Kuwa Shujaa Parents' guide 2

Page 1

INFO YA MAPERO

O 2 0

3 0 F


HEBU TUONGEE JUU YA HIV! Tumempa mtoto wako kitabu hiki cha ‘Kuwa Shujaa’ ili aweze kujifunza kuhusu HIV na Ukimwi; na pia, kuhakikisha kwamba atajifunza njia za kujikinga.

STIGMA (kubaguliwa) ni shida kubwa sana katika shule. stigma inamaanisha kumbagua mtu kwa sababu ya tabia zao au hali yao – Kwa mfano, labda ana virusi vya HIV. Watoto wengi walio na virusi hivi wanabaguliwa shuleni. Sio haki kumbagua mtu au kumsengenya kwa sababu ana virusi vya HIV. Kitabu hiki cha Kuwa Shujaa kinatarajia kubadilisha tabia kama hii, na tunawahisi nyinyi, kama wazazi na wanaowatunza watoto hawa, mtusaidie.

This publication has been made possible with the generous support of the American people through USAID/Kenya, under the APHIA II Operations Research Project, a cooperative agreement (No. 623-A-00-09-00001-00) between the Kenya Mission and the Population Council.


Lengo la ‘KU kuwa WA SH k UJAA’ hawat atika shul e zot ni kuhakik engw isha i au k e wat ya ha u ubag li ul mtoto yao ya HI V. Kut iwa kwa sa wako imiza anata lengo babu kikan hili, ajue a: ukwe li aelew e kuw kuhusu HI V / UK Ukimw a uju IM i z aelew utamsaidia i kuhusu H WI IV na e umu kujik HIV il inga himu i a w awe n weze kuj a kujua h ali ya itole a uka a kup ke ya rimu anah im na ut usian u akiw wa a na virus wana a i vya H funzi IV awe k walio iongo . na zi mw ema b aaday e. Tunahitaji usaidizi kuhakikisha kwamba shule iwe na mazingira mema kwa wanafunzi wasio na virusi vya HIV, na pia wale walio na virusi vya HIV. Waweza kutusaidia kwa kusoma mwelekezo huu na kuzungumzia ‘KUWA SHUJAA’ na watoto wako.

Ndani wako wako wako

ya mwelekezo kuna maswali ambayo utaweza kumuuliza mtoto kuhusu HIV. Haya maswali yatakusaidia kuzungumza na mtoto kuhusu HIV. Kando ya hayo, maswali haya yatamsaidia mtoto kuangalia swala la HIV katika mwangaza mpya..

3


TW

Kwa hii hadithi, marafiki wa Manywele wamekataa kucheza mpira naye wanapogundua kwamba ana virusi vya HIV. Watu wasipokua na ujuzi wa kutosha juu ya HIV, huwa wanawadhulumu walio ambukizwa. Tabia hii ndio inaitwa ‘stigma’. muulize mtoto wako: “MARAFIKI WA MANYWELE WANAWEZA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA HIV KWA KUCHEZA NAYE?” “JE WEWE UNGEJIHISI VIPI KAMA UNGECHOKOZWA NA MARAFIKI WAKO KWA SABABU UNA VIRUSI VYA HIV?”

i:

ukwel

i a virus kizwa n a kuambu ti i a z b e m w u a mk Mtu h kono kwa ku shika m vya HIV wa, kum ja naye au iz k u b aliyeam a darasa mo i. HIV uw yumban nda wake, k belea n o kumtem , ukiwa na kid mu ya tu da a a e s n u e g a o in i kinach IV; au z H a w a vy o si kilich na viru penzi e a iy im l k a mtu iano wa uhakikisha s u h u k kupitia a. inga na tumia k zako mmepimw bila ku n e w m a wewe n Msichana huyu hataki kuketi karibu na Manywele kwa sababu Manywele ana virusi vya HIV.

muulize mtoto wako: “kwa nini MSICHANA HUYU ANAOGOPA kukaa karibu na manywele?” “WEWE UNGEFURAHIA KUKETI KARIBU NA MTU AMBAYE AMEAMBUKIZWA VIRUsI VYA HIV?”

Msikize mtoto wako. [Kumbuka ulipokuwa umri wao. Wasaidie na uwape fursa ya kukueleza hisia zao.] Kama mzazi, utamsaidia mtoto wako vipi kuwapenda na kuwaheshimu wanafunzi ambao wameambukizwa virusi vya HIV?

4


? O D U O Y D HAT WOUL

W

LD YOU DO?

T

LD YOU DO?

WHA

ma, ni zo wameso i hizi amba ivi kwa h it ad h a kuigiz nafanya h wanafunzi vya HIV. Tu wa hisia za kuwauliza na virusi . Wakiele io ia it al w ap Lengo la a an w w le a ae zw w ki ku bu . ia e kuwasaid le walioam adhulumu wengin wapitie ya at kana haw kuwafanya ze e w ya a, uliw wanobag

T WOU U DO? WHA T WOULD YO

DO? WHA WOULD YOU

T WOU U DO? WHA T WOULD YO

muulize mtoto wako: ALIKUA NANI KATIKA HUU MCHEZO? ALIJIFUNZA NINI KUTOKANA NA HUU MCHEZO? JE, MCHEZO HUU ULIBADILISHA MAONI YAKE KUHUSU HIV?

Wanafunzi walizungumza juu ya uzuri na ubaya wa kuwa na rafiki ambaye ana virusi vya HIV. Tuliwasihi waangalie sekta ya ‘True or False’ katika kitabu cha kwanza cha Kuwa Shujaa, watambue jinsi ‘ubaya’ unaosemakana umetokana na kudanganywa. nawe pia angalia ili ujikumbushe njia ambazo watu huambukizwa virusi vya HIV?!

Katika sekta hii, wanafunzi walitumia ujuzi walioupta katika kitabu cha Kuwa Shujaa 1 kufanya mtihani mdogo. Uliza mtoto wako asome maswali haya nawe uone kama utapita mtihani?

“Zifuatazo ni njia ambazo watu wanaweza kuambukizwa na virusi vya HIV...” Kuwa na uhusiano wa kimapenzi bila ya kutumia kinga na mtu ambaye ameambukizwa. Kutumia visu na sindano pamoja (sana sana wanaotumia madawa ya kulevya, na wakati wa kutahiriwa) Kuongezwa damu ilio ambukizwa. (Siku hizi damu hupimwa ili kuona kama ina virusi hivi) Kina mama wanaweza kuambukiza watoto wao wakiwa na mimba, wakiwa wanajifungua na wanaponyonyesha.

5

WHA


Jipendo anaachana na mpenzi wake kwa sababu alimwona akiingia kituo cha VCT. Jipendo alidhani mpenzi wake akitembelea kituo cha VCT ni kwa sababu hakuwa mwaminifu. Lakini, mpenzi wake alienda kupata ujuzi juu ya HIV na kupatiwa mawaidha ya jinsi kumtunza Jipendo na yeye binafsi.

ukweli:

a kitembele te mtu a anishi ida yoyo a h m s u a k n a u h Hak VCT te wa mbelea o wowo VCT. Kute uhusian habari a n u po a a b b am kwam i pahali n T . VC a i n z a kimapen zinapatik za kiafya

JE, WAJUA KAMA MTOTO WAKO AMEWAHI KUTEMBELEA VCT?

Malkia anamsaidia Jipendo wanafunzi wengine wanapombagua kwa kumtukana na kuamua kwamba ana virusi vya HIV.

eli:

ukw

muulize mtoto wako: “KWA NINI WANAFUNZI WENGINE wanasema JIPENDO ANA HIV?” “UNADHANI jipendo anajihisi vipi anapobaguliwa?”

muulize mtoto wako: “ULIANDIKA NINI KATIKA BARUA YAKO?”

6

a si vy viru e na a w kiz aidiw mbu was kufanya walio ana Watu natakik a vizuri, wasipate l i wa ri e ku HIV vizu afi il imizw we was ine. NI e h wa a n g w o n w e na wam tizi wa m hisi onj himizwe nza ku tu a a mag a w o w uu, pia anap ri w Wakati h ya HIV a t k da i v a. a na njw irus kuw ugo io na v imizwa ilini. wal ili kuh a mw h asta na king n a w afya


“Stigma (ubaguzi) unatokana na kutokuwa na ujuzi wa kutosha. Hali hii hutandaza uoga na uoga, husababisha dhulma. Kuwa Shujaa inanuia kubadilisha tabia hii katika shule. Utatusaidia?”

TUSAIDIE KUKOSOA FIKRA HIZI KUHUSU HIV ILI SHULE ZA KENYA ZIWE HURU! 1. Mtu akiwa na virusi vya HIV lazima atajua. Uongo. Watu walioambukizwa na virusi vya HIV dalili haionekani wazi kwa muda mrefu, hata kwa miaka! 2. Wale wanaoambukizwa na virusi vya HIV ni wale tu walioanza uhusiano wa kimapenzi. Uongo. Watoto wanaweza kuambukizwa na virusi vya HIV wakiwa wanazaliwa au wakinyonyeshwa. Wengine wanaambukizwa wanapoongezwa damu ya kuambukizwa. 3. Nitaambukizwa virusi nikitumia kikombe kimoja au nikiwa kwa darasa moja na mtu aliye na virusi vya HIV. Uonga: HIV haipitii hewa. Huwezi kupata HIV ukiwa kwa chumba moja na mtu ambaye ana virusi vya HIV. Hatuwezi kuambukizwa kwa kukumbatia wengine au kushika mtu aliye na virusi vya HIV. Hatuwezi kuambukizwa na mtu ambaye ana virusi akikohoa au akipiga chafya, au kunywa kutoka Kwa kikombe kimoja.

“Tafadhali mweleze mtoto wako kwamba sio lazima aogope HIV kwa sababu...” Tunajua mengi kuhusu HIV na UKIMWI. Hatuna tiba lakini tunajua watu wanavyoambukizwa na kwamba watu wanaweza kuishi kwa muda mrefu kwa kutumia madawa. Tunajua kwamba tunaweza kujikinga na HIV/UKIMWI kwa kuhakikisha kwamba tunaangalia afya yetu. Tunajua jinsi watu wanaambukizwa virusi vya HIV. Tunajua jinsi ya kujikinga.

7


8 kuwa shujaa production charles j ouda | bridget deacon | fatima aly jaffer design salim busuru art salim busuru | eric muthoga | noah mukono | kevin mmbasu stories grace irungu | daniel muli | peter kades published by well told story: www.wts.co.ke


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.