni FR !

7
8
10
11
12
13
14
15
16
17
19

Cheki vile Boyie ananichokoza...

HAH !! uko sure sio wewe...

ah w pia acha hehe.. ebu tuone co ents za was ... ...a kuna ms kwa co ents naona tunaweza piga biz ya kuku, naona anaitisha

Babe, cheki... kuna ms ananishow naeza su ly kuku by ngware...

Wow babe... si nilikushow itajipa!

Urgh... anasema ninahitaji busine permit na permit ya transport na sina!

Sasa uta do?

Babe, ata ndio uyo ananipigia...

20

Niaje... Hizo

requirement sina kwa sasa... Sidhani naeza zipata by kesho...

...unaeza nisaidia aje? Ok... sawa

asanti sana...

haina shida

zipange poa, kama ziko chwani zitatoshea tu haina wa kaka

boyie Leo nalala na doh... nitakulipa deni yako leo leo!

Yes! Amesema naeza tumia documents zake nisi wo y hapo sawa

Ndugu! Umefanikiwa!

h ! caro umeamua kuzibeba na crate yani

Utakua umeniokolea sana ndug haha! sasa tutazibeba mbili mbili mpaka s ngapi? acha azipeleke teketeke tupate doh bana

Ndio uyu anakam...h town imej mafala y ni!

Hahaha

Babe usisahau pia doh ya salon klap!

E niko nazo hamsini

21
...badaye
Tutaenda tuzipime tujue uzito wake.. ...ndio tukulipe kulingana na kilo Mteja ndiye atapimia kwa hoteli yake Mnapimia wapi? tehehe! Usiwe na wasiwasi. customer ni tajiri... Tutakuekea kwa simu kitu mzuri ngoja tu! kwani hakuwa anarudi leo bana ..aih!? lakini watakuja tu... ...z , wamekawia sana ...sasa hizi ni gani? nampigia Uyu ms amezima simu! Siamini wameni-con! Sasa nitatoa wapi doh ya kumlipa Boyie... Na biz yangu ndio hiyo im nda! tehehe! S...s....a..w.a scratch! scratch! 47, 48, 49... 50... b s! ...badaye KAMA YUT, NI CHA ENGE KAMA GANI UNAPITIA UKI-TRY KUJIJENGA? NISHOW KWA 20308 UKIANZA NA WORD #K K . kutext ni fr 22
23

Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.