JI MA KI A NI H
fathe! tumefika! lakini ai, hii mlima inaniumiza! nipe maji tafadhali...
bobo! ingia, ingia, tutatuma charlie kuchota maji...
taabu, ndio huyo kaka wako na jamii yake wanaingia kusherehekea ndoa yako...
amekuja na jamii yake yote!
charlie! wachana na hiyo mpira ya uchafu uende kuchota maji!
SHUJAAZ_C25.indd 26
lakini, mbuyu, niko na game hii afte, na nikienda kuchota maji nitachelewa!
labda haukunielewa, hiyo haikuwa swali! enda utuletee maji!
16/02/2012 18:17
nikikimbia, labda naweza kurudi in time kucheza second half ya match yetu!
walai! sifiki!
ah!
ndio hiyo waterhole!
haiya, mbona huzuni? kuna shida gani hapa?
tutafanya nini sasa?
kuna well tofauti mbali kidogo na hapa...
twendeni huko basi!
pump imevunjika! na hatuna usaidizi...
27 SHUJAAZ_C25.indd 27
16/02/2012 18:17
njia ndio hii...
tumefika!
yei!
aaaah! Sasa hii mlolongo! tutakuwa hapa hadi kesho!
28 SHUJAAZ_C25.indd 28
16/02/2012 18:17
AlA! charlie anarudi nyumbani usiku???
pump ya hapa ilikuwa imevunjika... ...puff...
Kumbuka, W.H.O. ina-recommend kila mtu anafaa kuwa na access ya maji less than a km kutoka nyumba yake.
tukaenda mbali na kulikuwa na watu wengi kwa well...
huff...
...ndio hii maji yenyu...
lakini, hujui kwamba ni haki yako kuwa na supply ya maji yenye si shida?
hahaha! yenyewe, hata sisi pale mjini tuna shida ya maji.
ei!
WATOTO! wacheni kurukaruka kwa nyumba!
charlie??? sasa ndio unafika? umechelewa!!!
puff...
chicks za pink!
mama watoto! maji imefika! tupikie chai!
na uoshe nyumba pia! nioshe nyumba na hii maji kidogo ???
29 SHUJAAZ_C25.indd 29
wacha niulize dj B juu ya hizi haki kuhusu maji...
16/02/2012 18:17
Kila mtu yuko na haki ya ku-complain kwa district water officer juu ya shida ya maji.
Kama bado unaona haujahudumiwa, enda kwa Local Water Service Board.
sasa, hadithi yetu inaendelea sokoni...
...na sasa nataka kuwakumbusha tu, juu ya yote nitawafanyia mkinipa kura zenyu na kunichagua tena.
...mali!
na maji?!
...masomo! ...mavazi!
...matunda!
maji!
no water, no votes! naam!
Matunda itatoka wapi bila maji? ...Tunajua Haki zetu kila mtu anafaa kuwa na maji kilometer moja kutoka nyumba yao!
...na hiyo si hali ya mambo wakati huu! utatuletea maji???
hakuna kura, bila maji!
20 30 SHUJAAZ_C25.indd 30
16/02/2012 18:17
N, CHUKUA ACTIO KUWA SHUJAA! Ni haki yako ku request information juu ya issues za ku-kosa maji. DON’T ACCEPT SECOND BEST – TAKE ACTION!
oa :
! IONenu; T C A CHUKUA ay
Mkumbuke pia ku-elect leaders wale wanaleta maendeleo ya area yenu na si ku-make ma-promises tupu!
1
kam a
Pia unaweza complain kwa Local Water Service Providers, hata kama ni kampuni private.
r e vip ji a ki mi it u z a h
5
ma Kama kuna shida ya
pump nds ime-spoil, au unaona fu
2
3
Ukiona bado complaints zako hazisikizwi, enda kwa District Water Officer u-raise issue yako.
Kama bado unaona haujahudumiwa, tuma au enda kwa Local Water Service Board ya area yenu, kuna kadhaa Kenya.
4
Kama umefuata hii process yote na haujashughulikiwa, unaweza andikia WASREB na ucheki website yao u-download complaint form. WASREB CONTACTS: Tel: 254(0)202733559/61 Email: Info@wasreb.go.ke Website: www.wasreb.go.ke
Tuandikie kwa FB utuambie juu ya experiences zako hile time ulicomplain juu ya maji.
31 SHUJAAZ_C25.indd 31
16/02/2012 18:17