shule poa!
3
MTUNGWAZ *
4
strike
5
6
7
Wasee, niliamua kuwa student mpoa na nime-change shule yetu!
Nimechukua hii responsibility. Hai-matter kama uko primo ama seco. Kuwa student mpoa ni the BEST way kufanya shule yenu kuwa poa.
Tu-share story zetu, vitu poa zenye tume-do kufanya shule zetu zikuwe poa!
8