CH 32 - Shujaaz FM

Page 1




Kumbe ni ukweli, nyinyi ni jirani walaghai?

Walaghai? Sisi walaghai? Si wewe huongezea watu wetu bei ya bidhaa?

Watoto wameangukiwa!

Kwendaaa Huuuko!!!

Umejaza ujinga!!!

Tumeisha! Wuuu- u! Saidieni!

Wooiiii! mungu wanguuu!!!!!









THANKS MZEYA! NINAACHANA NA SIFA LEO LEO!

I K MISU WATU

KAZI YANGU NI KUSAIDIA WATU TU. LAKINI LAZIMA UCHOTE!

USIWAHI KUNIONGELESHA TENA! WAREMBO KAMA WEWE NI VICHWA NGUMU SANA! NAENDA KUTAFUTA MSICHANA MWENYE HUWA HAOGI!

BAADAYE...

na ni

DAN, KWANI NIME-DO? SI TUONGEE KAMA WATU WAZIMA? VITU GANI HIZO UNASEMA SASA?

MARIA KIM, SASA NITA-DO? NINAMPENDA SANA!

BAADAYE kwa sifa...

POLE, SIFA...

kwa hang out ya ma-boys... AH, J.K., NILIMSHOW SIMTAKI TENA. SIJUI ANALIALIA NINI. WASICHANA NA KULIALIA!! MIMI NIKO FITI!

KWELI?

I FEEL GOOD! TARA TARA TARA TAA!!


I THINK INAFAA UJARIBU KUONGEA NA YEYE VIPOA. MISUNDERSTANDINGS HU-HAPPEN WATU WASIPOKUWA NA COMMUCATION POA.

i feel... i feel... ah, hi place ina vumbi inafanya machozi itoke...

dan, i think itakuwa poa uongee na sifa...

jaribu ku-communicate na yeye vizuri, am sure hii stori itakuwa poa.

nakubaliana na wewe, maria kim. nikienda kuongea na yeye si utanipeleka?

you are right. si-feel poa vile nili-do. hata sikusikiza anything alikuwa anasema. nitapanga kum-meet tuongee.

FEEL OD! TARA RA TARA TAA!!

poa. ukitaka naeza come na wewe.


haya! maria kim! sikujua pia una-come!

sasa sifa?

hiyo jioni...

dan, sijui nili-do nini, am sorry...

no, mimi ndio niko sorry. nilisikiza advice ya fala...

mkiongea pamoja ita-solve mashida nyingi. j.k. na mimi tutawasaidia kuongea mkituhitaji.




















Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.