Utamchagua nani? Tunafaa kusherehekea tukikumbuka mayatima kama hawa ambao hawana mtu wa kusherehekea nao‌
Nimefurahi kuwa hapa na nyinyi, na nimeleta mazawadi kidogo tu ya hawa watoto wetu.
2
Roho yangu inaniuma sana nikikosa kuwa karibu na nyinyi watu wangu! Tujumuike tusherehekee siku ya leo!
Na hii ni yako‌
Kades, hebu tuchape works hapa watoi wacheki TV Chrissy!
Ala! Huyu mtu anajidai na hapendi watoi? Mbona kila time ma-leader wanatudanganya?!
baadae...
Eh, Kijana, mumefanya kazi mzuri. Mlileta watu wengi kuskia speech yangu‌
3
Shika hii kidogo‌ nikianza campaign nitawachunga vizuri. Najua nilipotea nikiwa city lakini nitawalipa mfanye kama last time‌ Huyu msee ametu-enjoy vibaya! Anachezea mayuts hivi? Wazi Mzito! Wewe ndio unajali vijana.
Kades! Nimecheki huyo mbunge akilipa Scarface, ati atamlipa akianza campaign?! Kumbe ni wale wale!
Nimechoka na ma-leader kutumia mayut!
Tutajuaje leader mpoa ni nani? Mtu anatuchekesha kumbe aanajaribu tu kukuingiza box?! Nani atatuongoza kweli? Tutapata wapi msee wakutuongoza vipoa?
4
Bibi ya Chief?!
Unafanya nini huku?
Mbona mnashangaa? Nilianzisha hii centre zamani.
Tulikosa CDF nikaamua tuchange na wamama wenzangu tuanzishe hii centre. Sitaki kuona watoto wetu wanazurura mtaani na tuna uwezo!
5
Manze, ume-do something ya maana sana. Wewe ndio unafaa kua leader wetu!
Kabisa!
Mimi? Hapaana. Sijui mambo ya siasa!
Wasee kama wewe ndio wanajua nini community ina-need. Wewe ndio uko huku kila siku. Na umetu-save na risto mob sana. Wewe ndio unafaa upewe kura!
Hapana…hata sina pesa! Wacheni hiyo maneno.
6
LEADER MPOA NI YUPI? anzia hapa
2007/8
ZII
[ wewe kwanza fika hapo down kwa D]
Anakuanga around
NDIO
Huyo MP wenu, amewahi do volunteer work kwa community yenu?
Dooh zenu za CDF zimetumika kwa project za maana?
MP wenu anaishi kwa area yenu?
NDIO
ZII
NDIO
ZII
ZII
Una ofisi ya MP yenye ina-function mtaani? NDIO
NDIO
ZII
NDIO
Huyo MP ameanzisha projects za mayuts?
ZII
NDIO
Kuna msee kwa area yenu mwenye anajali masilahi ya community mwenye ungependa asimamie uongozi next time?
ZII
NDIO
ZII
ZII
A 3008 NA V S KW
sms 3008 leadership
ZII
C A
Huyu msee achana nae, MSAHAU – na usim-vote-ie tena!
Uko poa! Una leader mnoma. Endelea kum-support alete maendeleo zaidi mtaani.
B Inafaa mbongeshe huyu msee juu ya performance yake. Ana plan gani ya ku-improve next time?
E Support huyu msee hata kama hana dooh kwa sababu yeye ni a true leader na constitution inamkubalisha aendelee a-vie for governor ama senator.
D
S ZAKO UKIA IEW
Huwa mna-meet mara kadhaa na MP wenu ku-discuss shida za area yenu?
NDIO
MP wako alihonga wasee na dooh kwa election iliyopita?
MP wako amewahi bonga akiwa bunge?
SHIP TUMA SM DER
NDIO
Lini last ulicheki MP wako?
NA NENO LEA NZA
Unamjua MP wako?
Kuchagua leader ni responsibility yako. Usipo-vote, usilalamike.