NENO LA MSALABA TOLEO LA PILI | OKTOBA 2020
KUFANYIKA KUWA MWANA Mafunzo kwa Kanisa la Mungu NA MCHUNGAJI RAPHAEL MARKO SALLU
Mafunzo kwa kanisa la Mungu.
NENO LA MSALABA
NENO LA MSALABA
Yaliyomo 01 02 03
KUFANYIKA KUWA MWANA.
JINSI INAVYOTOKEA
NI KAZI YA MUNGU
MAFUNZO KWA KANISA LA MUNGU
KUFANYIKA KUWA MWANA “Bali wote walio mpokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.”(Yohana 1:12-13). Nataka kusema kwa ufupi somo hili la muhimu sana kwa kila mtu,juu ya kufanyika kuwa MWANA. Kwa maneno mengine kufanyika kuwa MTOTO wa MUNGU.Katika maandiko tuliyo soma yanasema, "bali wote walio mpokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu." Hivyo maandiko yanaonyesha kuwa kuna waliofanyika WATOTO wa MUNGU.Kwa maandiko hayo ni wazi kwamba kuna binadamu ambao ni
WATOTO wa MUNGU na ambao sio
WATOTO wa
MUNGU.Sasa, tujifunze kidogo tuone ilivyotokea.Mungu akusaidie kuelewa na ujitahidi kusoma ujumbe huu hadi mwisho.
01
JINSI INAVYOTOKEA Ilivyotokea hata binadamu MTOTO wa MUNGU.
awe
kabisa
Tusome maandiko tuone; “Basi palikuwa na mtu mmoja wa Mafarisayo, jina lake Nikodemo, mkuu wa Wayahudi.Huyo alimjia usiku, akamwambia, Rabi, twajua ya kuwa u mwalimu, umetoka kwa Mungu; kwa maana hakuna mtu awezaye kuzifanya ishara hizi uzifanyazo wewe, isipokuwa Mungu yu pamoja naye. Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu. Nikodemo akamwambia, Awezaje mtu kuzaliwa, akiwa mzee? Aweza kuingia tumboni mwa mamaye mara ya pili akazaliwa? Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu. Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.� (Yohana 3:1-6)
02
Tukisoma habari hii tunaona jinsi mwanadamu anavyofanyika kuwa mwana wa Mungu. Habari hii inatuonyesha jinsi kiongozi mmoja wa dini ya Kiyahudi alivyomwendea Bwana YESU usiku na kuongea naye. Maongezi yao yalikuwa hivi, Nikodemo alimwambia YESU, "twajua ya kuwa u mwalimu na umetoka kwa MUNGU." Anasema, "twajua" yaani yeye na viongozi wenzake ingawa walikuwa wakiwazuia watu wasimkiri YESU lakini ukweli walikuwa wanaujua, kwamba YESU ametoka kwa MUNGU. Na anasema wanajua hivyo kwa sababu hakuna mtu anayeweza kufanya ishara alizokuwa anazifanya Yesu isipokuwa Mungu yu pamoja naye.Sasa baada ya kusema maneno hayo,Yesu akasema,"amin,amin,nakwambia mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuuona ufalme wa Mungu." Nikedomo alishangaa sana, akauliza inawezekanaje mtu kuzaliwa mara ya pili?
Sio
Nikodemo
tu
aliyeshangaa
hata
NENO LA MSALABA
leo
tukisema habari za kuzaliwa mara ya pili watu wengi hawaelewi kabisa.Bwana akamwambia
NA MCHUNGAJI RAPHAEL SALLU
tena, "amin,amin,nakuambia mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho hawezi kuingia ufalme
“Nao wakashangaa mno, wakimwambia, "Ni
wa Mungu."
nani, basi, awezaye kuokoka?" Ukiangalia mistari hii, wa tatu na wa tano tunapata maneno mawili katika majibu yake
Yesu akawakazia macho, akasema, Kwa
YESU.
wanadamu haiwezekani,bali kwa Mungu
(1)kuona na
sivyo;
(2)kuingia.
Mungu.” (Marko 10:26-27)
Hili la kwanza "kuona" lina maana kwamba
Baada
mtu anapozaliwa mara ya pili anapata uwezo
itakavyokuwa ngumu kwa wenye kutegemea
wa kuuona ufalme sasa wakati anaishi.Pia
mali
anauona
walimuuliza ni nani basi awezaye kuokoka?
na kumsikia Mfalme mwenyewe
maana
ya ili
yote
yawezekana
YESU
kuingia
kuonyesha
ufalme,wanafunzi
kwa
jinsi wake
Yesu.
Akawajibu,
Hili la pili "kuuingia" nikuingizwa kwenye
haiwezekani
ufalme wenyewe.Ukisoma maandiko utaona
yanawezekana.
mtu akizaliwa mara ya pili ambayo ndiyo
nafundisha hapa kwamba, wokovu ni kazi ya
kuokoka,anahamishwa kutoka mahali fulani na
Mungu.
"akawaambia ila
kwa Ndiyo
kwa
wanadamu
Mungu maana
yote mimi
kuingizwa mahali pengine. Soma hii: “Naye
alituokoa
katika
nguvu
za
giza,
akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;”(Wakolosai 1:13)
Imeandikwa hivi; “Lakini wema wake Mwokozi wetu Mungu, na upendo wake kwa wanadamu, ulipofunuliwa, alituokoa; si kwa sababu ya matendo ya haki
Kila aliyezaliwa mara ya pili ameokolewa katika nguvu za giza na kuhamishwa na kuingizwa katika ufalme wa MUNGU na baadae kuingia mbinguni. Soma pia Waefeso 2:6
tuliyoyatenda sisi; bali kwa rehema yake, kwa kuoshwa kwa kuzaliwa kwa pili na kufanywa
upya
na
Roho
Mtakatifu;”
(Tito 3:4-5). Tunaposoma maneno hayo tunaona wazi kabisa kwamba wokovu ni kazi ya Mungu na
NI KAZI YA MUNGU
si ya binadamu, wala si kwa utaratibu wa
Kuokoka,kwa maneno mengine kuzaliwa mara
kidhehebu.Mstari wa nne unasema, "Lakini
ya
wema wake Mwokozi wetu Mungu,na upendo
pili
ni
kazi
kibinadamu.Unajua
ya
Mungu kuokoka
si
kazi
ya
haiwezekani
wake
kwa
wanadamu."
Unaona
ndugu
kibinadamu alisema maneno haya Bwana wetu
msomaji ni wema wake na upendo wake,si
YESU.
kwa kutaka kwako.
03
Ni neema yake,kazi ya mwanadamu ni kuamini tu basi. Anasema wema wake ulipofunuliwa alituokoa; si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyoyatenda sisi. Kuna watu wanafikiria kwamba wokovu unapatikana kwa sababu ya matendo yao ya haki waliyoyatenda.Hapana kabisa,kufikiria hivyo ni kuidharau kazi ya YESU msalabani.
Maandiko katika huo mstari wa tano wa Tito unasema, (1)kwa rehema yake. Na anaposema rehema maana yake kwa huruma yake, Mungu ametuhurumia yeye mwenyewe akatuokoa. (2)kwa kuoshwa kwa kuzaliwa kwa pili. Huku kuoshwa kunatokana na kuzaliwa kwetu kwa pili yaani kuzaliwa mara ya pili. Na hii imetokea kama tulivyoona katika Yohana 1:12-13 kwamba "bali wote waliompokea aliwapa uwezo kufanyika watoto wa Mungu," sikia ndugu yangu, wewe kufanyika kuwa mtoto wa Mungu ni jambo ambalo umewezeshwa,wala hukupanga umejikuta tu imefanyika kama vile ulivyozaliwa mara ya kwanza kwa mapenzi ya wazazi wako ukajikuta ni mtoto wao.Kadhalika na kuzaliwa mara ya pili.Ni kwa mapenzi ya Mungu. Imeandikwa hivi: “Kwa kupenda kwake mwenyewe alituzaa sisi kwa neno la kweli,tuwe kama limbuko la viumbe vyake.”(Yakobo 1:18). Unaona ni kwa kupenda kwake mwenyewe Mungu.Kwahiyo kwa kuzaliwa kwa mara ya pili tukatakaswa kwa damu ya YESU.
04
(3) Na kufanywa upya na Roho Mtakatifu. Kwahiyo mara baada ya kuzaliwa mara ya pili,Roho Mtakatifu yeye anatufanya upya na hapo huyu mtu mpya anakuwa kiumbe kipya. Kwa neema na kazi ya Roho Mtakatifu mtu anaendelea kubadilishwa.
Hivyo basi ndugu, kuokoka kwako ni kazi ya Mungu,usije ukajisifu. Imeandikwa hivi; “Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani, ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu,ni kipawa cha Mungu;wala si kwa matendo,mtu awaye yote asije akajisifu.” (Waefeso 2:8-9) Biblia inasema, "tumeokolewa kwa neema," yaani maana yake kwa upendo wa Mungua.Inasema ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, yaani kuokoka hakukutokana na sisi wenyewe ni kazi ya Mungu.Pia ni kipawa,yaani maana yake ni zawadi tu tumepewa na Mungu. Mstari wa tisa unasema, "wala si kwa matendo,mtu awaye yote asije akajisifu." Mungu atusaidie tusijisifu bali tumshukuru Mungu na kumtukuza.Maana kwa hakika si kwa matendo ya sheria mwanadamu atahesabiwa haki,hapana. Imeandikwa hivi; “hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu; sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki.” (Wagalatia2:16)
NENO LA MSALABA | 04
Maandiko yanaonesha wazi kwamba mwanadamu hahesabiwi haki kutokana na matendo ya sheria yaani kama ilivyoagiaza torati ya Musa, bali mwanadamu anahesabiwa haki kwa imani ya kumwamini YESU KRISTO.
1.Umihimu wa matendo mema. Kuna umuhimu sana katika kutenda matendo mema,kwa sababu Mungu aliyafanya matendo mema ili tuyatende. Imeandikwa hivi;
Hakuna mwenye mwili atakaye hesabiwa haki kwa matendo ya sheria. Soma tena; “kwa sababu hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki mbele zake kwa matendo ya sheria; kwa maana kutambua dhambi huja kwa njia ya sheria.” (Warumi 3:20) Mungu akubariki kwa kuusoma ujumbe huu. Baada ya kufundisha somo hili mahali fulani ndugu mmoja aliniuliza maswali mawili ya muhimu sana. Nami naona ni vizuri niyaweke hapa pamoja na majibu yake.
“Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo.”(Waefeso 2:-10) Mwandishi anasema watu waliozaliwa mara ya pili ni kazi ya Mungu.Wameumbwa katika Kristo Yesu,ili watende matendo mema.Kwa mtu aliyeokoka kutenda matendo mema ni wajibu wake na kwa hakika ni furaha yake. Imeandikwa tena hivi;
Maswali: Ahsante sana Mchungaji, "nimekuwa nikimega sehemu ndogo ndogo ya somo hili zuri na sasa nimelimaliza, lakini naomba kidogo nyongeza kutoka kwako juu ya haya," a)Tumeona kama ambavyo Biblia inasema kwamba matendo mema haijawa sababu ya mtu kuupokea wokovu wala kufanya apate wokovu, hicho ni kipawa cha Mungu tu kwetu, lakin vipi baada ya mtu kuokoka matendo mema yanakuwa na umuhimu gani mkubwa wakati hayakuhusika kwa namna yoyote kumfanya mtu awe katika hali hiyo(ya wokovu) hapo kabla?. b) Naomba kidogo tafsiri au maelezo ya moja kwa moja yanayoonyesha utofauti kati ya "Ufalme wa Mungu" na "Ufalme wa Mbinguni" Ahsante sana! Majibu:Bwana asifiwe wapendwa! Napenda kujibu maswali mawili ya ndugu yetu aliyoyauliza wiki iliyopita. 05
“Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. Kwahiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio.”(Wagalatia 6:9-10). Paulo anawaambia watu waliozaliwa mara ya pili kwamba, "wasichoke katika kutenda matendo mema,maana kuna kuvuna,kuna thawabu." Na anasema katika kutenda mema tuwatendee watu wote, bila kujali rangi, ukabila, au udhehebu,tutende kwa watu wote,ila kipaumbele kiwe kwa jamaa ya waaminio yaani waliokoka. Kwa hiyo matendo mema ni ya muhimu.Jambo la kuzingatia ni kwamba ili tuweze kutenda matendo mema,ni lazima kumtegemea Yesu Kristo.
NENO LA MSALABA
Tusome maneno haya;
Yapo mambo mengi ya kufundisha juu ya hilo
“Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu.
la matendo lakini kwa leo itoshe kusema
Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke
hayo.
yake,
lisipokaa
ndani
ya
mzabibu;
kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu.
2.Ufalme
wa
Mungu,na
ufalme
wa
Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye
mbinguni.
ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa
Ufalme wa Mungu na ufalme wa mbinguni,ni
sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi
jambo moja.Tunaposema ufalme,ni utawala,
kufanya neno lo lote.” (Yohana 15:4-5)
na mbinguni ni eneo.Kwa hiyo Mungu ni mtawala anayetawala, makao yake yakiwa
Bwana Yesu anasema, "tukae ndani yake,
mbinguni.
maana tusipokaa kwake hatuwezi kuzaa." Na
Imeandikwa hivi:
anasema, "pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya
“BWANA ameweka kiti chake cha enzi
neno lolote." Ndiyo maana nasema tuendelee
mbinguni, Na ufalme wake unavitawala vitu
kumwamini,tuishi ndani yake tutatenda
vyote.”(Zaburi 103:19)
matendo mema. Kwahiyo Mungu yuko mbinguni,na ufalme Ni wajibu wetu kutenda mema, lakini matendo
wake anatawala vitu vyote, mbinguni na
yetu mema hayatupi kibali cha kuingia
duniani.Kwa mfano tunaweza kusema ufalme
mbinguni au kuhesabiwa haki.
wa uingereza,au ufalme wa mfalme George
Soma kitabu cha Matendo ya Mitume sura ya
wa uingereza. Ni neno hilo hilo.
kumi
kuanzia
mstari
wa
kwanza,utaona
Habari ya Kornelio mtu mchaji wa Mungu
Hayo ni mawazo yangu na Mungu awabariki.
aliyetoa sadaka nyingi na kumuomba Mungu
Endelea kuomba kwa ajili ya Jarida hili la
daima.Hata
Neno
hivyo
matendo
yake
mema
hayakumwezesha kufanyika mtoto wa Mungu
la
msaba.
Neema
na
iwe
kwako.Amina.
mpaka alipoambiwa habari za kazi ya Yesu na alipoamini akapata wokovu.
Raphael Marko Sallu Divine Grace Church - Kange,
Juu ya hilo la Kornelio nitakuja kulifundisa siku nyingine Mungu akinijalia.
Tanga - Tanzania raphaelsallu2@gmail.com +255 713 830 788
06
NENO LA MSALABA
Mafunzo kwa Kanisa la Mungu
Toleo la Pili - Oktoba 2020
MBUNIFU JARIDA Mch. Avitus Leonard +255 677424916 aleonard@divinegracetz.org Dar es Salaam,Tanzania
MHARIRI Andrew Caus +255 684670440 andrewsextus@gmail.com Dar es Salaam, Tanzania