







































NI KITU KAMA GANI HUEZI FANYA JUU YA GENDER YAKO? TUCHAPIANE KWA TEXT 20308

AMA WHATSAPP KWA 0718921170 UKIANZA NA #TUKOSAME

ATY MBWA ZENU N LAZY HADI ZA JIRANI ZIKIBWEKA ZENU ZINAJIBU XAME
CHARLES OKINDA
UNA KISOGO KUBWA
HADI ID CARD YAKO IMEFURA NYUMA.
CEE_MAMA'KE TOTO
ATY SIMU YAKO NI MZEE ADI UNAISHIKILIANGA ISIMWAGE CREDO
SHIKU SHIX
ATI ULIISHI WESTERN SANA ADI UMECHORWA TATOO YA KISIAGI.
CAEXIR ANDERSON
WE NYINYI MMSOTA HADI WEZI WAKIKAM KUIBA KWNU WANATOKA N EXPERIENCE 2
KARWIBO MPEDA AMANI
ATI WE NI MCHOYO ADI UKITAKA KUMEZA MATE UNAJIFICHA NDIO USIOMBWE.
ELVIS COMPE
KADOGO MKUBWA WEE NI MLAFI HADI UKIKULA MENO ZA NYUMA ZINAOVERTAKE ZA MBELE.
ATI BUDAKO NI FALA... ALIENDA KUKUNUNULIA
BOOK YA MAO YA FM 4
KUIKOSA AKASEMA
APEWE MBILI ZA FM 2
EVAN MURITHI

