TAMASHA Kwaya zitakazokuwepo 1. AIC Bujora choir 2. AIC Nyakato choir 3. AIC Ilemela choir 4. AIC Kisesa 5. AIC Akina mama bujora 6. AIC Nyamanoro 7. AIC Bugando choir 8. AIC Hope choir 9. AIC Nyakato Mecco choir 10. Goshen choir Mabatini.
Na nyingine nyingi zitakuwepo.
Tarehe: 07/04/2015
Kiingilio: Wakubwa TSH 1500 Watoto TSH 500
uimbaji la kutambulisha albam ya kwaya ya AIC Sinza kutoka Dar es Salaam iitwayo.
‘’Nguvu za Ajabu’’
Mahali:- Uwanja wa RED CROSS KISESA MWANZA Muda:- Kuanzia saa 6:00 mchana hadi saa 12:00 jioni
Lengo ni kuchangia gharama ya kuanzishwa kwa studio ya kwaya ya AIC SINZA 2Wakoritho 9:7
“Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni,wala si kwa lazima. Maana mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.” KARIBUNIWOTE WOTE KARIBUNI