3 Asante ni kwako kwa ku produce the Shujaaz comic. wewe ni wa nguvu. Comics hizi zimenishow eti life si starehe ni kuhustle ku- earn a living. Tanks sana DJ B. Hibis Obasanjo//Niko na beste yangu anaitwa Erick maze tabia zake ziko worse kuliko ya Lafa, jama anafanya job na analipwa doo poa bt jamaa hana hata nyumba yakuita yake. Kazi yake ni kubadilisha
4 madem kama nguo na kuomba nyumba ya kulala nayo. Lakini kupitia story ya lafa i think nitabonga na yeye leo. asante sana shujaa. Ezekiel//Napenda comic yako, by the way nimelearn kumake doo kwa kulea kuku na bata. Thanks so much na God aku bless sana. Wewe ni role model wangu. Peter Mbugua//Chapter 55 iko juu 2nangoja
56 sasa. June Dan//Napenda your issue chapter 5 huyo kinyonyi na pia hio idea ya bizna ya mushrooms. Bobs Ngero Pratt//Show iko juu DJ B big up! John Nelly Happyness//Manze we ni mnoma tu san. Joyce//Shujaaz iko mambo mbaya big up. Roselyne wamuyu//Show yako ni fiti sana. Iko na potential mob kwa kupatia vijana
5
BOYIE
6
idea za kumake dooh. Cobreezy Kennedy Cobrah//DJ B unatu nice vipoaz, juz endelea na hiyo morale. Phillip Oputo//Wah ulileta sauti sol? uko juu man. Shelma//Shujaaz chapta 55 shosh ako juu sana. Kelvin//DJ B thanks sana kwa kututeach mob. Caro//DJ B niaje thanks sana coz nmeget ma advice mob sana nitaendelea kusoma
Shujaaz! Adela //Poa sana DJ B In fact inabidii to support hawa mayut ndoo wawe vijana wa nguvu. I will continue to distribute shujaaz. Nimekukotea hapo! Mimi Charles Orete.//Ni poa sana mi nitafanya job i promise ku encourage mayuts kutuma sms na kudistribute Shujaaz chapta kila mahali pia naomba kuwa Reporter wa Shujaaz huku Busia
7
8
9
10
11
na Butula bora nipate letter na recorder,Certy nitafanya job na moyo moja mi huku Busia nikiongea na mayuts kuhusu Shujaaz fm wao hushika mita dakika moja tu. Steve Makanda//Wah!poa poa lakini mi nimelike sana job munafanya. Tim C Lins//Napenda kusoma shujaaz sana iko stori poa vile mayouths waneza grow. Faith Micheni//Poa sana big up 4
12
shujaaz comic chapta 55 imenbamba niaje. Violeta Nduta//Masese ako juu tu sana, kusema ukwelo m nngetaka kumdate coz he iz future oriented, anajua kuplan na moreso iyo hustle yake n poa. Mgdaline Wanjiru//Hi DJ B mi ann kei nko bom 3 v sparks mi ni fan wa Shujaaz cz yi wase mnadu kitu poa sana kutuelimisha c mastude na pia c mayuts. God bless shujaz
family. Ann Kariuki//Segment ya talanta imenibaba 2 xana DJ B show iyo ni ya nguvu. Alex Hunyu//Hi DJ B, am chyk 4rm maro manze xho ilkua waguan 2xana.big ap mxee!//Smart mtu wangu for your inspiration nilisoma chapta 55 risto ya Tashy imeni help xana ambia mafan ni kenyans ndo kenya i like your shows big up. Collins Wekesa//Thankz
13
14 zote ziko kwako kwa ku-inspire mayutz xana n kuwa educate kwanza hii risto ya kujiprotect against kuget mtoi haujatarajia n pia na thank wasee wote wenye wanachangia idea zao,nawashw wasi2lie waendelee ku2chapia ivo ivo ivo mi nkiwa mmoja wao. Abdul jr Mohamed//Thanks alot I av been reading shujaaz since chapter 1 and you inspire so much thanks
again. Stephanie Kendi//Hey dj b?jst want 2 commnt abut shujaaz cuz inanipea morale kama hustler,n advse ya kuji prtct in lyf na kua na vision in lyf. Thanks DJ B. God wil bles u 4 wht u do. Machaa//DJ B mi hubabika xana na articles zenu mi huzixoma na kuzifolow na nmexoma much,God bles u na utembee gichugu buda. Julius Mutugi
16 //Hi djb,risto ya Maria Kim imenipamba sana barmaid should respect theirself lakini sio kutumiwa vibaya na boss ama costumer zao. Liz mbeere//wazi wazi m2nguyaz. una2jenga ss mayuthz ile noma. uko tops kuruka. kip up da gwud job. Peter Ndungu//Hey DJ B, ntamake sure nimekucheki kwa T.V show kesho cuz am one of your fans wa
17
18
(S.M.S.) na tunagoja next comic ile baddest. Eprem vipi mtu yangu, bado chifu na scarface wanakutafuta juu sunday nilikuwa nikifikiria nitakuona life kwa TV,big up mtu wangu u r stepping a step one day tutakuwa na channel ya Shujaaz. Liz Mbeere//Big Up DJ B Kwa Shujaaz Chapta 55. Maze stori ya Masese imenijenga, ni poa kuwa hustle sio kuwa kama
19 kinyonyi. Samuel Ruma kutoka Voi//Hae DJ B hii chapter 55 inanijaz kwanza hii risto ya Masese, mi kama chali sibambiki na wasee kama Abdul dem anakulyk na roho yake yote alafu unamchezea si poa Shame on you kwa machali kama hao alafu advice yangu kwa madem jaribu kuelewa chali before ujipiane kwake kimwili na kimap-
20
enzi. George Adonija Pama//DJ B, risto ya Joash Masese wa Kajiado imennice sana hata na plan ku copy iyo hustle yake ako ju 2 xana. Dickie//Vipi mzito, chapta 55 nishaiwahi na imenizindua ile mbaya. Aki nyi wasee mko juu tu sana, napenda vile mnasensitiza mayuts na all round life circumstances, kwanza iyo bizna ya mashrooms! If possible
21 si mnidunge contacts za Masese. Big up Shujaaz, cheerz DJ B, wee ni wetu. Vitalis//Vipi DJ B? nimesoma chapter 55 na hio story ya Masese kugrow mushrooms imeni inspire videadly. Thanks kwa kutuenlighten. Keep it up. -Jonathan Mitto frm Bondo.//Hii project ya masese imenibamba ile mbaya,niulizie yeye kama anataka mtu wa mikono,nilimada
22 chuoo last year na sina job. Japheth //Hi DJ B nilipata chapta 55 nikaisoma hiyo hustle ya mushroom ni mambo bad halafu nafeelia Maria Kim kwa vile alidanganywa na Abdul. Manze DJ B u r doing a great job una inspire mayuts wengi comic zako zinatusaidia sana tunapata ideas za kutujenga big up yourself. Teresiah Muthoni//Hi DJ B!Malkia
23 anaendelea aje?Nlikushow hapa hivi mi nlianza kumlike juu idea zake nipoa.Halafu fom ni gani ya hii wkend. Simon Nzuki//DJ B na wish u and your team munge visit huku Orando High School kisumu county, seme sub-county kisumu bondo road. Natamani wase wahuku wapate education juu ya early sex na way zaku make money plz plz plz.
24
Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Bill and Melinda Gates Foundation & ESHE. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Mmbasu Mbwabi | Maurice Odede | Shin Tuxedo | Eric Muthoga PRODUCER: Paul Ekuru ASSISTANT PRODUCERS: Jared Ngugi | Stephanie Boy | Farida Nzilani ART DIRECTOR: Esphan Kamau GRAPHIC DESIGNER: Ann Ndichu ASST. SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Winne Nduta RADIO: Paul Peter Kades OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti RESEARCH: Sylvia Thuku | Lavinca Achieng | Norah Kopi | Getrude Bosire. DISTRIBUTION: Joram Kioko PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru FINANCE: Ranjeeta Jani | Carol Ariga INTERNS: Carol Naeku | Ronny Omondi Special thanks to JUNE RAPSHA for his Music on ShujaazFM
25
Well Told Story Š 2014 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
26 Mimi shuuja wako Lawrence Lance.//Niaje DJ B nimecheki hiyo risto ya kuadvice mayuts watumie condoms me niyule nilikuwa na instit chali ya mine tutumie condoms bt alikuwa hataki na me nilimpenda sikutaka 2achane niliendelea kukaa naye last nikajipata niko preg,nilishukuru hakunilenga alikubali kunimarry bt me sikuwa ready kuzaa bt ilibidi,so mi
27
naambia mayuts wenzangu especially madem msikubali kufanya sex bila condom. Congratulations DJ B kwakuleta Shujaaz comic atleast mayuts tuchanuane. Eunice//Vipi DJ B ngotea malkia 2 xana na mafanx wote wa Shujaaz na uwaxho waendelee kuchangamxha mayutx 2 xana. Braayo Macharia// DJ B!Malkia anaendelea aje?Nlikushow hapa hivi mi nlianza kumlike
i
juu idr zake nipoa.Halafu fom ni gani ya hii wkend. Simon Nzuki//Aje Maria Kim ni first time ku-comment kwa show yako. Mi na chali yangu tume agree kujiprotect coz hatuko ready kupata mtoi. me huwa na mke yoghurt in busia county a month n earn 4500 n nina plan kuget more . Eugene//Asante DJ B comic yk ilikuwa noma imenieducate Sana kwanza ya
29
maria kim thanx. Ameyo Maureen//DJ B ebu 2sho Maria Kim maze uyo msupa hunjazz 2 sana. Minofu//Shujaaz ningetaka kum date masese kwa sababu ni chali ako na bidii ya kujenga nchi na ku encourage mayut kufanya reseach na kazi kwa bidii kama ya mchwa thanx a lot kwa kumit mayut na kudevelop career yao. Angeline from kakamega.//Shujaaz ni
a�a, leo nimeangukia, mi hu-spy vile ya kutuliza kiu ya mine
kinyonyi si ananuka vi z!
7
imeanza
30 mov kutoka kisii na i waz going through masese story kuhusu mushroom,na i jst love his idea,hw i wished all boys could have that idea ya kuhustle. Mov//Thanks sana DJ B mi n fan wko wa ukweli n ili uaming na kufuatana popote uendapo n ko n vitabu za Shujaaz kutoka chapter 1to 55 (sauti sol). Clavin//Asante xna kwa ku2inxpire ka mayuts
31
big up DJ B. Cynthia Mueni//Na like attitude yako juu yak u inspire mayut kwa community. Nimecheki mayut wenye wako involved na petty crimes waki start story za farming na bizna, nah ii ni coz ya inspiration kutoka kwako.Thanks na long live Shujaaz .phenicia _emuhaya//Shujaaz wah! Sina la kusema kwani chapta 55 imenipa changamoto si tele