Mashujaa Day Special Edition

Page 1


SHARE. TAG. FOLLOW. WIN!

BADO HAUJA-FOLLOW SHUJAAZ KENYA? Tu-follow on

@shujaazkenya na

@shujaazke halafu share story ya mtu mwenye ni shujaa kwa life yako kwa DMs na pia unaweza kutu-tag ndio upate chance ya ku-win 1 of 20 goody bags za pawa za Shujaaz!

Wewe ume ni-inspire sana bro! Hii biz nilianza 2020 na beshte yangu Brayo... Rest in peace bro! After kuachishwa kazi ndio tukashikana na yeye kuanza hii biz. Nika-realise ni passion!

Ningekosa aje?

Weh, big up manze!

Pole kwa ku-lose bro!

Ni life, uskii tukianza hatukua fiti sana!

Tulijifunza na Google na pia kutoanisha beadworks zingine tukijifunza pattern!

Wazi bro, si uwache tukupitie majio na Musa?

Haina kamaneno. Weh ishia ivo tutabonga!
Oya bro! Si wee ni Boyie?!
Ndio mimi! Niaje?
Guka ulikuwa kwa gang ya MauMau?

1950S

Kabla wakoloni wafike, hakuna mtu angedhania kitu kama hicho kingewai kutokea!
Nilikuwa bado mchanga. Maisha ilikuwa nzuri, sio bila mashida lakini tulikuwa na amani...
...lakini sitawai sahau hiyo siku maisha yetu ilibadilika. Siku yenye walitangaza state of emergency!

Kimbia, kimbieni!

Wuuui Harakisheniii!

Kulikuwa na fujo. Askari wenye sikuwai waona, waliingia kwa boma na magari na bunduki kubwa kubwa. Watu wetu walijaribu kupigana lakini walikuwa na nguvu zaidi.
Nyumba zilichomwa na tulipoteza watu wengi! Sijawai kuwa na uoga wa kiasi hiyo!
siku moja Babangu aliona kuwa marafiki wake wamejitolea kisiri kuenda kupigana msituni…

Mimi siwezi kubali kuishi hivi! Wenzangu wataniona aje kama nimekaa nyumbani wakitupigania?!

Haki usiende! Unaenda na nadhani niko na mimba?

Nishaamua! Kukaa huku ni kukubali haya maisha ya chuki na dhuluma ni sawa na kifo!

Hata kama uko na mimba, hawa watoto tunalea wataishi aje hivi?

Ku-get ball ni normal. Lakini ni muhimu kukua na the right information ndio uweze kui-avoid kabla uko ready. Ni-join hapo Facebook ShujaazKe ndio upate information best kuhusu sex and relationships, na ni place safe ya kuuliza maswali. #TUKOWENGI

Shika hii... Linda mama yako! Usijali, vitu zitakuwa sawa!

Nitarudi!

Niaje? Kama ushawai jipata kwa situation hungeweza control na haukua proud of, unaeza share story yako kwa ku-text 20308 ukianza na #ULEMSEE. Ku-text ni FREE!

Siku nyingi zilipita bila kujua hali ya baba. Wakati huo, wanaume wengi walikua wamejiunga na opposition ya waAfrika, yenye ilikuwa siri iliyojulikana. Sisi wote waAfrika tulikuwa na lengo moja; kukomesha utawala wa dhuluma!

Usiseme hivyo! Bwana yako alifanya vizuri kuenda msituni. Afadhali mimi nikufe badala ya kukubali hii maisha! Ningekua bwana yako ningeenda msituni pia, lakini kuna njia nyingi za kupigania uhuru wetu! Kwa hivyo nafanya kila kitu kwa uwezo wangu kuhakikisha wameshinda!

Kweli niko na nguvu ya kupoteza bwana yangu? Nitaanza wapi bila yeye? Kwa nini msiba inanitafuta?

Kwa vile wanaume wengi walikuwa msituni, wanawake wetu ndio walikua wanaendeleza boma. Lakini pia wanawake wengine walijitokeza kuenda msituni…

Na wewe pia, unafaa sasa kwa uwezo wako kuhakikisha bwana atarudi nyumbani!

Nyamazeni… Nimeskia askari…

Rafiki wa mama alishikwa na kuuliwa, mbele ya wamama wengine…

Mungu abariki mama zetu kwa yale yote walipitia. Mama yangu alikua mmoja wa akina mama waliosaidia watu wa msitu.

Niaje? Ushawai overcome situation ama challenge kubwa kwa life yako ya kutisha? Share story yako kwa ku-text 20308 ukianza na the word #IGOTTHIS. Ku-text ni FREE!

Mama ametuacha lakini tutaendelea kuungana kusaidia mabwana wetu kwa msitu! Hakuwaogopa na sisi hatutawaogopa!

Na akaja kua msimamizi wa wanawake. Aliwaongoza kwa kusaidia wapiganaji msituni!

Tunaweza chagua kuogopa wakoloni na tuishi kama wanyama. Ama tunaweza kuwa na msimamo wetu tupiganie uhuru wetu!

Mama alikuwa na umakini saa zote, lakini siku moja hakuwa na bahati!
Akashikwa na askari na wakampeleka kwingine kupata majibu kwake.
Wewe mama! Hawa wengine wako wapi?

Mama... ni mimi...

Kijana wangu...

Nilijipeleka kwa mama, nikamtoa kamba. Askari aliingia lakini mama alipata nguvu akamgonga na tulikimbia.
Nilipokua namsaidia mama kufunga mguu wake, tuliskia watu msituni...

Lakini kwa bahati nzuri, walikua watu wazuri…

Msiogope, sisi ni watu wa msitu!

Watu walipojua Kenya iko huru na tutapata rais wetu Mwafrika wa kwanza, kulikua na furaha tele! Sijawai ona furaha kama hiyo! Bado kulikuwa na wale hawakuwa wanaamini lakini wengi wetu tulifurahia uhuru wetu...

Baba yenu bado yuko hai na hizi vita zinasha! Wamechoka na wanarudi kwao!

Baba alirudi vile tu alisema! Sio bila jeraha za vita,

lakini alirudi.

TUMEFAULU! TUKO HURU!

Happy Mashujaa Day Guka! Asanti kwa kila kitu!

Manze Guka... sikujua umekapitia hivyo vyote... Manze pole nimekua mtoto kichwa ngumu. Na pia...

Wait, uli-mention Wangari Maathai, uyo ni nani?

... pia nashukuru juu umenilea after mum ali-pass, na umeni-take care hizi miaka zote! Walai kutoka leo niko na heshima mpya!

Happy Mashujaa Day Guka... Wewe ni Shujaa wangu!

one hand imeni-slow down so nilianza biz ingine ku-suplement beads! hata vile niliku-show after ku-lose job tuliona badala ya kungoja tupate mboka tuliamua kushughulika na bead-work!

ni poa vile unajituma

ku-achieve goals zako, nikuulize, msee anaeza make sure goals zake ziko safe aje?

ready kiaje?

patoh nashukuru sana nimekuona in person!

inabidi umejipanga na dem juu mkichoma itakurudisha nyuma kuwa rada kwa biz. tena kwa relationships, kueni ready saa zote!

kwa kutumia protection na kucheza rada ya ball! back then karibu tuchome lakini hapo ndio tuli-learn kuhusu kuji-pin after tume-visit doki na tukajipanga. lazima pia ucheze safe! buda, unaangalia hiyo protection iko fiti!

GOODY WINNERSBAG GOODY WINNERSBAG

GOODY BAG WINNERS WA CHAPTA 155:

Kanzika Meshack - Sikata, Bungoma

Purity Wambui Maina - Kiambu

Nancy Chao - Mbuyuni, Voi

Jaffery Osundwa - Khwisero, Kakamega

Albert Ngeno - Kabarnet, Baringo

Usisahau

ku-follow pages zetu ndio u-stand a chance ya ku-win Shujaaz goody bag

Shujaaz Kenya shujaazkenya

Shujaaz Kenya shujaazke SHARE. TAG. FOLLOW. WIN! LUCKY WINNERS!

DJ Boyie djboyie

Maria Kim mkshujaaz

Malkia malkia_shujaaz

Charlie Pele charlie_pele

SHUJAAZ™ IS PUBLISHED BY: ShujaazInc Ltd. P.O Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel 20308 [sms only]

Web: www.shujaazinc.com.

Printed by: Chrome Partners P.O Box 44466-00100 Nairobi GPO

GOODY BAG WINNERS WA CHAPTA 156:

Francis Muthoka - Kyau, Makueni

Brijo - Korogocho, Nairobi

Jane Nyambura - Nyeri Town, Nyeri

Pharis Wafula - Kibabii, Bungoma

Art:

Kama wewe, ama mtu unajua, anataka kupata information kuhusu kuji-protect, unaeza CALL AMA TEXT LVCT AT 1190

cheki artwork za patoh na ma-yut wengine hapa facebook @djboyie na tuzidi kuchapiana kwa mtandao au sio? kumbuka pia unaweza nishtua on SMS FOR FREE KWA 20308 tuchapiane! Ku-text ni free!

Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.