10.d - Charlie Pele

Page 1

...seed poa... ...seed mbaya...

Mgeni wa ajabu

...seed poa... ...seed mbaya...

...seed poa... ...seed mbaya...

...seed mbaya...

...seed poa...

Phew!

Daddy! mambo?!? unafanya??? una-sort seeds???

hii kazi inachosha! na hao vijana wangu wako wapi nikihitaji usaidizi?

hii ni pile ya seed poa??? na ile ni pile ya seed uta-plant mbaya??? gani na tutakula gani??? 25


siwezi waste seed poa shambani! Hizo ndizo tunakula!

kweli seed mbaya kama hizi zinaweza kumea kitu safi?

nitapanda hizo seed mbaya shambani...

eh?

26

sauti hiyo inatoka huku...


charlie pele! umetokezea wapi?!?! tunaikula lini?

tangu zamani sana, imekuwa muhimu kutumia mimea nzuri ku-plant tena, ili mimea zako shambani ziendelee vyema.

hii siikuli! mahindi hii hapa ndiyo naitumia shambani!

wacha niifunike isiguzwe na ma-hawks. naenda ku-harvest sorghum kutoka sehemu nyingine ya shamba.

nilikuambiaje? hawa majirani hawaelewi mambo...

LO! nadhani kuna mwizi shambani!

27


oho! nimemmulika mwizi!

ndiyo huyo...

ahm... ahem... pole kwa kukuamsha... urm... unajua, mahindi yako ni nzuuuuuri sana, ehm... nilikuwa nimekuja kui-admire tu! iko smartest! iko juu tu sana....

si tuisherekee pamoja, labda kamA "midnight snack"??? 28

lakini niliwaambia, siikuli! naipanda shambani!

aki wewe!

wajinga tu ndio hupanda seed mzuri badala ya kuila! sawa basi! kaa nayo!


charlie huyo ni wewe? nilikuambia nini juu ya kurukaruka usiku?

fafa! sema!

pole kwa kukushtua! ...lakini nimekuja kukuonya. ...vile unavyochagua mbegu zako za kutumia shambani...

unajua... ...unavyolea mtoto ndivyo anavyoendelea maishani. na shamba yako si tofauti.

ukichagua sorghum mbaya ya kupanda, kila generation itaendelea na shida iliyotangulia.

nimeona generations nyingi za wakulima ambapo watu hawaelewi umuhimu wa kuganga yajayo. 29


...kumbuka yote niliyokwambia...

...na ya jirani wako...

ona shamba yako...

...ili watoto wako wasife njaa...

zake zitakaa miaka mingi...

JANA ALiKUWA ANAPANGA KU-PLANT SEED MBAYA LAKiNi LEO AMECHUKUA SEEDS POA YA UJi NA KUZiPANDA SHAMBANi...

Ulijua unaweza pata seed kutoka kwa mmea? Ni poa! Chagua mimea few iliyo-healthy kwa shamba itakayokupatia seeds za kupanda next season!

Chagua mbegu poa utapata mavuno poa! Mark mimea utakayotumia kupata mbegu za kupanda kwa kufunga cloth kidogo kwa stem. Hii itakusaidia kujua hiyo plant ni ya ku-produce mbegu na itavunwa separate na mimea ingine. Ngojea plant yako itoe maua na pods au mbegu. Hii itakuwa possible kama area ni ya baridi especially kwa sukuma wiki. Seeds zako zitakuwa za quality poa kama hutazi-harvest leaves au part yeyote kabla ya wakati wa kuvuna. Funika seeds za mimea uliyochagua na gunia ili seeds zizikuliwe na ndege. Vuna mimea uliyo-select ili upate seeds za kupanda kama iko tayari.

Toa seeds zile: zimeoza zime-change rangi zilizo diseased. zilizovunjika za aina tofauti na mbegu zingine.

Chagua seeds zile: za size moja hazijaharibiwa na insects kwa shamba. 30

Safisha mbegu kwa kutoa dust, mabaki ya mimea na vitu vingine, kisha ukaushe na ku-grade mbegu kabla ya kuzi-store. Kabla ya ku-store mbegu, i-test kama ita-germinate kwa kuweka seeds chache kwa cotton wool safi iliyo na maji. Ziki-germinate, jua seeds zako ziko poa za kupanda.

Variety Chagua variety ya seeds zilizo marketable na zilizo resistant kwa diseases na wadudu.

Unaona? Ni rahisi sana! Jaribu na kisha u-share na DJ B matokeo kwa kutumia sms on 3008 au kwa facebook fanpage ya DJ Boyie ili tuwe ngangare kama vijana!

with thanks to CABI for their help & advice.


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.