Chapter 54

Page 1




KICHEKO CONTEST

SASA TUNATAKA KUCHEKI NANI MKALI; WIER NI ULE ANAEZA RUSHA MCHONGOANO NA ICHEKESHE BABN KABLA BREAK TIME SHE!

NANI ANARUSHA MCHONGOANO YA FIRST?

MIMI...ATI KWENYU NI KUDRY HADI MNA VUNA MAHINDI CHOMA

, HAKA KAMS NI KAKALI, WACHA NITAYARISHE YANGU!

NASKIA WE NI MSUP MPAKA MBU AKIKUKUJIA ANAKUKI TU! HAHAHA...

4

HAHAHA...

HAHAHA...


HAYA, MALKIA, H NI YAKO...

POPO UKO SURE UNATAKA KU BALE NA MALKIA

UNA KICHWA BIGI UKIMALIZA KUNYOLEWA UNAPAKWA SPIRIT NA DUSTER

hahaha...

Ni lazima nirudishe; buda yako ni mgumu hadi jina ya supermarket yenu ni super-glue LEO NIMEANGUKIA BALE NOMA! WAH!

NIAJE MSUPA, H UNI YAKO IKO FITI, PASI NAYO! ENYEWE UKO J. CHEKI, SI UNIWAH KA 10 BOB NI-BUY KITU HAPA? wazi! Nyinyi ndo judge, nani mshindi?

KINYONYI! KUOMBAOMBA TU! POLE SI LEO...

5 Niaje DJ B waguan ur guiding tips za farming na business zimenihelp sana kusave doo na kuimprove ma project endelea hivo mtu wangu kwa job yako poa. DesyHey! Big up 2 sana ni denoh fun wa Shujaaz kutoka molo. Just kuwabig up sana mnawork kuona mayouth wameget advice kupitia Shujaaz FM athwse big up. Denis kutoka MoloHela Hela waaah iko juu tu sana it is improving our savings skills to us yuts anyway thanks tu sana shujaaz god blexx. Peter


6 MainaMaze DJ B, nilibambika na zile ideas zako abt family planning in chpt 46 .Hata wife wangu alikuwa inspired sana na imenihelp tu vinoma. May u continue with that spirit. Michael wafula Niaje DJ B manze bizna ya mine ime shika kwa siku na uza mayai 56 and above nataka ushow vijana wasikufe moyo hata ukuwe na sukuma wiki hio ndio inaweza kukufanya uwe sonko.Davy Chanuka manzi mimi DJ B nikua mxe wama vela vinoma naiyo rito ya Beryl imenihelp tu


vipi, charlie pele?

sema, vicious!

hey, si huyo ni schola na mamake?

schola!!! sema?

...wamenilenga...

hey, charlie, nisaidie kushika hizi vifaranga!

mbona huzuni, charlie?

niliona schola na mamake na walilenga salamu zangu. schola anakî€ amechoka sana...

7


8 sana mbaka nikachenge nanige penda DJ B unichanue kabisa jo pozi. Baby Gaza DJ B niaje maze nataka niku remind una do job poa sana kutu show ujanja za bizna, but drugs na immorality zinaturudisha back sana. JasteeHai ka maneno nime appreciate job yenu poa ya kuencourage mavijana big up. DuncoHey DJ B. Comics zako zimeni inspire design ingine hadi nime team up na maboyz wa mtaa na tukaanza group ya kukoroga mjengo tume save doh hadi sahi tuna


9 concrete mixer moja ya kuhire in a day ni 3k na tunaplan kubuy zingine 2 by June cz hi biz inaboom. Nicky Hae DJ B si bizna ya sunguch imeni save sana coz inanisave sana encourage mayouth coz sunguch wanahitaji majani kiasi 2. Robert wainaina Hi DJ B napenda comic book yako, the most inspiring thing is ni juu ya ku make money na enye imenibamba ni kumake bio gas. Alex Hae DJ B, shujaaz iko ju tena sana na mahot advice zenyu thanks sana na gotea mafanz


10 wote wa shujaaz. Paster Willist Plan yangu ya future ni ku become a person who can help ma hustlers na plan za ku make dooh. Kennedy Mayut manzee lazima watumie condom ili wasiwe na ball hawajatarajia. Karen Kutumia condom ni poa coz inamake sex sweet na kutoa risk ya ball. Kamwala DJ B madem 2 wanatakiwa ku-insist ku-use kondom itakuwa shwari population itakuwa sawa cz 2tapuguza garama ya kushika watu. Nthenya Cheki niku show we ni


11 mzae wa nguvu , tuko pamoja. Alex Spear Ni poa madem wa insist ku-use condoms so dat dey wont misuse their lyf na kulose focus na future yao na pia ku avoid many diseases. Sharon Mi ni dame pia, na mi pia huinsist condom na charlie yangu anaprove. So na believe dame mmart anafaa kutumia ili aendelee na lyf yake. Mercy NiajeDJ B una tunice sana bat kukuget on airwaves ndo ngori tu sana. plz jaribu ulete shows zako on popular radio stations kama jambo


12 milele n maisha. Desy Ajez DJ B,maze ile risto ya green house ilini touch hadi silali, right now am saving 500 shilings per day kubuy makaratasi na misumari. Niki succeed nitakuita uje unitembelee. DJ Allan Manze DJ B kip up the positive attitude kwa kutujali big up mtu wangu. Pius Nduma Good work ya ku educate mayut na kuwa encourage. James Wanyugi DJ B niaje chapta 51 ilini inspire sana na ile risto ya (vile nili make it). Jeremy Kutumia condoms ina


help cuz kama dem unaji protect. Belvin Asante sana coz nme get ma advice nyingi sana nita endelea ku soma shujaaz!! Linda Atieno DJ B chapter 51 ni poa ku-encourage madem lakini tunaacha wamake decisions zao. ashuma EmmanuelHigh DJ B story zako za Chapta 51 Zime ni inspire tu sana. Francis. Niaje DJ B, talent can take someone to somewhere, so mayuts wanafaa ku-discover their talent ndo wazitumie ku hustle. Roughcast wa Sagalla//Tuna


nimekuwa nikisaka ujanja ya kuhack tv station. na sasa h august iko ngangari kuruka kwa q fm na ntv

tUNE INTO...

97.3 FM NYANZA

99.9 FM MAJENGO

98.8 FM MTITO

96.1 FM TAITA TAVETA

99.9 FM RONGAI

98.8 FM KERICHO

14

102.3 FM MERU

99.9 FM KOROGOCHO

99.9 FM KIBERA

98.8 FM KERICHO

105.9 FM EASTLEIGH 97.1 FM GARISSA

94.4 FM NATIONAL

ONLINE

92.1 FM KISUMU

93.2 FM MSA 99.7 FM MALINDI


Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Bill and Melinda Gates Foundation & ESHE. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Dan Muli | Joe Barasa | Kevin Mmbasu | Maurice Odede . PRODUCER: Paul Ekuru ART DIRECTOR: Esphan Kamau GRAPHIC DESIGNER: Ann Ndichu Assistant Producers: Jared Ngugi | Stephanie Boy | Farida Nzilani RADIO: Paul Peter Kades OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti RESEARCH: Sylvia Thuku DISTRIBUTION: Joram Kioko PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru | Anthony Kigondu FINANCE: Ranjeeta Jani | Carol Ariga INTERNS: Carol Naeka | Winnie Nduta Special thanks to JUST A BAND for their Music on ShujaazFM Well Told Story Š 2014 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection withe use of the information in this publication.

15


16


17


18 ku-consider wewe kama mentor wetu. Pinches mkao from Mwingi//Niaje DJ B? big up yourself kwa kuhelp maboyz kujijenga n kujitegemea kisolo. by the way niliopen ka barber shop afta kumada forth form 2012,after kureard story zako, inanisaidia sana boss. Una saidia mayut kujiendeleza na kumake vision 2030� Ricchard Rickross //Vipi DJ B nalike 2 vile una wateach mayut from bad things 2 good things. Sirlim Sallim//Big up ur status DJ B mi na ku thank 2


19 vinoma kwa ku Encourage cc Mayouth @ least 2naweza J sort wenyewe. Jah Bless U. Rasbashir//DJ B nili cheki comic yako kuhusu kupanda sukuma kwa sack nlikuwa nmepanda sack moja sasa nko na sak tatu. Uko juu mthee. Brian Hope Debkamj//Hae DJ B manze uko sete endelea ivo ivo ku encourage mayuts. Shujaaz 4reva. David Aquidenz//Napenda kusoma vitabu vyenu. so leo nlipokua nachabua kiasi nkafikilia kutest nionekama n ukweli uliopo mtu akitest.


20


21 Evans Muriuki//DJ B. Asante u’ ume-challenge watu mob huku town msa. Coz mayut walikuwa hawana job but walipo read Shujaaz book wali get advice ya ku-make biashara. Rose k//Niaje mzito tangu uwanzishe risto ya hutlea nime amua kufuga kuku na saizi nko na kuku tatu na zote zime tega kwa ivo natarajia ku get chicks kama 80 buda thanks kwa maoni yako manze). Dickson//DJ B nilisoma story ya Evans ika ni inspire sana thanks shujaaz ur my heroes keep it


wa

WATU WENGINE WAMEFAULU KAMA HUYU FRIEND YANGU. YEYE NI HUSTLER, YEYE NI BO!

NAME: LEAH OGUTU AGE: 19 YRS OLD LOCATION: KOROGOCHO,

up. Stephen A Muq//Hallo DJ B,mi ni fan wako wa Shujaaz fm, naitwa joel,i apreciate you for the goodNAIROBI work that you are doing. Chapter 52 imenipa motisha zaidi,hustle yangu ni kufuga sungura.niko na sungura 170.nilikuwa nataka uniulizie market ya mbolea ya sunguch. Joel//Mi Ni fan wa shujaa Na nimebambika Sana kusoma chapta 52 imenipa idea poa ya my hustle ya kuchoma Fish mi na kuthank tu vinoma DJ B mayuts wame bambika. Sauma Anyango//Hi DJ B


23 nilisoma story ya octopizzo vile alimake ikani inspire sana,thanks shujaaz ur my heroes keep it up. Mumba John from msa//Big up kwa kuelimisha watu ju ya contraceptives ata kwa Facebook naona positive comments. big up. Joseph Muthoka Hi watu wetu wa nguvu wa shujaa nawapongeza kwa kazi yenu poa. Chepkirui MercyDJ B me naitwa noah mimi nina wock na disha w/r at fast nilikua niki wock na cambany mmoja huko kco nili kua msic sasa nika ambia


24 boz wangu niko msick akania shusha nika mwajia kazi tangu habo niko poa na tena DJ B nakushukuru sana nime enspery sana na shujaaz plesher kwako mtu wangu endelea ku funza mayuts wensetu ifyo. Ngeno KipsDJ B,manze umshow maria kim akatae hiyo kazi ya pub mwanzo si poa watu watamchukulia vibaya,am michael ankuo na niko kajiado county,na hiyo story nlipata kwa shujaaz chapta 50.DJ B naku congrat kwa kazi yako vile umeleta game ya kuhelp


25


26 mayut wamake decision poa.eddy kutoka (masamba) sub county ya bondoThanks DJ B niko ndani locked ka member wa shujaaz.show yako inakuwanga ireee.xo mayuts wakuwe peaceful na constructive na wasifuate mambo ya politics.ka saba saba ambayo inanuia kusambaratisha maisha ya wakenya .we kenyans tuko ambassadors of peace in kenya.nawatakia afueni majeruhi wa mpeketoni ambao walivamiwa na magaidi .nakuwapa pole waliopoteza


27 wapendwa wao.nakwa waliopoteza maisha yao.nawapa mkono wa buriani .DJ B thanks for good work ur arole model to the youth. God aku blessHey! DJ B hii game ya hela hela imenijaz 2 xana imagn niko naiplay xaizi hapa home. DesyWow I’m so glad DJ B 2hea dat n i wud lyk u smtyms mue nkinieka uko ivo kwa stori za shujaaz mkue mnanimention mahali huko ndani kwa kabooklet ka shujaaz manze. JosephNapenda sana sitori za biznes becouz mi nimwana


28 bizna pengine upata ujuzi kwa hii stori na kutoka kwa mashambiki wa shujaaz. Dennis KisangaNiaje DJ B ni kim kutoka yole nigeupost hii text kwa chapta 49 ya shujaaz pliz upost hii txt. Nilibambika na ile stori ya samuel kwa chapta 46 kuhusu water haversting minaencouragewasee wenye hukuwa na problem za maji waanze kuhaverst wodee. KimDJ B maristo za shujaaz zo ubamba kuruka ile stori ya kutengeneza compost hu2help sana ni cheap na husave dooh


29 ya mboga,penye umetoa mayut ni mbali umesaidia vijana kufocus na lyf na wamesahau kusumbua wasee mtaani. thanx. DISMAS TINGANlikua na xoma ile chapta yako ya 52 na ikanimbamba 2 xana kwavenye umetu help sisi mayut. Josee KaranjaStori ya pigs ni encouraging chapta 52. BedanThanks 2 sana shujaaz nime gate chapta 52 nime bambika vinoma sana kwanza story xa MalkiaShujaaz chapter 52 menimbamba sana.I pray jah dat,Shujaaz directors live 4


30 long Bcoz U r helping mayuts sana. Unapea mayuts advise fiti sana. Shelmith MainaCongrats shujaaz imefanya life kuwa poa. Charles




Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.