C26 Working File [PROOF].indd 19
13/03/2012 15:35
C26 Working File [PROOF].indd 20
13/03/2012 15:35
C26 Working File [PROOF].indd 21
13/03/2012 15:35
baadaye kwa cyber‌ nitazi-edit, halafu tutafute njia zote za ku-make sure wasee mob wataziona.
tuta-do nini nazo?
tulipata clips enough kabla hao wamathee watutoanishe.
sawa, nitazi-post kwa blog yangu na kwa twitter.
poa! nitazi-post kwa page ya dj boyie facebook!
baadaye‌ maze nime-late! hebu nifike home.
kimbia bana!
aaah! bure kabisa!
oh, ni wasee wana-watch futa.
eish! ona! ona!
aaah! nime-get idea kali! acha nitafuta manager wa hii place!
ala!
sasa? wewe ndio mwenye hii joint?
maria kim! ninakujua! eeh, ndio mimi. nikusaidie aje?
niko na idea fulani nataka kuku-show...
ayayayai! si huyo ni maria kim? anaongea nini na huyo msee? na mimi huwa haniongeleshi hata?
C26 Working File [PROOF].indd 22
13/03/2012 15:35
C26 Working File [PROOF].indd 23
13/03/2012 15:35
C26 Working File [PROOF].indd 24
13/03/2012 15:35