16.b – Malkia

Page 1

Afya Yako, Haki Yako!

10


11


MALKIA!

! ! F F U KU-D

Unaletwa kwa hiii hospitali ya wananchi na uko na health insurance?!

Hapa hauwezi-treat-iwa vizuri! Wacha nikupeleke kwa private clinic my daughter.

NURSE!! Kuja unisaidie kumbeba mtoto wangu nimtoe hapa!

12


Si uharakishe, hauoni mtoto wangu hajahudumiwa?!

Heee! Mtajipanga!

At least tume-manage kuja kwa clinic. Doctor wa hapa ni mzuri sana, atakupatia very good treatment.

Aki mum kwa ile hosi, hawakuwa wananiskia! Nilingoja 3 hours kabla daktari afike. Hakunipima, nurse amenitukana‌

eh! wewe tena!

13


Pole sana Stella. Nilikuwa held-up kwa ile hospitali ya wanachi. Lakini nimefika, wananchi. hakuna kazi ya maana huko!

Shhh!

Mum, huyu ni yule daktari wa ile hosi!

Hehe, em, er, sorry daktari, unajua watoto siku hizi wanapenda kuongea ovyo ovyo…hehe

No problem Stella, naelewa ni madawa zinamsumbua.

Thank you daktari. Umetusaidia sana. Labda tunaweza patana baadae tukunywe kahawa au juice?

14

Ni sawa Stella. Ok, mkihitaji anything, nipigie simu anytime, 24 hours.

Unaezaje ongea hivyo mbele ya daktari? Haujui yeye ni a very respectable professional?!


Niko lucky nina insurance, sasa wale wamebaki kwa public hospital sijui kama walihudumiwa? Wacha niambie DJB vile ni lazima tu-demand better services kwa hosi zetu!

UNA RIGHT:

Ya kujua ni ugonjwa gani umepatikana nayo, na ni matibabu gani daktari ana plan kukupa, na matajario ya daktari kulingana na matibabu.Ya kuhudumiwa kwa vipoa bila kutukanwa au kudhulumiwa

Uliza questions kama hauelewi info ambayo umepewa kwa hosi.

Kama umedhulu

miwa hosi:

Omba copy ya file yako ya matibabu Andika barua na complaints zako na u-includ e copy ya file yako kwa: Medical Practitioners & Dentists Board Woodlands Road , P.O Box 44839 – 00100 Nairobi Tel: 0722631601 laint kwa Tuma copy ya hii comp tion.org da un info@morrismosesfo kesi yako. ilia at fu ku e idi sa ku wa ili ! rtini na complaint yako Pia unaweza kuenda ko

Pata info zaidi juu ya hawa wasee kwa web: www.cfk.unc.edu

Morris Moses Foundation ni organization ambae nahimiza wasee wajue haki zao juu ya matibabu kwa hosi. Usiogope kufuatilia haki yako! Pata info zaidi kutoka Morris Moses Foundation:

0204343074 0728310983 0733689320 [Ulizia Alice]

15


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.