CH 27 [FINAL].indd 10
13/04/2012 11:19
market..
kwetu market
Aiii! Kwani vitunguu zako zinakuja na ndege? hio bei ni ghali.
Nkt! Maskini!
Kama hamna pesa songeni niongee na mwenye duka.
aaaargh
mnacheka nini...
hehehe
?
CH 27 [FINAL].indd 11
13/04/2012 11:19
Mheshimiwa! Mheshimiwa! Mheshimiwa! Tutakutana kwa maskan!?
1 2
3
8 7
14 9
15
16 ...kwani minister ana-need gari ngapi
Mnaona? ...He knows class Auuu uu! Wameharibu biashara yangu‌
CH 27 [FINAL].indd 12
13/04/2012 11:19
‌tunaumia huku nao wananona na magari kubwa kubwa!
Hao watu wana-deserve. Unadhani wanauza mangoes?
Nyinyi ni watu wadogo sana kuelewa vile government ina-spend.
Vile ina-spend pesa yao inahusu Wakenya wote.
Gas na mafuta imependa,
nilipeleka mtoto wangu hospitali na hakukuwa na madaktari
Hata hao MP hawalipi taxes wananunua unga ghali,
Hizi shida zote ni juu hawa watu wanatumia pesa zetu vibaya.
CH 27 [FINAL].indd 13
hahaha! Wewe Mama Mboga unajua nini?
13/04/2012 11:19
Poleni sana! Msi pigane Hehe! Nimetumwa hapa na mheshimiwa kulipia hasara.
Stop! Cheki‌
Pesa ya serikali ina husu watu wadogo kama hawa?
Actually‌ wako right.
...
Kwa hivyo vitu ni ghali juu wananunua magari wasiohitaji? Serikali ikitumia pesa mingi kwa barabara, pesa ya mahospitali ina punguka.
CH 27 [FINAL].indd 14
Aaaah, yes!
13/04/2012 11:19
CH 27 [FINAL].indd 15
13/04/2012 11:19