Sasa nita-do, imagine Asif na Popo wameni-ask tuende date.
Nini iko hapo ya kufikiria? Enda na Popo, nim-cool lakini Asif atakupeleka date kwa library. Plus Popo ni m-tall, m-hot na yuko na swaga
Enyewe mi na Popo tuna match!!!
Nisha-make decision, nitaenda na Popo.
eeee, kama chapo na ndengu!
10
Sooo, unafikiria kuchagua nani?
SHUJAAZ_C25.indd 10
16/02/2012 18:17
Sasa Asif, Sato sitakuwa available, nitakuwa busy sana.
N-n-ni sawa tu, labda siku ingine.
Hata hio siku nitakuwa busy.
Wawawawa! Kazuri come ucheki hii top.
Eish Jipesh, wacha haraka, utamvunja mkono!
Nakaa aje?? Popo akiniona kwa date ata-tupa mbao?
Ulisema unanipenda, sa umeni-dunga ball, hau-pick call zangu! Fathe amesema nihame home, Unataka nifanye nini?
Si ule ni Popo?
SHUJAAZ_C25.indd 11
11 16/02/2012 18:17
ehe ehe‌ ongea kwa sauti ndogo
niongee kwa sauti ndogo, ukinipea ball sauti yako haikuwa ndogo!? eehh eeeh!? Popo! come hapa uniongeleshe ka mwanaume Niaje Kazuri, si unakaa poa.. Hile date yetu bado iko?
Kwenda huko, kwani unadhani Kazuri ni mjinga aje? We mrefu hadi ngozi yako haitoshi mwili, Shingo refu hadi ikona elbow!!!
Ati???
Usahau Kazuri, usiwahi kumuongelesha tena. Umesikia?
SHUJAAZ_C25.indd 12
Si huyu dame yuko na teke! Lazima nimwai nangos.
Wewe ni fala sana!
16/02/2012 18:17
Mbona mimi?
sahau story ya Popo, ni msee amenyimwa akili na akapewa ujinga kikapu nzima!!
Si wewe, Popo ni mjinga tu, yeye ni wale wasee wana-muka na Musi, chapa na swaga, lakini ungem-date unge-get mtoi haujapangia au ugonjwa. Angeku-spoilia life bure.
Usijali, come tuende tu-buy chipo.
13 SHUJAAZ_C25.indd 13
16/02/2012 18:17
14 SHUJAAZ_C25.indd 14
16/02/2012 18:17
SHUJAAZ_C25.indd 15
16/02/2012 18:17