22.b – Malkia

Page 1

kulazimishwa

Mum, saa vile tunatinga chuo, tutaenda ku-visit Shosh? Ah! Sidhani. Nina safari nyingi, itabidi utulie hapa uchunge nyumba tu.

KESHOYE SHULE… Una miradi gani za holiday Malkia?

Poa! Si tutakuwa na bash noma hapo kwenu?

Aki mum! Sina plan, niko tu home peke yangu, Mother hatakua…

Zii! Sitaki noma kwetu!

Aki watu wachache tu!

hepi tu kiasi, sio wasee wengi…

Nita-come na Collo!

9


siku ya bash...

BAADAE KIDOGO…

Jibambeni na keroma wasee. Jiskieni free!

NIAJE MALKIA!

Relaaaax Malkia. Jibambe! Ausio Collo? Sasa uliita chuo mzima? Hii ni noma!

Tujienjoy tumefunga chuo, acha kuwa spoiler! Mother yako hayuko, una-worry ya nini?

Si u-try hii kanywaji nimeleta ndio u-relax? Tulia Malkia – ni bash. Unafaa kuzitoka!

GR

RR R

10

R!


ISHIE

NI!! Ai! Kuna nini Jipesh?

Walalalalala! Sasa hizi ni nuks gani tena?

11


Mbona unalia?

Imagine ile time umeniacha na Collo, amenilewesha na ile drink. Halafu…halafu…

Alini-force ku-do na yeye!!

Sijui nitafanya nini. Hakuna mtu atani-believe…

Iza sana Jipesh. Simama twende na wewe clinic.

12

Naku-believe. Kila kitu itakuwa poa. Come twende.


KESHOYE

Huyo nurse amekupa counseling, na kama una worries zingine, bado

Thanks sana Malkia kwa kunipeleka clinic. Na-feel poa kiasi sasa.

Tulia sasa. Si umepewa dawa za ku-prevent-isha ushike ball na HIV? Utakuwa poa.

Usi-feel aibu. Kwanza unafaa kum-report kwa polisi. Msee kama huyo ataendelea ku-do hivyo. Lazima tu-take hatua!

...NA umejulikana vile unapenda kufuata machali?!

Wee Jipesh. Mbona una-spoil-ia Collo Cv...

Hebu chunga hiyo mdomo yako! JIpendo ana haki yak u-get justice kwa kitu Collo ame-do. Haijalishi tabia ya Jipendo, hapa ni Collo amekosea!

13


Na nisiskie tena mkiaznisha hizo rumours za kifala!

Thanks Malkia!

USILAZIMISHWE! Wasee, kama hautaki ku-do na chali, hata kama ni chali yako, una haki ya kukataa coz:

i, i, basi hautak Kama hautak ect! sp re uchali ak na lazima huyo

Msee akiku-threaten ndio ukubali, bado ni rape. a NO. NO inamaanish zimishane! ila us , Ukiambiwa NO

o u-have sex,

Ukileweshwa ili usijijue ndi bado ni rape.

Ukileweshwa ili usijijue ndio u-ha ve sex, bado ni rape. Kama msee anakulazimisha, kata a clearly, piga nduru, HEPA kama unaweza!

Kuwa supportive kwa msee amekuwa raped, msaidie ku-report. NENO RAP E

sms 3008

3008 UTO KWA

STO. TUMA SM II RI

S NA

Ukilazimishwa ku-have sex:

AONI JUU YA H EM

•Enda kwa clinic au hosi haraka iwezenakavyo ili upate matibabu. •Bonga na mtu una-trust aku-help ku-report. Wasee wenye hu-rape huwa wanaendelea ku-do hivyo so ni poa uwa-stop!

14

Kumbuka! HAKUNA mtu huwa anaitisha kuwa raped. Ni hatia na una haki ya kupata justice.

rape


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.