Shujaaz Chapta 156

Page 1


Niaje? Experience yako ukiendea services kwa clinic imekua aje? Ni-show kwa 20308 ukianza na #PIMWA. Usisahau, ku-text ni free!

si mwisho wa dunia! Kila kitu kita kuwa sawa. Wewe tu, usiwa-stalk Erico na dame yake yule!

Twende kwetu tuka-chill!

Nasema tu!

Eish! Nakuaga mrembo ivi? Malkia… Niaje ume-concentrate ivo kwa simu?

Jipendo, unaona kweli nina time ya kushinda nime-wasorora mimi?

Aww si ndio?!

Hata wewe unajua I’m so pretty!

Huh!

Pretty…

Hi... nmeona una-date Erico?? Jus knw, ni msee toxic. Watch out, mwache kabla akuumize!

saa hiyo tu...

Sasa huyu ni nani ananiambia ivi?

Usijali babe. Niachie hii!

Hakuna… natafuta… kitu…

Najua hiyo handwriting!

Malkia! Huyo ni nani unamtext!?

Rudisha simu yangu!!

Mbona unamsorora… na unatumia fake name!?

Huezi elewa. Nili-have ku-make sure Erico…Argh! Nirudishie simu!

Erico! Umekam!

Ni wewe unatuma hizo text?

Ulijuaje-

Malkia, vile nilisema last time, hatuezi kua pamoja na hata wewe unajua!

Najua vile una-feel, na siku moja utaelewa, lakini naomba uache kumsumbua dame wangu!

ati “dame wangu…”

Hata ndio huyu Erico wako!

Erico amekam?! I knew atarudi eventually!

Lakini Erico, si tu-take tu time tuone vile itaenda?

No Malkia!

Baby girl, uta-have kuacha kujiweka kwa situations kama hizi… Twende kwa ROO M.

Usini-judge Jipendo!

Hata siku-judge!

Nasema tu, I thought tuli-agree hautam-stalk!

Ugh, kweli nimejiaibisha kiasi hicho? Sidhani Erico ataniongelesha tena… Nafeel worthless!

Ku-regret ni normal but huwezi-change kenye ime-happen! Unafaa ku-move on, ujipende more, na ujue ukona vitu vingi unaweza focus nazo!

Jipesh what if Erico ananichukia sasa?

Nita-move on aje sasa? What if sitapata mtu mwingine?

Hawa ma-boy hawaishi! cheki ... kuna kitu nilisahau kukuonyesha!

Achana na Erico kwanza… Kumbuka vile ulikuwa unaperform on stage? Ndio hii chance ingine!

The Queen herself! Watu shule wanafaa wakumbuke uko na talents kali!

Dream yangu ni kukua msanii mkubwa nitoe nyimbo zitaguza watu. Asanti Jipesh kwa kunikumbusha.

Kidogo nisahau mimi ni nani...

Mimi ni Malkia - Queen Malkia! Nitawakumbusha tena! Yesss! That’s my girl! unaeza ata end up kwa talent show ya Shujaaz TV!

Niaje? Ni vitu gani hua una-do kuji-show unajipenda?

Text maoni yako kwa 20308 ukianza na the word #JIPENDE. Ku-text ni FREE!

kwa roo M...

FOCUS!

Home Hio asubuHi

Niaje? Ni kitu gani muhimu sana ushaipata after kujituma? Ni-show kwa 20308 ukianza na #JITUME. Ku-text ni free!

SHUJAAZ™ IS PUBLISHED BY:

ShujaazInc Ltd. P.O Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel 20308 [sms only] Web: www.shujaazinc.com.

Printed by: Chrome Partners P.O Box 44466-00100 Nairobi GPO

Ar t: Joe Barasa | Dan Muli | Maurice Odede | Mmbasu Mbwabi Writers: Kevin Mbugua | Neema Mpenze

ShujaazInc © 2024 All rights reserved. No par t of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without permission of the publishers. Although every effor t has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publisher be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

Niaje? Ni risk kama gani unaeza patana nazo ukisaka location ya biz? Nichapie kwa 20308 ukianza na the word #DUKA. Ku-text ni FREE!

Big Up Corner

Niaje mtu wangu?

Nilibonga na huyu empress hapa akani-inspire design ya noma.

Jina: Evelyn Musyoki AKA MC Leen

Jina: Evelyn Musyoki AKA MC Leen

Hood: Kitengela

Hood: Kitengela

Hustle: Ku-MC

Hustle: Ku-MC

Social Media: Instagram @mc_leen_

Social Media: Instagram @mc_leen_

Tuambie Leen, unakuaje Mc na wewe ni m-shy?

Yoh! In person niko very shy but sijui confidence hutoka wapi nikishika mic!

Yoh! In person niko very shy but sijui confidence hutoka wapi nikishika mic!

Experience yako imekua aje tangu uanze?

Napenda that nalipwa kubamba wasee! Gig ya kwanza ilikua down juu nilishinda nikirudia the same joke but nime-grow!

Napenda that nalipwa kubamba wasee! Gig ya kwanza ilikua down juu nilishinda nikirudia the same joke but nime-grow!

Dreams za itafanya useme umeweza?

future ni gani na nini

Kukua the biggest MC in Africa na God akitaka, the world! Napenda ku-learn na ku-take opportunities; najua I got this dream!

Kukua the biggest MC in Africa na God akitaka, the world! Napenda ku-learn na ku-take opportunities; najua I got this dream!

Umepitia challenges gani?

Mi ni dame na kuna watu hawani-take serious! Pia kukua underpaid, na kuwa shy!

Mi ni dame na kuna watu hawani-take serious! Pia kukua underpaid, na kuwa shy!

Girl power!!

Ume-learn nini kwa ku-manage doh yako?

After madeni mob na kukosa rent, naji-separate na biz yangu plus na-save!

After madeni mob na kukosa rent, naji-separate na biz yangu plus na-save!

Job na love life zinaenda aje?

Kuna relationship haiku-work juu ya kukosa trust. Kuna mtu ashai-text contacts eti, “stay away from this lady!”

Kuna relationship haiku-work juu ya kukosa trust. Kuna mtu ashai-text contacts eti, “stay away from this lady!”

Eiiish! Pea mavijanaa advice tukimaliza?

Ukitaka kitu go for it! Mean people wanachukia confidence yako but wasikuweke down. Hakuna mtu anaeza kuja kuni-show madharau juu najua mi ni nani!

Ukitaka kitu go for it! Mean people wanachukia confidence yako but wasikuweke down. Hakuna mtu anaeza kuja kuni-show madharau juu najua mi ni nani!

Wewe ni empress na pia unajiaminia kama Leen? Ni-show story yako kwa 20308 ukianza na THE WORD #IGotThis. Ku-text ni FREE!

Manze, empress Leen amejitambua na anajituma vile inafaa. Anasema #IGotThis na sisi tunamwambia Big Up - wewe ni Shujaa!

Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.