09.d - Charlie Pele

Page 1

si uni-show ku-play ball?

Ati mbegu gani? unajua, si rahisi!

ball control poa inahitaji praco mob! cheki skills!

oh! kumbe si ngumu vile ulisema?

wacha ni-try please?

sawa basi.

nichenge ball, najua nitakushinda. 24


wacha HAramu!

nikufunze, hii inaitwa ball possession!

kwa nini umetupa ball? hio ni foul!!!

twende tuitafute!

ball iko kwa shamba ya uncle yangu.

mahindi taaaa-mu! mea tafadhali! tule mahindi nyumbani...

kwa nini unaimbia mimea?

wimbo inanipa nguvu za job! chekini hizi, ni new maize variety seeds, zinatoa mazao mazuri haraka zaidi ya varieties za kawaida!

ametupa mbao!!!

chukua hizi mbegu charlie na ujionee tofauti kwa kupanda kwa shamba yenu.

25


asante sana! nitazipanda mara hii, kwa sehemu yangu ndogo hapo kando ya shamba...!

mahindi taaaa-mu! mea tafadhali! tule mahindi nyumbani...

baba, nilipewa mbegu za new variety na uncle yake rosie ili nizipande na kupata mavuno mazuri zaidi.

ni wazimu gani hii ya kuimbia mbegu?!

huo ni urogi hao!!! kwa nini unakubali kurogwa charlie?!! mbegu ni mbegu na tumepanda hizi mbegu tangu enzi za baba zangu!!!

wewe panda mbegu zako na nipande zangu ili ujionee vile zangu zitakomaa vizuri!

oho! tazama sasa tofauti kati ya mbegu za charlie na hizo za babake, zilizopandwa wakati mmoja!

mei ya charlie

mei ya baba charlie

aaa, sasa mmea wa new variety maize ya charlie inamea haraka kuliko mahindi ya kawaida ya baba charlie!

ndio hio ugali ya charlie imekwisha pikika!

26

o dy t rea rvest! ha

mafans, sasa ni evident kuwa new Maize varieties humea na kuvunwa haraka kuliko mbegu za kawaida!!!


baba charlie! majirani!

tunaona mahindi zako zimemea vizuri hii roundi!

ah, unajua vile mimi hutumia new maize varieties...

haha!

mbuyu amecheki vile new varieties ziko poa...

Cheki vile mahindi ya Samuel Mudambi imetokea baada ya kupanda new variety maize seeds huko Wondaga location, Sabatia District. Neighbors wake wameanza kuuliza vile wanaweza pata hizo new maize variety. Mbeleni, Samuel alikuwa akivuna 40Kgs ya mahindi na haikutosha familia yake. Sasa atavuna 90Kg kwa shamba hiyo ndogo kwa kupanda new maize variety na ataweza kuprovide-ia family yake bila kununua mahindi sokoni. Mimea yake ime-mature haraka kuliko varieties zingine za neighbors wake. New variety maize seeds ni kama DK 8031 PAN 4M-19, KH 50034A, PAN 7M-97, PAN 691, WH 403 na HB 6210. Uliza agro agent juu ya hizi varieties.

...na nimepata mahindi taaaamu! maisha poa!

Nitakwonyesha vile utapanda mbegu zako!

Space kati ya rows moja na ingine iwe 75cm (2 feet) Space kati ya seed moja na ingine iwe 25cm au 50cm ukipanda seeds mbili Ili upate harvest poa, weka fertilizer unapopanda new variety maize seeds hivi: 1. Pima kwa kutumia soda bottletop 1 au 2 za fertilizer na uweke kwa shimo ya kupandia. Changanya na compost manure kama uko nayo. Fertilizer ya kutumia ukipanda ni DAP, NPK au Mavuno.

4. Funika mbegu 3. Weka seed yako 2. Funika mixture ya fertilizer na compost kwa mchanga.

Unajua vile leaves za mahindi hupata yellow katikati wakati zimefika knee level? Hii inaonyesha kuwa mimea yako inahitaji kuwekwa nitrogen fertilizer kama top dressing.

Tumia CAN au urea au Mavuno Top kama dressing fertilizer. Kisha uweke soda bottletop moja ya urea au Mavuno na kama ni CAN, weka vifuniko 2 vya kwa mchanga 10 centimetres mbali na mmea wa mahindi. Funika fertilizer yako na kwa mchanga ili isibebwe na mvua. Jua hivi ili u-manage mimea yako vipoa: Weed shamba yako ili isikule fertilizer baada ya 2 weeks na after 4 weeks ili mahindi i-grow strong. Jaribu kupanda hizi new variety maize seeds na utapata mavuno poa.

Tumia DJ B message juu ya hii story kwa 3008 au fanpage ya DJ Boyie kwa facebook! 27


28

hii mmea ya mahindi ilitokea wapi?

wawa wawa wa!

...na inafika mbinguni!

ni kuuuuubwa!!

wah, kwani jitu linaishi hapa?

nimefika Wapi?


29

ALA! yaani ilikuwa ndoto tu? Vile naskia njaa tena! hizo mei soo zingesaidia!


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.