Matazamio na matarajio ya watanzania wengi miaka 10 ijayo

Page 1

Tanzania mwaka 2025

Mtanzania mmoja kati ya wawili wanaamini kuwa wanao mchango mkubwa kwa maisha yao ya baadae

Kutokana na utafiti uliofanywa na TWAWEZA August 2014.

Watanzania Maskini

Wawili kati ya watanzania watatu walio maskini wanaamini kuwa Tanzania itakuwa ni mahali bora pa kuishi ifikapo mwaka 2025.

Mtanzania mmoja kati ya wawili

Watanzania Matajiri

Mmoja kati ya watano

wanaamini kuwa maisha yatakuwa mabaya sana

Maisha yatakuwa mabaya

Watanzania tisa kati ya kumi wanakubali kuwa ni rahisi kwa mtu mwenyewe kusimamia malengo yake na kutimiza matarajio yake, na kama akipata matatizo anaweza kuyatafutia ufumbuzi.

Watoa maamuzi muhimu katika nchi ifikapo mwaka 2015

11% 17%

54%

Hawajui yatakuwaje

Watanzania tisa kati ya kumi wanaamini kuwa maamuzi makuu ya mchi bado yatakuwa chini ya nchi (serikali).

18%

Maisha yatakuwa sawa

Ikilinganishwa na utafiti wa kikanda na kidunia uliofanywa na Pew Research Center’s 2014 uliohoji endapo watu wanaamini kuwa watoto wao watakua au hawatakuwa na uwezo wa kifedha kuliko wazazi wao.

57%

20%

19%

MIJINI Mchango wa mtu binafsi katika kuleta maendeleo.

Mijini Mchango pekee wa familia katika maendeleo.

MIJINI Mchango wa makundi rika katika maendeleo.

Tisa kati ya kumi ya watazania wanaamini kuwa hatima ya tanzania iko mikononi mwa watanzania wenyewe, aidha kupitia viongozi wa nchi au wananchi wenyewe.

Fikra juu ya nani mchangiaji mkuu katika maendeleo (waliojibu kutoka vijijini).

4%

Viongozi wa Tanzania Wananchi wa Tanzania Hawajui Wawekezaji wa kimagharibi na serikali zao Viongozi wa Afrika ya Mashariki Wasomi wa Kitanzania Umoja wa Mataifa (UN)

Mmoja kati ya wawili waliojibu swali hili kutoka nchi za Kiafrika wanaamini watoto wao watakuwa na kipato zaidi. Tofauti katika nchi zilizoendelea za Ulaya na Marekani, wanaamini watoto wao watakuwa na hali ngumu zaidi. 80 70

65% 51%

50

20%

19%

VIJIJINI Mchango wa mtu binafsi katika kuleta maendeleo.

VIJIJINI Mchango wa serikali katika maendeleo.

MIJINI Mchango wa familia katika maendeleo.

24%

41%

35%

27%

Mtu Binafsi 30%

25%

20

56%

Eur ope

2% 3%

Sijui Makundi rika/ Marafiki

Mazuri

U.S

a Lat . Am erik a Mid le E ase

As ia

Mabaya sana

20% 19%

Familia

19%

1%

0

10

Mijini

20

11%

Kulinda rasilimali asilia zisitoweke

11%

Kupunguza umaskini 0 5

30 Vijijini

40

50

60

28%

16%

Kudumisha umoja wa kitaifa

Kuboresha miundombinu

20%

10 0

54%

37%

Kuboresha huduma za kijamii (elimu, afya n.k) Kukuza uchumi

57%

Serikali

1% 1% 0%

maendeleo ya baadae ya Tanzania

65%

50% 37%

40 30

56%

2%

Vipao mbele vya muhimu kwa

58%

60

Designed by Finland Bernard

Mmoja kati ya wanne anaamini kuwa Tanzania itakuwa mahali pabaya pakuishi ifikapo mwaka 2025

Fikra juu ya nani mchangiaji mkuu katika maendeleo (waliojibu kutoka mijini).

Maisha yatakuwa mazuri

Afr ik

Source of Data: Sauti za Wananchi, Mobile Phone survey - Round 23, August 2014

wanaamini kuwa maisha yao yatakuwa bora ifikapo mwaka 2025

10%

9% 10

15

20

25

30

Vipaombele muhimu vya watanzania ni huduma boa za kijamii, kukuza uchumi, kudumisha umoja wa kitaifa na kulinda rasilimali misitu.

Source of Data: Sauti za Wananchi, Mobile Phone survey - Round 23, August 2014

ZAIDI YA NUSU YA WATANZANIA WANA MTAZAMO CHANYA KUHUSUYA TANZANIA

Watanzanua wengi wanaamini kuwa wao wenyewe wanayo nafasi kubwa sana katika kufikia malengo yao.

MATARAJIO YA WATANZANIA MIAKA 10 IJAYO


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.