Ndani ya hii edition; Maria Kim ako na choice ya ku-make kati ya sponsor ama JK. Charlie Pele anajiaibisha mbele ya shule nzima! Malkia anajiuliza kama ata-have kuacha dreams zake. Boyie anapitia mashida mob za life na mpenzi wake Deepti anampea heart break ya ki-maajabu!