31 - Shujaaz.FM - Chapta 31

Page 1






Wiki mbili kabla registration.

Hivi ndio kulienda

Manlike kupanga

...Kumbukeni ku-votia Bi Amani ju yeye ni leader mpoa.

Inakaa Bi Amani anapendwa na vijana sana?

..nicheki

Huyu musician ndio anawaleta.

Kazi ni kupoteza huyo kijana. Sawa?

Sawa mkubwa.

Niaje Manlike! Manze ngoma zako ziko juu. Leo nitawash alafu n sourc

Mzito amesema anakutaka u-perform kwa concert. Utaweza?

Siwezi kataa dow. Naanza practice leo.


Manlike aanza kupanga lyrics.

...Dj B na Shujaaz.fm hapa! Voter registration imeanza! Kumbuka kura ni haki yako. Aii! Wale wasee wacha...

..nicheki ni....

Manliiike! Come niku-show kitu gwan.

Siku ya concert

oteza . Sawa?

Haiya! Wapi mafans. Si hapa ndio concert inafaa kuwa?

Leo nitawashika, alafu nikue source.

Aloo! Mko wapi? Na je concert?

Nashikisha base.

We fala hakuna concert.

Ati? Ilikuwa ya kukufunga macho ndio usiende campaign za Bi Amani.




mi wal z


...chai...

niko wapi?

hapa niwapi?

alarm... ni asubuhi tayari? niamke nipikie bryo...

ni room ya mine. lakini hizo walls zimejengwa na mawe na zime-paint-iwa poa!

hiyo ni switch ya stima?

niko na maji!

haya! niko na stima!

huku nje... ni mtaa yetu, lakini...

ni ku-neat! kuna barabara poa, kuna maji! kunakaa kupoa! hata hewa ni safi!



mimi!

Lakini nitamulika aje na mimi sina say?

usishtuke, maria kim. umepanua mdomo! inafaa ujione... hehehe!! lakini si saa hizi uko unajiona?

Peleka views zenu kwa public participation meetings zile zina-organiziwa na treasury na uta-make change mkiweza kuongea juu ya vitu mnataka.

unajiona kwa world yenye unaweza kuwa nayo in future. Wewe na watu wa mtaa yako mkiamua kumulika chapaa ya budget, kuna prioities zenu zitamulikwa.

ngoja maria kim!! husband wangu... wako... wangu... eeh... wetu... ni nani? maria kim! maria kim!





















Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.