05.a - Boyie

Page 1

BOYIE ASHIKWA

3


A

U U U AAU

. . !! . I II

na polisi wako?

NINI KIMEFANYIKA? NI KADEs AMEUMIZWA!

hawaja-come.

sasa hii inamaanisha nini?

nani anakaa suspicious?

HEBU TUMPELEKE HOSI! ndio yule polisi.

nini kimefanyika?

WHAT?!

kades AMEPIGWA.

HALI YAKE NI MBAYA!

4


NIPATIENI SUSPECT.

ALIYEPIGA KADEs ALIKUWA NA SABABU GANI?

PENGINE WALE VIJANA WANAJUA. TULIWAPATA HAPA.

SISI PIA TUNASHIDWA. HATUKUWA INVOLVED. KUNA MEZESHA. MBONA MNAKIMBIA? NINI?

MBONA UMEMSHIKA AFANDE?

CHOCHOTE UtakaCHO sema KITATUMIWA KOTINI.

KIJANA KUJA NA MIMI! YOU ARE UNDER ARREST!

SIKUPIGA KADEs, AFANDE!

KWA NINI HAO MAJAMAA WALIKIMBIA? PENGINE WALIKUOGOPA AFANDE.

UNAONA VILE NAFANYA KAZI FASTA FASTA? NILIPATA HUYU IN MINUTES.

SAWA, NITARUDI...

5


HABARI ZENU?

NINI KITAFANYIKA? NIliKUWA KWA STATION NA SIKUKUBALIWA KUMUONA

MMEFANYA NINI NA MTOTO WANGU BOYIE?

kijana wangu ni mzuri sana. hajawai iba hata shilingi!

kile unaweza fanya ni kungoja mkono wa sheria ufanye kazi.

TUNAFANYA UCHUNGUZI, MAMA. HAUNA SABABU YA KUOGOPA. MAMBO iko SAWA.

SHIKA HII, NI YA CHAI. NIMEWEZA KUCHANGA KIDOGO TU.

kama mnavyojua, boyie yuko police station. anatusaidia na investigation. huyo polisi alishika boyie hata bila ku-investigate!

samahani, mama. sichukui hongo. unajua ninaweza kuku-arrest?

6

kushikwa na polisi haimaanishi uko guilty! lakini haikuenda hivyo wakati boyie ali-arrestiwa!


POLISI ANA-RIGHT YA KU-ARREST ANY SUSPECT ILI KUFANYA INVESTIGATIONS.

NATAKA KUONA MTOTO WANGU BOYIE!

INVESTIGATIONS zINAENDELEA! KUWENI PATIENT!

LAZIMA TWENDE TUCHEKI BOYIE!

KAMA MNA-COMPLAINTS JUU YA POLISI YEYOTE MNAWEZA KU-REPORT KWA OCS.

BOYIE ATAENDA KOTINI LINI?

HATA HAUKUINGIA KWA CRIME SCENE NA KU-INVESTIGATE!

TUNATAKA KUONA OCS ili tU-FILE COMPLAINT!

7


HAKUNA HAJA YA KUENDA KWA OCS! HEBU TUTATUE HII SHIDA KWA KU-RELEASE BOYIE!

BAADAYE... MUM, SIKUWA INVOLVED NA STORY YA KUPIGA KADES. NAKUAMINI, BOYIE.

MAFANS, MAMBO YAMEKUWA GWAN! unajua rights zako ukiwa ume-arrest-iwa na polisi? nitumieni sms’s zenu on 3008! tuko gangare kuruka!

Role of the police: 1. Kuhakikisha kuna amani kwa wananchi 2. Kuzuia matendo yalio kinyume na sheria kutendeka na ku-arrest offenders 3. Wanafanya kazi na community ili a. Kuhakikisha kuna law and order b. Ku-create environment ya amani na usalama c. Ku-protect haki za wanandamu d. Kuona kuwa watu wako-safe e. Ku-prevent na ku-detect crime f. Ku-protect maisha na mali ya wananchi g. Ku-investigate offenses h. Kutia nguvu sheria kwa matendo yalio kinyume na sheria

Incase uwe arrested, julisha mtu kuwa ume-arrest-iwa na kule umepelekwa 8

Una hizi rights unapokuwa arrested na polisi: 1. Mtu aliye-accused of a crime ni innocent until proven guilty kwa koti. Kazi ya polisi ni ku-prove mtu ako guilty 2. Kuona mwana sheria (Solicitor) 3. Una-right ya kukataa kujibu maswali kama kuyajibu yataku-incriminate 4. Mtu akiwa arrested anatakikana kupelekwa kwa koti within 24 hours of arrest. Kama kosa yake ni ya murder, anaweza wekwa remand for 2 weeks halafu apelekwe kotini. 5. Polisi anatakikana kupeana info juu ya status ya investigation, wakati aliyefungwa ata-release-iwa na conditions watatakiwa kufuata, na kama kuna wengine ambao wame arrest-iwa 6. Yeyote aliye na complaints anaweza report kwa Officer Commanding station (OCS) 7. Kama unaitishwa bribe, report hio kesi kwa Kenya Anti Corruption Authority au kwa Criminal Investigation Department (CID) 8. Huwezi arrest-iwa kwa sababu ya idling, loitering ama kutobeba ID. Hizi si offences under the law

Tumia DJB Manoni yako juu yah hii storo kwa 3008 ili tuelimishane kama vijana!


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.