22.d - Charlie Pele

Page 1

JAA SHU DER! XAN ALE unakumbuka vile kulienda...?

25


26


Kupanda sweet potato vines Kupanda sweet potato vines 1. Chagua vine ya urefu wa 1 foot ilio healthy (green bila yellow veins) 2. Chimba shimo isio-deep juu ya rows utakazo tengeneza ili kupanda 3. Weka 2/3 ya nundu kwa mchanga na 1/3 ya nundu iwe juu

Kuzalisha sweet potato vines kwa nursery 1. Tayarisha pale utapanda new improved variety ya

sweet potato kwa kuchanganya mchanga na manure kisha uweke maji. Tengeneza kivuli juu yake. 2. Chukua mmea wa sweet potato

usio na magonjwa au yellow stripes kwa matawi 3. Kata matawi ukitumia sharp

blade vertically kwa sehemu utakayopanda kwa mchanga ukibakisha node moja juu 4. Ili kupata mbegu ya kuzalisha, hesabu nundu tatu kwanzia sehemu ya chini halafu ukate stem. Endelea kukata hivyo ili kupata mbegu mob za kupanda na kuuza.

5. Ukipanda, hakikisha kuwa nundu mbili ziko kwa

4. Spacing ya kupanda ni 1 foot (30cm)

STO. TUMA SM II RI

NENO UKUL I

sms 3008

KWA 3008 UT MA

S NA

ukulima

mchanga na nundu moja iko juu. Nyunyizia maji kila siku. 6. Mimea ya sweet potato vines itakuwa tayari kupandwa kwa shamba after 2 1/2 months 7. Vines zinaweza kuvunwa baada ya wiki kadhaa na kuuzwa for 1 bob kwa majirani. Unaweza anzisha bizna yako simply kwa kupanda new improved variety ya sweet potato seeds! 8. Sweet potato vines zinaweza pandwa kwa areas zenye hazina mvua ya kutosha kwa kufunika nursery yako na nylon paper. Fungua sehemu kidogo ya nylon paper mchana. Toa plastic bag 2 weeks kabla ya ku-harvest ili mimea izoee hewa kavu. Weka mulch ili ku-conserve maji.

27

MAONI JUU YA H OE


r Chege Alexande u Nyahurur

Risto yangu na sweet potato After kumaliza high school nilienda Nairobi kutafuta works. Sikuwa lucky nika-end-up kupata kibarua tu. Job ilikuwa ngumu na dooh less. Life haikuwa easy. Niliamua ku-quit na nikafungua kinyozi ocha. Dooh nili-get nika-save for future. Kuna beshte yangu alini-advise nikomboe farm Nyahururu. Niliona idea ya New Variety Sweet Potato kwa Shujaaz na nikaipenda sana. Baada ya ku-save 35k, nikaenda Nyahururu kutafuta shamba ya ku-hire.

New improved variety za sweet potato ni tasty sana na mavuno poa. Varieties za new improved sweet potato varieties zinatofautiana na areas zenye zinamea vipoa. New sweet potato varieties ni kama Wera, Mugande, SPK013, SalyBoro, Ejumula, Kemb10, Nyawo na Mugande Vindolo Vitamu na salyboro.

28


Nilianza na half an acre ya shamba. Haikuwa rahisi juu sikuwa na experience ya farming. Nili-employ wasee wanisaidie. Hiyo season haikuwa poa vile. Harvest ilikuwa kidogo juu kulikuwa ku-dry sana.

Siku-give up. Next season pia nilipanda potatoes and believe it or not, nili-harvest 110 bags of white potatos! Hii ilinipatia morale na nikaongeza shamba hadi 3 acres. Saa hii nafanya farming na nina kinyozi.

kumbuka: Vines za new variety sweet potato hazitazalisha tubers mob lakini ni kubwa zaidi in size. Nyunyizia maji vines kila siku. Unaweza pata up to mbegu 10 kutoka kwa sweet potato vine moja.

29


Thanks to Shujaaz, I earn a living in a way that I can be proud of. Ma-youth wajue kwamba, ile knowledge kidogo uko nayo ndio itakufikisha mbali. Tia bidii na usi-lose hope incase haija-work-out the first time. Jaribu tena na tena na matokeo yatakufurahisha!

Challange ambayo na-experience huku ni bad roads. Inakuwa expensive sana kufikisha harvest zangu sokoni. Hata hivyo, farming inaniwezesha kusaidia familia yangu na hata nalipia siblings wangu fees chuo.

kumbuka: Vines za new variety sweet potato hazitazalisha tubers mob lakini ni kubwa zaidi in size. Nyunyizia maji vines kila siku. Unaweza pata up to mbegu 10 kutoka kwa sweet potato vine moja.

30


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.