ur ut o te ck o bsi .fm cheew weujaaz n .sh
w
ww
inspiring kenyan youth
not for sale web
fm
chapta 13 sms
comix
Life ya Gangsta Napenda sana ma-electronics na radio. So nimeamua kujenga pirate radio station- Shujaaz.fm! DJ B mwenyewe, ndani ya nyumba!
...ksskss...
oe! ...ksskss...
tosh!!!
kumbe ni wewe, slim? mbona unajificha?
Unakumbuka O.G.? Yule boy alituingiza kwa gang?
Ni kutuliza kiasi, si unajua tunasakwa na makarao mtaani.
Anarudi bana! Niunganishie kuku tumpikie, at least ka-welcome hivi!
heh.
Hizo risto za gang nilichoka nazo. Ndio job ni hard lakini najitegemea.
uko down.
3
Ala! Nani huyo anakuja na hiyo kelele yote?
Skia vile ndai yake inachuna ngoma!!
ati o.g. amehepa jela mara 10! wacha ?! Chunga wasichana wako wasiharibiwe na huyu!
ana gari kama 20! Walalala!
sasa amerudi huku kufanya nini???
aki nataka kuwa kama o.g. ...
4
baadaye kwa gang headquarters... Eh, Mwas alidedi.
mwas yuko wapi?
Oh?! Lakini hiyo ndio life ya magangsta kama sisi. Na Blackie mnamskia? alishikwa.
Chekini, Godpapa ameni-organiz-ia nitulize huku kiasi. Nasakwa. Ni tuff, lakini sisi ni ma-thug.
Hatu-represent-iwi kwa gava, so wana-expect nini?
Si sasa mtoi amekusahau?
Mabuda hawatujali. Lazima sisi mayuts tujitetee kwa hizi gang zetu, ausio? No mercy! Msi-mind, elections zina-come, Godpapa ataangusha dooh ile mbaya.
Sasa ni-do? Lazima aelewe hali ya u-gangsta! Twende Slim.
Sasa acheni niende nicheki mtoi wangu. Sijamwona kwa miaka kama 15 hivi.
5
6
Sema, Slim! Kuna youth group flani nime-join. Si uicheki?
LiPA!!!
Hii ni youth group ya aina gani?! Hizi mbio zinanikumbusha operations zetu za tene! Hehehehe!
Ah! Kama hii ndio life ya u-gangsta wacha nirudi kwa shamba!
oe! AAAAAAH, Slim!
Slim bana, si unionyeshe kwenye nitajificha kwanza?!
7
niaje boyie?
slim? Sema.
Unaweza ni-save na job? Nimechoka na story za gang, jo! Si uli-help Tosh?
Yule wa Shujaaz.FM? Hata wacha nimtumie sms nimwambie a-show mayuts vile gangs hazibambi!
Wazi Slim. Kuwa gangsta ni kuji-waste. Unaskianga DJ B? Ana show flani ina ideas mob za ku-make dooh.
ala! kumbe Hii ndio maisha ya gangsta?!
Ah, shhhh! Makarao watanipata! CHEKI MAVACO NA REALITY JUU YA GANG LIFE…
Utajibamba, utaweza ku-buy nguo noma, ndula, kama wasee wa majuu wa music video.
Ina dooh sana.
SKIA KUTOKA MSEE WA NGUVU, JOHN KIRIAMITI.
Uki-get dooh kwa njia illegal, ni rahisi kupatikana na makarao, hizo dooh hazifichiki easily!
REALITY!
“Kuwa kwa gang ndio mwanzo wa kuwa criminal.” “Ukitaka kutoka kwa gang, toka na usi-communicate na wasee wenye wamebaki huko!
ideos Music v a, si real! w t-i zime-ac ang, utafanya g Uki-join ob dangerous vitu m ate dooh, na kabla up joy hizo dooh n hauta-e ambwa uishie b a t u kitu u ju mini kila jela. Usiana kwa TV! unao
“Kuwa na friends positive.” “Gang si ‘brotherhood’. Kila mtu atashikwa peke yake, na utaenda jela peke yako!”
BIG UP JOHN KIRIAMITI KWA ADVICE! 8
ITY!
REAL
SI WORTH KUWA GANGSTA! Kuna njia mob za ku-make dooh, kaa rada, cheki www.shujaaz.fm.”
9
10
He, he, alitaka kukuuliza swali kidogo
Er, um, er, Erico. Kwa nini uli-decide kufuga fish?
Nili-discuss na buda juu ya interest yangu... Nilipenda sana fish tangu nikuwe mtoi. Kuna time hata nilijaribu ku-plant bones za fish kwa shamba!
11
After form 4, alinigawia kaploti kwa shamba yake nitumie kufuga fish. Then,nika-share idea yangu na mabeste ndio tu-work pamoja.
As a group, tuli-manage ku-apply for youth fund na tuka-get dooh.
So, unalisha fish nini?
Mdogomdogo, tulianza. Tunatumia vitu cheap kuzilisha, kama mbolea ya kuku.
Cheki, hata wewe unaweza try kwa ka-pond kadogo ausio? Shika hizi fingerlings.
12
Thanks sana Erico. Er, em, nikupe number yangu ndio tubonge hii story more baadaye?
Amekuwa akinipe tips mob na nili-share na DJB ndio mayuts wengi wapate hii idea. Erico ni guy mpoa sana.
Malkia, alikupe number ya beste yake yeyote uniunganishie?
, ulienda ocha ku-do? Hata sidhani huyo chali alikuwa m-hot‌
Ha, ha. Nitamwuliza.
13
14
Well Told Story © 2011 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
Content producers: Audrey Wabwire Content: Paul Peter Kades, Charles Ouda, David Ouma Art Producer: Fatima Aly Jaffer Layout Design: Salim Busuru Art: Daniel Muli, Eric Muthoga, Naddya Oluoch-Olunya, Joe Barasa Radio: Eunice Maina Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio
Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 www.wts.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.
. bidi ukuwe admitted ain i oz ny ki a nd ie wa bigi, uk aga, na-come”. » Naskia una kich ko hukuambia “end ya ow ad sh di ha a vaco. » Ati umechapa ess hadi hawezi um hl s. ot to ni ko ya ya amba kama anti-viru » Nyan sh i it m ia um at in zee hadi sock. » Comp yako ni m kichwa inakaa wind vin ar m a iva uk , fu w gate: “Marry » Una kisogo re wenyu ameandika ka da bu di ha ly ug am » Ma-siz wako ni my God!” ”. ee fr 1, get 2 na, ye huwika: “Oh uo ik ak to ei sh di bi mob ha » Umefanya dham kenya. a bloodtest na mwa nd ie ul o was mawe , la fa ni e ew » W ahili alikuuliza udog sw Ki wa u lim wa m , ga » Ati wewe ni mjin . to ko ko ewa receipt. ukasema ukipigwa ngeta unap di ha y rit cu se in » Kwenyu kuna ma group. iingia Facebook ka ul , no no m ni we we » Ati
uta ey - Taf d /Mon ) v h ( o o u o o f i -F -D an » S rengo (n) winch (n) azi K Girl » M sisa / Ma ) - Job / - Dem / ) i n » K bambe ( urero (n a a » K wara / M ari h uza » C ju (n) - G uchung t h K u y » B oro (v) - Vita / Fig ume ugl a s n U ) a w (n » u j) - M ouko Gash ! ] » G angi (ad ) - Fala ob a s i w j J ad HO » G anzi (ad Works / *by G WIN TIS u D ) E (n » [ UM Maru » *
15
NI POA KUFUGA WANYAMA.. Hi DJ B! Imagine my poultry project imeni-inua tu sana kidooh. Nimeji-cloth na ku-achieve vitu mob. Mayouth wai-try. Ken Mukonyi, 18. Kakamega.
IDEA ZA KU-MAKE DOOH Hi DJ B, just did my KCPE but Shujaaz imeni-keep home. Huwa c zururi. Instead, mi hupanda skuma home na 2me save dooh mob. Ian, KTL, 14 yrs from Kitale. Sema Boyie, mi na like comix yenu, ime tu-encourage sisi ma-youth. Kama hiyo story ya skuma ita help many youths. Nilikuwa nataka ku advise vijana waanze entertainment group zao na wata get pesa. Eva Maina from Nyeri district, Munyu location. Rabbit noma; moja hu bear upto 10 kids, zina grow faster, na kuzaana faster pia. Urine yake na manure pia ni dooh, ukiuza ama utumie kupanda healthy crops. Meat yake ni super na ni white meat. Gatimu L.
Mi ni Richard, kutoka mtaani Kibera. Hiyo idea ya kuanza TV station ni poa sana. Ita-help ma-yuth na pia itawa-encourage. Asante sana DJ B!
Cheki Chapta 9 na 10 www.shujaaz.fm!
IDEA YA CAREER Niaje DJ B. Idea ni wasee wenye wame-mada chuo waache kukaa home idle so sakanya works yeyote uanze ku-earn. Si works ni works bora unaearn doo yako? Betty K.
KU-APPROACH
LEADERZ Hi DJ B! It's Mavo 4rm Juja. Hapa mtaani wajamaa walikuwa na shida ya maji lakini mimi na mabeshte wangu tuli-talk na chief na sisi mayouth tuli-represent shida zetu kisha tukaungana na ma-villagers ku-help in the job of tapping water and within 2 days it was finished. You can build a better nation! Mayouth, don't be afraid to express your grievances. Mavo Premier from Juja.
MI NA-LIKE SHUJAAZ! Manze DJ B wewe hunibamba mbaya sana nimekuwa addicted 2 ur show. Tresia ELDY aka DJ T Niaje DJ B. Mko yuu maze. Na-like zile ma advise mnagive. Pia da dicmusi iko swadakta.
16
Cheki chapta 14, ina-come na info ya rabbit farming!
Asante DJ B. Yaani items zako ziko poa mpaka sina hamu ya food na uzingizi. Tena hakuna homework roundi hii. Ryan Paul Kipkorir from Sotik
Cheki Chapta 8 www.shujaaz.fm
T-SHO WINNERS
NEW SWEET POTATO VARIETY Hi DJ B! Hiyo risto ya new variety sweet potato vines imeni-jaz sana nimei-try na nina sale vine moja 5bob. Dooh nilipata nimenunua mbegu za kales. Kudos
NOMA YA SHUJAA OF THE MONTH ALCOHOLISM Niaje DJ B. Thanks kwa kuhelp mayouths. Why can't u tackle the issue of drug abuse? Manze zina-kill na ku-waste time mob ya mayouths. Wa-show drugs ni gwan. Thanks. Ann M. Niaje DJ B, walahi risto zako za alcoholism ni true. Kip it up. What I wld tel u iz that advice ma-youth much more about drug abuse pliz. Oliver from Dandora.
Eunice Mwangi
Base: Dandora Dream: Kuwa Bank Manager
IMPORTANCE YA KUWA
KWA YOUTH GROUP Sup DJ B! Mi natoa advice ya myn kwa ma youths, na especially mateeniez, wa join groups za maana ili ku-avoid kuwa idle na wa discover talents zao. Groups kama karate ime-nisaidia 2 sana. Kwanza kwa ma-dem ina-help na self-defence against rape. Vijana tu-form youth groups ili tujiinue kiuchumi. Kwani ni rahisi ku access loans tukiwa wengi kuliko individually.
KUKAUSHA MA-FRUITS
Asanteni kwa tips zenu wasee. Nitaangalia story ya drug abuse vipoa hivi karibuni.
Eunice example poa kwa mayuts wengine, coz hapendi story za traibo. “Shujaaz imenifundisha vitu mob. Uki-scream kama kuna shida, ni neighbour wako ndio atakuja kukusaidia. Sio necessarily mtu wa tribe yako.”
“Congrats wote kwa kupata cert za KCSE!! Hii ni step kubwa na I hope mna-plan kitu mta-do next. Hata kama hauta-make kuenda cole, kuna ideas mob hapa Shujaaz.FM zenye unaeza try uanze kujitegemea!”
Hi DJ B! Manze when I cleared 4th I was idle bt idea ya ku-dry fruits ime-nisave 2 sana. Nilishow matha akaanza hiyo projo na sasa amenifungulia base ya pudding. - Edu.
sms
3008
17
Laana ilioje?!
18
uu uuu ww w w i i i! !
uuuuwi!!
Walalala!
Si yule ni Tina?!
Woshe pole, nini ime-happen?
Rubo amenipiga!
Ni kama Rubo ameumia, tumpeleke hosi.
Eeeeesh! Ondokeni hapa! Asante Afande. Tujaribu kuongeza security hapa‌
19
CLINIC
Manze karibu bizna yangu i-die, juu ya hizi risto za gej! Pombe ina dangers nyingi sana, lakini watu hawajui.
Usi-suffer peke yako. Unaweza kupata usaidizi.
20
Rubo alikuwanga mpoa, lakini gej inam-spoil! Kulewalewa inaweza kukupa risks kadhaa na HIV.
Asante sana. Naskia ubao, unaweza ni-save na finje‌? leta keg ingine!
Keshoye‌
Karibuni chai. Naona gej inaturudisha nyuma sana.
We wacha! Si nimezika kijana yangu juzi tu! Alitafuta kazi sana after Form 4, mwishowe alichoka na akamalizwa na ulevi.
Na-like Rubo sana, lakini pombe zake hum-show anipige! Sasa hata kiosk yake anashindwa ku-manage.
Bwana yangu amefukuzwa kazi juu ya ulevi. Nyumbani hakuna chakula, watoto hawaendi shule!
21
Cheki JK ana-come na Chief.
Nimeitwa na huyu kijana kwa sababu, nimesikia complaints mengi juu ya pombe hapa mtaani.
Ni vizuri sasa tusimame tukatae hii maneno. Tuite wanaume wetu kwa baraza ndio tujadiliane zaidi. Ama mnaonaje?
22
Discussion ya alcoholism imekuwa hot kwa Fan page ya DJ Boyie Facebook. Cheki vile wasee wanadai:
My younger bro, i don’t know what 2 do. Akipata job, hui-lose after 1 week. Weekends ye hulewa sana na ikifika Monday hajijui, Amefutwa kazi mara mob! Then my neighbour, imagine ye alikuwa msee gej mbaya. He died eti gej ilimchoma maini. atazikwa this week. Advice them pliz. - Cruiz B. I believe excessive drinking, lyk Cruiz’s bro is as a result of an underlying issue lyk emotional problem flani. He is hiding behind alcohol. Pliz make him open up and deal with what he’s running away from. - Judith K.
Ulevi ukizidi unaweza kusababisha hasara nyingi sana: » Ku-fight ovyo ovyo, » Ku-lose relationship na family na mabeste, »Na kwa ma-stude, hopes za chuo zote zitaishia hapo pap! Kama una-feel concerned kwa msee alcoholic, get help kwa AA [Alcoholics Anonymous] helpline: 0726 530137 Wacha ni SMS DJ B kwa 3008, nim-show vile pombe ime-mess wasee mtaani.
23
N
i
!
eish, charlie! unang ara sunday-best tuesday?
Field ya ball ndio base yangu sanasana, lakini budangu ni mkabila vinoma, I hope kuna siku ata-change‌.
kwani unaenda wapi?
naenda kwa funeral.
nyanya wa rosie ameaga dunia...
24
25
26
27
ahem!
sawa.
nimewaacha. naweza ku-respect maagizo yenyu. poleni kwa kifo...
aaaah, mimi siwezi kuenda kabla nisikike!
hatuwezi kubali kunyanyaswa hivi!
serikali imetusahau! mkinipa kura zenyu, nitawarepresent vipoa...
watu wangu, najua mnataka kupata ujumbe wangu wa leo!
nitaleta development funds hapa hata sisi tuji-enjoy kidogo...
election ziko around the corner! ni lazima tuungane...
28
kuna nyoka nguoni!
mmenirogaaaa!!!!
dere, tuhepe! Hawa watu ni wachawi!
Viongozi wengine hawana tabia! ndio! Leo, ni siku yetu ya kuomboleza, sio mahali pa campaign! Tukatae haya mambo kabisa!
E URC A O S A Y A M AHAKI N MPS E WAN : G I N O N G E A me-organise N E W KU ye wa n e y o n mikuta a w gea. K n o • u k . ed ke. we wenye ekuwa invit ya chama ya o a am m a ikutan K m a • n se rally ma? Ni poa ku-uam a • Kwa Mnaonaje hii noha hi is az m , si s kama ru
function a campaign? Tufamily meeting akwkwa Facebook [DJ debate hii nom, sms views zako kwa Boyie Fanpage] 3008!
wacha ni sms dj b kwa 3008 nimwambie hii risto. leaders lazima wajifunze kuheshimu wananchi.
29
ARNTA
KrOtkona a
naom
i kar
iuki
joni Asanteni sana kwa wale wote walinitumia artwork. Mko Juu tu sana! Wote nawapatia T-sho
30
wile b a w silas
nan
la e h c cy polsa tsuma
brian ny awade
la e h c y nanc
31