CH 27 [FINAL].indd 18
13/04/2012 11:20
janet!
sasa chuxx! umeona...
unatafutwa! unafanya nini na huyu chuxx?
oh, puulizz! natafutwa kwani nime-win lottery?
mbona huji shule? nywele yako ni orange siku hizi?!
mtakoma kunifuata-fuata na kuniuliza maswali nyingi kama clinic!
none of your business!
eh... maria kim, si unajua ni wewe tu? huyu janet sikuwa serious na yeye...
wameanza machozi. mimi nime-bounce!
aki maria kim, mimi ni bure sana! hakuna kitu naeza-do! hata kusoma imenishinda. hata in future sijui nita-do nini. familia yetu ni masikini... umeona mamangu? kwani life yangu pia itakuwa hivo? kuosha manguo na kuzaa watoto tu? afadhali nikule raha saa hizi!
siku kadhaa baadaye...
CH 27 [FINAL].indd 19
eh, usiongee hivyo. kuacha masomo juu ya raha si poa. kuna vitu mob sana unaeza achieve.
najua hauniamini, lakini i can prove it!
haiya, nimewaita hapa leo juu kuna mtu ningependa abonge nanyi. stori yake ni kali sana...
13/04/2012 11:20
CH 27 [FINAL].indd 20
13/04/2012 11:20
CH 27 [FINAL].indd 21
13/04/2012 11:20
CH 27 [FINAL].indd 22
13/04/2012 11:20
CH 27 [FINAL].indd 23
13/04/2012 11:20