Family Prayers (Swahili)

Page 8

KWA AJILI YA MAREHEMU

E

e Mungu wangu ! Ewe msameheaji wa dhambi, mjalia thawabu, muondoa mateso ! Hakika, nakusihi kusamehe dhambi za wale walioacha vazi la kimwili na wamepaa kwenye ulimwengu wa kiroho. Ee Bwana wangu ! Uwatakase kutokana na makosa, ondoa huzuni zao, na Ugeuze giza lao kuwa mwanga. Wafanye waingie bustani ya furaha. Uwatakase kwa maji safi kabisa, na Uwajalie wauone utukufu Wako kwenye mlima ulio bora kabisa. ‘Abdu’l-Baha

3


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.