•
•
•
•
Sheria ya makosa ya jinai sura ya 16 - Inakataza makosa mbalimbali ya ukatili wa kijinsia na kutoa adhabu kwa watuhumiwa wa makosa hayo kama vile ukatili wa kimwili, ukeketaji wa wanawake, kunajisi, kubaa, ulawiti, biashara ya binadamu, shambulio la aibu kwa wanawake, unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya watoto n.k - Inakataza matumizi ya lugha chafu, matusi na vitisho Sheria ya mtoto ya mwaka 2009 - Inaeleza haki ya mototo ya kupewa huduma muhimu kama vile chakula elimu, malazi, mavazi , afya n.k - Inatoa ulinzi wa jumla kwa watoto kwa kukataza ukeketaji wa watoto wa kike. Uchapishaji na utoaji wa machapisho au picha zenye kuathiri maslahi ya motto. - Inakataza ajira kwa watoto
-
chini ya umri wa miaka 18. Kwa maana hiyo ukeketaji wa wanawake walio na miaka 18 na kuendelea haujakatazwa.
•
Sheria ya kuzuia na kupambana na UKIMWI (2008) - Inamtaka mama mjamzito na mwanaume anayehusika na ujauzito kupima UKIMWI kwa hiari lakini mara nying ni wanaume wachache hupima. - Sheria imetilia mkazo matumizi ya kondomu laikin kuna shida ya upatikanaji wa kondomu za kike.
•
Sheria ya ardhi (1999) - Vifungu vilivyopo kwa ajili ya kumlinda mwanandoa kwenye kuweka rehani nyumba ya familia havitoshi - Ingawa inatoa haki kwa wanawake kumiliki ardhi, kwenye makabila mengi umiliki wa ardhi unarithishwa kwa watoto wa kiume. - Sheria inaruhusu kupata arhi kwa umiliki wa pamoja wa mume na mke lakini inaonekana kwamba hii hufanyika mara chache kutokana na mila na desturi.
•
Sheria ya arhi ya kijiji (1999) - Inafuata sana sheria ya kimila ambayo haizingatii umiliki wa ardhi kwa wanawake
•
Sheria ya kimila (1963) - Haitambui umiliki wa pamoja wa mali - Ina dhana ya kurithi wajane - Inanmyima mjane haki ya kurithi mali ya mume wake na watoto wa kike kurithi kidogo kuliko wa kiume.
•
Sheria ya elimu - Iko kimya kuhusu mwanafunzi wa kike aliyepata mimba kuendelea na shule.
•
Sheria za ardhi (1999) - Haki ya mwanamke kumiliki ardhi sawa na mwanaume - Mwanamke analindwa dhidi ya mila na desturi za kibaguzi zinazowazuia kumiliki, kupata na kutumia ardhi - Haki sawa katika maamuzi ya ardhi - Wajibu wa kupata ridhaa ya mwenza kwenye kuhamisha au kuuza ardhi ya wanandoa 10. CHANGAMOTO KATIKA UTEKELEZAJI WA SHERIA ZINAZOHUSU UKATILI WA KIJINSIA.
•
Sheria ya ajira na mahusiano kazini (2004) - Inakataza ajira kwa watoto wenye umri chini ya miaka kumi na minane - Wajibu wa mwajiri kuzingatia afya ya mama mjamzito na mototo - Haki ya kutokubaguliwa katika sehemu ya kazi - Mapumziko ya uzazi Sheria ya ndoa ya mwaka (1971) - Mwanamke anapewa haki ya kumiliki, kutumia na kuuza mali yake kama ilivyo kwa mwanaume - Haki ya kutoshurutishwa kuingia kwenye ndoa - Mgawanyo wa mali ya familia kwa kuzingatia mchango wa kila mwanandoa pale ndoa inapovunjika - Wajibu wa kuomba ridhaa ya mwanandoa katika kugawa, kuuza au kukodisha mali ya wanandoa - Haki ya mjane kuishi popote na haki ya
kuolewa tena au kutoolewa Haki ya kutoadhibiwa/kuteswa Haki ya mke na watoto kupata matunzo kwa kuzingatia uwezo wa kifedha wa mwanaume (mume/baba).
•
Sheria ya ndoa (1971) - Inaeleza mgawanyo wa mali pale ndoa inapovunjika, lakini kutokana na mila na desturi, wanawake wengi bado wanapata changamoto ya kutopata kabisa mgao wa mali walizochuma pamoja wakati wa ndoa au kutopata kabisa. - Sheria inaruhusu ndoa ya wake wengi, ingawa mke anatakiwa kufahamishwa na kuridhia lakini mara nyingi hili linakua halifanyiki. - Inaruhusu msichana wa miaka 15 au 14 kuolewa kwa ruhusa ya wazazi wake au mahakama. Hili linakinzana na sheria ya mototo ya mwaka 2009. (2008) ndani ya nchi
•
Sheria ya mototo (2009) - Haijaangalia suala la wasichana kuolewa wakiwa na umri mdogo, miaka 15 kama ilivyoelezewa na sheria ya ndoa.
•
Sheria ya makosa ya jinai sura ya 16 - Sheria inakataza ukeketaji wa wasichana
N
Ukatili wa kijinsia i vitendo vinavyofanywa na mtu dhidi ya mtu mwingine kutokana na jinsia yake. Vitendo hivi vinajitokeza kutokana na sababu mbalimbali kama imani, tabia, mila au mitazamo ambayo ina madhara kwa mtu binafsi kiakili,kiafya,kimwilina kiuchumi. 2. Nini maana ya jinsi Jinsi ni hali halisi ya kimaumbile ya mtu kuwa mwanaume au mwanamke kibaiolojia na kwa kawaida huwa haibadiliki. Viashiria vinavyotofautisha jinsi moja na nyingine ni kama vifuatavyo; • Kunyonyesha • Kubeba mimba • Mbegu za kiume n.k 3. nini maana ya jinsia Jinsia ni mahusiano kati ya jinsi mbili kijamii katika maisha yao ya kila siku yaliyojengeka katika jamii ambayo yanatofautiana kulingana na utamaduni na mahali. 4. AINA ZA UKATILI WA KIJINSIA Kuna aina nyingi za ukatili wa kijinsia na baadhi yake ni: • Ukatili wa kimwili - Kupigwa (mateke, kuchapwa, kusukumwa, kuporwa n.k) - Kuhamishwa mahali bila ridhaa ya mtu. • Ukatili wa kisaikolojia- vitendo vinavyomwathiri mtu kiakili - Kutukanwa - Kunyanyaswa na kusimangwa - Kutengwa - Kudhalilishwa/kuaibishwa - Kusingiziwa - Kukosewa uaminifu • Ukatili wa kiuchumi - Kunyimwa mahitaji muhimu mfano chakula, nguo au mahali pa kuishi.
-
•
•
•
Kunyimwa umiliki wa mali Kuzuiwa kufanya kazi Kufanyishwa kazi kwa malipo kidogo
lengo la kufanya ukahaba au kazi za ndani - Kusimamishwa kazi au kutoajiriwa kwa sababu ya jinsi, ulemavu ujauzito nk. Ukatili kutokana na mila kandamizi na imani potofu - Mauaji ya albino - Ndoa za utotoni - Kurithi wajane - Mauaji ya vikongwe - Ukeketaji - Kunyimwa vyakula vyenye viturubisho kwa wanawake na watoto Ukatili wa kingono - Ubakaji - Kulawitiwa - Kushikwa shikwa sehemu ya mwili bila ridhaa - Kufanyiwa ngono bila kinga pasipo ridhaa ya mhusika - Kulazimishwa kufanya ngono wasichana kwa ajili ya kufanya ukahaba. Ukatili wa kiafya - Wanawake kukosa haki ya uzazi ya kujifungulia hospitalini - Mume kumnyima mkewe hela ya kwenda hospitalini - Mke kuzuiwa kutumia uzazi wa mpango - Mwanandoa kupima virusi vya UKIMWI na
5. SABABU/ VITU VINAVYOPELEKEA UKATILI WA KIJINSIA. • Matumizi ya pombe na madawa ya kulevya • Utamaduni na mila potofu kama vile ukeketaji, ndoa za utotoni na vipigo kwa wanawake kwenye ndoa kama njia mojawapo ya kuwapa adhabu.
•
• • • • • • •
Kukithiri kwa mfumo dume ambao unawapendelea wanaume na kutoa nafasi kidogo kwa wanawake kwenye maamuzi, kumiliki rasilimali na majukum ya kazi Ubaguzi wakijnsia ambao huwanyima fursa wanawake katika shughuli mbalimbali za kimaisha. Umasikini Ushirikina Tafsiri potofu ya maandiko ya vitabu vya dini Kupokea mahari bila ridhaa ya mwanamke Kuwepo kwa sheria kandamizi Ufahamu mdogo wa haki za binadamu.
6. MADHARA YA UKATILI WA KIJINSIA • Madhara ya kimwili - Kuumia kutokana na kupigwa - Ulemavu wa kudumu - Afya kuzorora/ kudhoofu - Maumivu ya muda mrefu - Kifo - Kushindwa kuona au kusikia n.k
•
Madhara katika afya ya uzazi - Mimba zisizotarajiwa/ mimba za utotoni - Magonjwa ya zinaa - Mimba kuharibika - Matatizo wakati wa ujauzito na kujifungua - Watoto kuzaliwa kabla ya muda au kuzaliwa na uzito mdogo
•
Madhara katika afya ya akili - Msongo wa mawazo - Kuwa na huzuni na majonzi - Kuwa na hofu na wasiwasi usioisha - Kutokujiamini.
•
Madhara ya kiuchumi - Ukosefu wa elimu - Kupoteza rasilimali - Umasikini - Kuwa na hali ya utegemezi nk.
7.SEHEMU ZA KUFIKISHA TAARIFA ZA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA
• • • •
Viongozi wa mtaa, vijiji na kata
• • •
Vituo vya msaada wa kisheria
Polisi; katika dawati la jinsia
Kituo cha afya. Pia waweza kwenda kwenye vituo vifuatavyo kwa ushauri na msaada zaidi: Wasaidizi wa wa sheria (paralegals) Viongozi wa dini.
8. JE NINI CHA KUZINGATIA KWA MHANGA WA UKATILI WA KIJINSIA
•
Kutoa taarifa haraka mara tu unapofanyiwa kitendo cha ukatili wa kijinsia
•
Kuzingatia kutunza ushahidi. Mfano mtu aliyefanyiwa watu waliofanyiwa ukatili wa kingono hawatakiwi kuoga au kubadilisha nguo
•
Kutoa taarifa polisi na kupewa fomu namba tatu (PF3)
• •
Nenda hospitali haraka kwa matibabu
•
Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya 1977 inaelezea haki za msingi za binadamu na kutambua kwamba binadamu wote ni sawa. Katiba inalinda usawa wa wanawake kama ifuatayo: - Fursa sawa ya elimu na mafunzo - Inakataza ubaguzi wa aina yoyote ile na mateso - Kutilia mkazo usawa kwa watu wote - Kutilia mkazo heshima na ulinzi wa utu wa kila mtu.
Hakikisha polisi anafungua kesi mahakaman na kukusanya ushahidi. 9. BAADHI YA SHERIA ZINAZOPINGA UKATILI WA KIJINSIA